Melkiard Junior
Senior Member
- Aug 12, 2018
- 150
- 77
Hey wadau naomba kujua matokeo ya waliochaguliwa wakati wa maombi round 4, maana TCU walisema tarehe 10-10-2019 ambayo ndio leo majina yatatangazwa na wale watakaokuwa na multiple admisssion waweze kufanya confirmation, ila hadi muda huu kimya; any updates please?