Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
Na wewe unasoma sua
Wew unasoma sua?
Na wewe unasoma sua
Wale wa agribusiness karibuni
Hongera kwa kuchaguliwa hiyo kozi,ngoja wanaoifahamu vizuri wanakuja kukufahamisha kwa upana zaidi, ila inanishangaza uliwezaje kuomba kozi ambayo hauijui inahusika na nini?
Jamn wapendwa mm nmechaguliwa SUA course ya Family and Consumer Studies lakin cjui inahusiana na nn na kazi zake ni zipi. Naombeni ufafanuzi
Nipo Bsc wildlife management, ndo naingia 1st year
Vijana wote waliochaguliwa sua mwaka huu,ni vizuri mkaandika kozi uliyopangiwa na kwa wale waliopangwa agricultural engineering tupeane mawasiliano,namba yangu 0718076801
Acha tu mkuu!!! Kwakweli lazima akili ikae sawa, ukishazichomoa nidham ya kitabu inaanza hahahahaaa!!! Siku izi si unajua mfumo umerahisishwa kidogo kuna watu wana mpaka 8, ila cha mwimu uwe na credit 16 za kukuwezesha kwenda freedom square.
Wadau vp kuhucu irrigation &water resource engineering
Poa man nimekupata tutawasiliana zaid kupitia namba za simu.