Waliochaguliwa round 4

Melkiard Junior

Senior Member
Aug 12, 2018
150
77
Hey wadau naomba kujua matokeo ya waliochaguliwa wakati wa maombi round 4, maana TCU walisema tarehe 10-10-2019 ambayo ndio leo majina yatatangazwa na wale watakaokuwa na multiple admisssion waweze kufanya confirmation, ila hadi muda huu kimya; any updates please?
 
Hey wadau naomba kujua matokeo ya waliochaguliwa wakati wa maombi round 4, maana TCU walisema tarehe 10-10-2019 ambayo ndo leo majina yatatangazwa na wale watakaokuwa na multiple admisssion waweze kufanya confirmation, ila hadi muda huu kimya; any updates pls?
 
Attachments

  • Undergraduate Multiple Selected Applicants 2019_2020 and not confirmed.pdf
    2.6 MB · Views: 1
Inakuaje mtu kasha confirme lakini bado ana endelea kutumiwa code
labda ni makosa tu ya kiufundi, me nashauri afanye communication na chuo alicho-confirm kama wao washamuweka ktk list yao hamna shida. na vyuo vingi vinatoa list ya watu waliokuwa tayari full admitted (single admission) na wenye multiple bado, anaweza check documents hizo ktk chuo alicho-confirm
 
Ooh sawa ame check chuoni yuko admitted kwenye system yao ..sema alikuwa na wasi wasi maana code wame mtumia kila siku
labda ni makosa tu ya kiufundi, me nashauri afanye communication na chuo alicho-confirm kama wao washamuweka ktk list yao hamna shida. na vyuo vingi vinatoa list ya watu waliokuwa tayari full admitted (single admission) na wenye multiple bado, anaweza check documents hizo ktk chuo alicho-confirm
 
Wakuu Mimi naomba msaada,Akaunti yangu inaonesha kuwa nimechaguliwa bachelor of education in adult,lakini kwenye list chuoni sipo.msaada wakuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom