Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

hahaaa Mlengera alistafu mkuu, pia STRENGTH OF MATERIALS inafundishwa na Prof. G. Mrema....Engineering mechanics(statics and dynamics) by Prof. Mpanduji...Daaah "Engineers ni wamoja sana".

Ok,kipindi chetu Nduji alikuwa bado Dean faculty of Agric,Huyo Mrema ndiyo alirudi toka FAO sie tunaseeeepa.Ila Mlengeraaaaa ndiyo ilikuwa homa ya DAELP.Mzee wa OPEN BOOK EXAMS nimemkumbukaa,Mwampaksi,Tarimooooo,Mbilinyi,Baanda,Kimaro bila kusau jembe SizaTumbo Those day ilikuwa poaaaaa sana hapo Engineering
 
vijana msiogope bhana! SUA hakuna kudisko semister ya kwanza! ila ukmalza mwaka wako wa kwanza kama umepata credit hour chini ya kumi na sita itabd 2 ufungashe virago! na pia SUA ni chuo kinachoangalia GPA na credit hour kwa wakat mmoja
 
Back
Top Bottom