Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

Nmepangwa AGRICULTURAL ENGINEERING,wewe ulisomaga kozi gan?

Hongera sana!! Huko utakutana na akina prof mpanduji, dr baanda, prof tarimo, terengia etc...kwa kifupi engineering is sweet!!

Ukihitaji msaada wa mawazo usisite kuuliza.
 
Sup 5 kuzisapua mbona akili lazima imkae sawa mtu.

Acha tu mkuu!!! Kwakweli lazima akili ikae sawa, ukishazichomoa nidham ya kitabu inaanza hahahahaaa!!! Siku izi si unajua mfumo umerahisishwa kidogo kuna watu wana mpaka 8, ila cha mwimu uwe na credit 16 za kukuwezesha kwenda freedom square.
 
Upepo wa pesa kumbe na ww upo hapo DAELP? Unasoma kozi gan kaka?

Thats classied young. Inshort nilikuaga hapo. Kuwa daelp ni zaid ya life experience!!! Mechanics za mpanduji, drawing, electrical ya baanda, fluid mechanics, programing hahahaaa mzee mlengera bado yupo kweli???? Tarimo??
 
Acha tu mkuu!!! Kwakweli lazima akili ikae sawa, ukishazichomoa nidham ya kitabu inaanza hahahahaaa!!! Siku izi si unajua mfumo umerahisishwa kidogo kuna watu wana mpaka 8, ila cha mwimu uwe na credit 16 za kukuwezesha kwenda freedom square.

sup hata ikiwa moja ni mzigo moyoni, khaa
 
Okey nitakuja kumsalimia shemeji/wifi yenu pale Unit 5 Mazimbu
 
Ila ukija sua usiogope mathematics maana ni kawaida kusoma mwaka wa kwanza muhula (semester) wa pili
 
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:

Haya sasa tupange mashambulizi kwa mwaka wa kwanza mjipange hivo nawapa lonja myk
MODULE
AE 110 WORKSHOP TECHNOLOGY
AE 111 ENGINEERING DRAWING (S.M.Terengia) Mzee wa visabuni,Hakuna kutembea weekend ni mchoro tuu,,,Hahahaaaaaaaaaaa mchoro mtatubuuu!!
AE 112 ENGINEERING STATICS (Prof Mpanduji a.k.a ZE Great Conquer a.k.a Baba la Baba ) HEAD OF DEPARTMENT OF AGRICULTURAL ENGINEERING.
AE 113 INTRODUCTION TO AGRICULTURAL ENGINEERING (Prof Mbilinyi )
MTH 104 GENERAL MATHEMATICS I ( Nyarusanda Linus)
AS 101 ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION ( Prof Abood )
ENV 111 METEOROLOGY (Nguvava,M)

Hizo ndio core courses kwa engineering mmeona kizigo hicho?????????????
 
Mmh!! hyo package?
 
Waambie ukweli, na huku jf waache kuingia kabisa bila sababu.

Waache Waingie Saizi Waiage Maana Asignment Hazijaanza Ndiomaana Hata Wewe Umeingia.

ILA KIUKWELI SIWATISHI SUA SI KWA WAZEMBE,WALABATA WALA WASIOJIWEZA. Ila kama ulikuwa unafaulu kihalali ukiweka juhudi unamaliza vzr tu.
KARIBUNI CHUO CHA WAZEE WA KUTINGWA(BUSY) MUDA WOTE
 
karibuni sua bata mnaziacha getini pale pa kuingilia, mkishaingia ndani jiandaeni na assignment na quiz za kutosha. ukweli umpe umpendaye si kwamba nawatisha:glasses-nerdy::glasses-nerdy:
 
kwa wale waliochaguliwa kozi za engneering mjipange mana kufika tu terengia anawaweka sawa na engneering drawing full michoro, ni noma wengi waliama kozi kwaajili ya huyu jamaa. ila baada ya mda ni kawaida tu japokuwa ndo somo linoloitaji umakin mkubwa kwa semister ya kwanza.
 
Back
Top Bottom