Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

sitaki kulisikia jina la Agric Eng., rafiki yangu aliliwa kichwa mwaka wa nne.

Toa comment kulingana na mada mkuu, mimi nafikiri ingekuwa vizuri kama ungetoa ushauri kwa first year wafanye nini ili waweze kugraduate katika hiyo kozi kuliko ulichokiandika hapo wewe unakuwa mmojawapo wa wale wanaotaka kulibomoa taifa ni hayo tuu mkuu naamin wewe pia ni mwanachuo tena inawezekana unasoma hapo hapo SUA.
 
wale waliochaguliwa na kozi ya BVM...... MJIANDAE KUPIGA SHULE.... MAANA KAKA ZENU WANAOINGIA SECOND YEAR WAMEPOTEZA NDUGU ZAO KA 21... so mkifika mjue mmefuata nini mambo ya ubishoooo myaache home....naingia 4th year so mtanikuta mimi kaka yenu
 
hii kozi inahusiana na kujifunza kuhusu malezi bora ya familia.... kujua haki za watoto na akina mama.... na pia huwa nawaona madogo wana design mavazi iviiii iko vizuriiii...so ww jiandae kusoma..... kila la kheriiiiii tutakuwa pamoja hapo main campus
 
karibuni sua bata mnaziacha getini pale pa kuingilia, mkishaingia ndani jiandaeni na assignment na quiz za kutosha. ukweli umpe umpendaye si kwamba nawatisha:glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Duuh! hatari!
 
Vijana mliochaguliwa agriculture engineering msitishwe nw watu jaman then mkatishika kumbuka shule n ngumu siku zote ila kuwa kwako makini na masomo ndo kumalza kwako salama just jiandae tu na masomo mambo n magumu sawa Lakini watu wanafaulu vzur tuu ila kama unakuja kuuza sura huku ndo mambo yatakuendea vbaya au kama ww umepitishwa na BRN labda ndo uwe na waswas otherwise karibun daelp - department of agriculture engineering and land plan ambapo kuna degree program Tatu ambazo ni 1-agriculture engineering 2 - irrigation and water resource engineering 3_ bioprocess and postharvest engineering.. Karibun sana hapa daelp kuna msemo maarufu sana usemao 'sifa ya enginears ni ushirikiano' 'huo ndio msingi wetu
 
wakuu eti kati ya agribussiness na agricultural general ipi kozi nzuri na yenye future nzuri kuhusu contents zake
 
jaman 2peni moyo wa agr. eng. mbn mnatutisha mno!
walofanikiwa tupeni mbinu mmepenyaje mpka mkapata bachelor yenu!
Hata USA alipokua anataka kuivamia Iraq alitishiwa sana, lakini mwisho wa siku aliivamia na kuipiga. Uamuzi wa kushidwa na kushinda unao wewe mwenyewe.

Wadau vp kuhucu irrigation &water resource engineering
Adamawa
Kwanza kabisa kama umepata hiyo kozi na kama uliomba mkopo una uwezekano mkubwa wa kupata 100 pasenti ya boom.
Pili pitia hapa u download pdf itayokupa mwanga zaidi juu ya hii kozi..
http://www.foa.suanet.ac.tz/aeng/Courses/B.Sc.%20Irrigation%20and%20WRE.pdf

Kwenye kozi hii utajifunza aspects zote za umwagiliaji, kuanzia kudesign kujenga na kumaintain irrigation structures kama dams, canals etc!!! hutaishia kwenye umwagiliaji tu hata ujenzi wa nyumba utafundishwa!! ndani ya hii kozi pia utajifunza basics za civil engineering, electrical engineering, mechanicanical engineering!!! Inshort ni kozi nzuri sana kama tu utakua msomaji na mfwatiliaji wa masomo!!!

Pitia hii link

sitaki kulisikia jina la Agric Eng., rafiki yangu aliliwa kichwa mwaka wa nne.

Yes huyu nimeshamsikiaga sana!! Infact kwa mtu wa mwaka wa tatu au wa nne kuliwa kichwa ni ngumu sana labda kama hakuwa ACTIVE KWENYE MASOMO!!

Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa mchoro mchoro mchoro huwezi kuukimbia kama unataka kuwa engineer!!!1

Uko sahihi hakuna engineer anayesoma engineering bila kukutana na ENGINEERING DRAWINGS hasa mwaka wa kwanza!!! na hapa ndipo unapopewa misingi halisi ya uhandisi.

kuanzia mwaka wa kwanza mpk wa nne mchoro lazima upige kila mwaka
Wale mnaoingia Second year jiandaeni na ENGINEERING DESIGN hapo ndo mtakapo kuja kupoteana wenyewe
Moody Rutunga Jr.
kwenye red
Drawing hutasoma miaka yote, kwa nnavyokumbuka drawing unasoma mwaka wa kwanza kama core, mwaka wa pili ni Autocad kama elective, mwaka wa tatu ni design na sio drawing ya mwaka kwanza. Mwaka wa nne hawasomi mchoro ladba kama unaongelea SUA/DAELP ingine.
kwenye blue.
Engineering design kama sikosei anaifundisha mganilwa ambaye kwa sasa yuko NIT na ina 1 credit, to be honest this course is more than sweet na haina ugumu wowote.
 
Last edited by a moderator:
Nime kucom mkuu.
Watu wanasema ni nzuri pia usihofu kama umechaguliwa hiyo kozi wewe ukifika chuo komaa nayo tu, kama kawaida halafu pia tupeanea mawasiliano maana wote tupo department moja ili tuendelee kujuzana mambo kadhaa.
 
mimi nakuja hapo animal science,nisaidie kupata admission letter
 
Kwa wale waishio dsm na wanaitaj msaada wa kufka sua waninbox tu ...tutafutane ...sua wote n wa1
 
Mi nasoma SUA naingia 2nd year nahitaji msaada wa 1st year. Aweze kunibeba yaan tulale wote kitanda kimoja awe wa Kiume nitamrudishia nusu ya gharama za kulipia kitanda. Kwa aliye tayari namba yangu 0655422526. Mambo mengine nitakueleza ukinitafuta, mimi ni Mwenyeji wenu. KARIBUN SANA SUA. Uwe Campus ya Mazimbu lakini.
 
Pale DAELP Eng department kulikuwa na Mlengera bado yupo alitutesa sanaaa.Pia SM Mpanduji anamawe ya hatariiii kuna test moja niliwahi pata 04% halafu below 10% wanasomwa mbele hicho kitu cha STRENGTH OF MATERIALS ila mwisho wa UE nikamkazia Na kupata B+.Wale wote mnaokwenda Engineering acheni woga ukikomaa hata SUP utakuwa unazisikia kwa jiraaaani tuu.
 
Back
Top Bottom