Waliobarikiwa Fedha za 'Escrow' Wazirudishe Mapema.. Labda.. na Labda...

Pasko katika suala la escrow Umekuwa mtetezi mzuri sana wa Rugemarila na seth..Hongera

Zile pesa walikuwa wanagawa za nini? kwa minajili ipi?
Mkuu Freeland, kwanza naomba tutenganishe mambo 3.
1. Rugemalila as a business man
2. Escrow ni fedha za nani?.
3. Kugawa fedha na sio kugawana! .

1. Rugemalila ni business man who had 30% stakes kwenye IPTL. Ameiuza hiyo 30% stake for a good deal and made good clean money.

2. Fedha za escrow some zilikuwa za umma za Tanesco na some zilikuwa binafsi za IPTL. Mgogoro ulipokwisha, zikachange hands na zote kugeuka fedha binafsi za IPTL.

3. Ukiishakuwa na fedha halali kwa kufanya biashara halali, then you are free kutumia hizo fedha zako vyovyote utakavyo bila kuvunja sheria yoyote ikiwemo kuzigawa kwa yoyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.

Hivyo hakuna fedha zozote watu walizogawana bali kuna watu wenye fedha zao waliamua kuwagawia watu wengine kwa sababu au bila sababu na hakuna kosa lolote.

Hapa Rugemalila wanamuonea bure na tumeishamkabidhi kwa Mungu Baba anasimamia hili Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
P.
 
Law Enforcing Agencies zina information zaidi kuliko sisi wengi humu

Kwa hio tusubiri mahakamani tusikie detail za charge zao

Lakini ule mlolongo mzima hadi kufikia maamuzi ya kuwalipa IPTL uligubikwa na mambo mengi..Katika ku facilitate hilo "inawezekana" kuna "tips off" zimefanyika nyingi tu

Na hizo "tips off " ni rushwa....

Tusubiri tuzione charge za mahakamani...Sidahani kama ni sawa ku rule out kuwa Rugemarila kaonewa..Why aonewe yeye na sio mwingine?
 
Mkuu Freeland, kwanza naunga mkono hoja kuwa our law enforcement agencies are more informed, na pia possibilities za tips kufanikisha uchotaji.

Ila pia sio mara moja wala mbili hizi hizi serikali zetu zinawaonea bure tuu raia wake bila sababu zozote za msingi!.

We have a government that takes pride in playing with liberty of its citizens!. Serikali inayofanya udhalimu kwa watu wake, ikiitwa ni serikali dhalimu huku ni kuionea?.

Paskali
 
Mojawapo ya mada ambazo zijawahi kuzitolea maoni ya kina ni sakata zima la escrow. Tangu kuibuliwa kwa kashfa hii sikutaka kutoa maoni ya ndani zaidi ya mawazo yangu. Sikufanya hivyo kwa sababu kubwa mbili, kwanza ni mojawapo ya kashfa za kipumbavu kabisa (foolish) ambazo zimewahi kutokea nchini. Ukilinganisha na ile ya fedha za EPA hii ya escrow ilikuwa ni rahisi sana kuonekana ufisadi wake kwani ilikuwa wazi kwa mtu yeyote yule anayefuatilia. Pili, kashfa hii ilionesha tu jinsi gani tuligoma kujifunza kutoka kashfa nyingine zilizopita. Nimewahi kuandika mwaka 2009 mada ya TEMPLATE OF CORRUPTION.

Katika mada hiyo nilidokeza tu jinsi gani mafisadi wa ndani wanafanya kazi kushirikiana na mafisadi wa nje na with some minor modifications wanatumia njia zile zile kuliibia taifa. Hii ya escrow haikuwa tofauti.

Sote tunajua kina nani walipewa fedha za escrow kwa mtindo wa kuchoteana kidogokidogo. Bahati mbaya wengi walichukulia zoezi lile hasa kuwan ni utakatishaji fedha (money laundering). Katika utakatishaji huu mtu anachukua fedha kwa njia haramu halafu anajaribu kuzibadilisha na kuziingiza kuzifanya ziwe halali; yaani fedha chafu zinasafishwa ili ziwe safi. Mtu anaweza kwenda kujengea nyumba, kuanzishia biashara, kutoa msaada mahali, kusomesha watoto, kutengeneza ajira n.k mwisho wa siku watu watashukuru kwani jamaa badala ya kuzila fedha amezitumia vizuri kwenye jamii.

Kama nilivyosema jana usicheze kamari dhidi ya Magufuli (don't bet against Magufuli) naomba kurudia leo kuwa wale wote waliochukua na kula fedha za 'escrow' wakiamini kuwa wameweza ku 'get away with it' huu kwao ni muda wa kujitafakari haraka. Wasije wakadhania au kuamini kuwa nyavu hii iliyorushwa itawakwepa. Wasije wakajifungia ndani na kuomba kwa miungu yao kuwa 'kikombe hiki kiwaepuke'. Sala zao hazitajibiwa.

Waamue kwa hiari yao wenyewe wazirudishe fedha hizo kabla hawajapewa nafasi ya kuzirudisha zote na adhabu juu (with penalty). Naamini - na nina sababu nzuri ya kuamini hivyo kutokana na kilichowahi kufanyika huko nyuma (predence) - hawa ndugu zetu wataambiwa wazirudishe fedha zote walizozipokea toka mikononi mwa Rugemalira na wenzake. Kama wana chembe ya hekima na uadilifu wajipeleke wenyewe machinjioni.

Kuna sababu kubwa mbili kwanini wanatakiwa wazirudishe:

1. Walionesha kuwa siyo waadilifu kwa kupokea fedha hizi. Wote waliopokea fedha za escrow walipaswa kugundua mara moja kuwa "something is very wrong". Karibu wote ni wasomi na wengi wao ni watumishi wa umma au wa jamii. Baada ya taarifa za kuwa waligawiwa mamilioni ya fedha kwa makundi makundi na mtu ambaye anatajwa kuhusika na kashfa ya IPTL ambayo ilikuwa inajulikana kwa muda mrefu basi watu hawa wote kama wangekuwa na uadilifu hata kidogo tu wangesema hizi fedha za moto!

Badala yake katika njaa zao na ukosefu wao wa uadilifu (lack of integrity) wakazipokea kwa mikono mitupu na kila mmoja akijielezea kwanini anapaswa kubaki nazo. Unapokea fedha vipi wakati unaona majina ya watu toka TRA, Ikulu, wabunge, majaji, viongozi wa dini na bado ukadhani uko salama?

2. Tangu wapokee fedha hizo miaka kadhaa nyuma ndugu zetu hawa nina uhakika kama kuzila walishazila na kama kuzifanyia shughuli wameshafanyia shughuli zao mbalimbali. Lakini wamekula kisicho chao na wameshiriki kula visivyoruhusiwa kwao. Walifanya hivyo kwa sababu waliamini kabisa kuwa "they got away with it". Kwamba, wakija kuulizwa wao watasema tu "si tumepewa jamani kosa letu ni nini?". Tatizo ni kuwa hawa wote ni viongozi ambao wanajua kabisa au walipaswa kujua shetani hana zawadi ya bure (the devil has no free gifts).

Ukikuta hela imeingia kwenye akaunti yako ambayo hujui imetokana na nini au kwanini usikimbilie kuitumia tu. Mwezi Machi 2012 huko Philadelphia kijana mmoja wa miaka 22 alijikuta ameingiziwa kwenye akaunti yake dola 70,000 wakati yeye alikuwa na dola 35 humo. Jamaa akajua amebarikiwa akawa anaenda kwenye ATM kutoa hela, kwa karibu wiki mbili hivi akawa ametumia dola 2000! Benki ikagundua kosa na jamaa akaja kukamatwa na polisi kwa kupokea na kutumia fedha za wizi!

Huko Georgia kijana wa miaka 18 alijikuta ameingiziwa dola 30,000 kwa makosa kwa vile jina lake na ambaye alikuwa anatakiwa kuingizwa fedha yalifanana na teller alichanganya tu. Kijana huyo akaamua kuzila hizo fedha, aliposhtakiwa na kukutwa na hatia na kuwekwa chini ya uangalizi wa mahakama kwa miaka 10 na kutakiwa kurudisha fedha alizotumia.

Sasa ndugu zetu hawa wote maafisa wa umma, unapokea vipi fedha kwa mamilioni bila kushtuka isipokuwa kama ulikuwa umeshajua fedha zinakuja na unatakiwa uchangamkie. Hisia zangu ni kuwa sehemu ya fedha hizo zilirudishwa kwa kina Ruge au watu wengine (ikiwa sehemu ya utakatishaji) lakini sehemu yake ilibakia na kuliwa na waliokubali akaunti zao zitumiwe.

Huu ni ufisadi tu.

Sasa, hawa ndugu zetu wasome alama za nyakati (signs of the times); hawako salama, Mali zao haziko salama, uhuru wao hauko salama, na wasipoangalia familia zao zitajikuta haziko salama na kila walichodhania ni kinga kwao hakipo tena. Walikingiwa kifua na utawala wa Kikwete, lakini there is a new sherrif in town and he ain't bulls@$!!g!

Ili labda yasiwakute:
1. Ombeni utaratibu wa kurudisha fedha zile wenyewe kabla hawajawajia. What you gonna do when they come for you!

2.
Na kama mna utimamu andikeni cheki mzirudishe fedha hizo kwa serikali iziweke kwenye mfuko maalum ambapo zitakusanywa.

3.
Serikali inakuja dhidi yenu kuzirudisha fedha hizo na adhabu juu. Jiandaeni kwan labda... labda... labda.. mnaweza MSIPIGISHWE MAGOTI NA KUCHUCHUMAISHWA!

mmm
I like this.It's just fantastic.
 
Mkuu Freeland, kwanza naunga mkono hoja kuwa our law enforcement agencies are more informed, na pia possibilities za tips kufanikisha uchotaji.

Ila pia sio mara moja wala mbili hizi hizi serikali zetu zinawaonea bure tuu raia wake bila sababu zozote za msingi!.

We have a government that takes pride in playing with liberty of its citizens!. Serikali inayofanya udhalimu kwa watu wake, ikiitwa ni serikali dhalimu huku ni kuionea?.

Paskali
Mhuuu!! Ungetoa mifano na majina ya raia ambao serikali imewahi kuwaonea bure bure tu bila kuwa na sababu zo zote za msingi, ingependeza.

Wengi tunaamini sheria ndiyo inatawala nchini kwetu na kwamba serikali inatawala kwa kutumia sheria zilizotungwa na wananchi kupitia wawakilishi wao kwenye Bunge la JMT.

Sasa jee ni kweli kwamba kuwafikisha mahakamani akina Seith na Mzee Rugemalira ni kuwaonea bure kwa sababu zisizo za msingi? Kila mtu alilalamika kuwa uchotaji wa pesa za Tegeta escrow account uligubikwa na sintofahamu ya ubadhilifu wa pesa za umma. Hukumu ya mgogoro uliosababisha kufungua escrow account ilikuwa haijatolewa. Hukumu hii ilitolewa mwezi mmoja baada ya pesa zote kuchotwa, na kwenye hukumu hiyo ya mahakama ya kimataifa ya migogoro za kibiashara (ICSID), TANESCO walishinda kesi na hivyo walikuwa na haki kupata pesa yao kwenye hiyo escrow account.

Wajanja hao waliichota pesa yote kwenye account hiyo siku chache kabla ya hukumu kutolewa. Walijua kuwa katika kesi hiyo TANESCO wataibuka washindi. Wakawahi faster faster kwa Jaji Mujulizi wa mahakama kuu ya Tanzania na kupata hukumu ya kuchota hizo pesa kutoka Bank of Tanzania iliyoko hiyo account yao ya escrow. Governor wa BoT alipotilia ngumu utekelezaji wa hiyo hukumu, Mwanasheria mkuu wa serikali (Mr Werema) alilivalia njuga suala hilo na kwa kutumia watu mbali mbali hadi viongozi wa dini kuweka shinikizo kwa serikali ya awamu ya nne kukubali kuruhusu fedha hizo kuchotwa.

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali alishafanya ukaguzi wa suala hili na kuonyesha ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye account hiyo na akina Seith na Rugemalila wakisaidiwa na baadhi ya watumishi wa umma. Bunge letu ambalo ndilo mwakilishi wa wananchi wote lilishapitia kwa kina ubadhilifu huo na kutoa mapendekezo ya hatua ambazo serikali inapaswa kuwachukulia wote waliohusika na wizi huo. Watalaamu wa TAKUKURU wamefanya upelelezi wa kitalaamu kwa miaka mitatu na kukusanya ushahidi ambao sasa wanaona unatosheleza kuwafikisha watu hawa kwa Pilato. Juzi wamewafikisha kwa Pilato, wewe unasema wameonewa na serikali pasipo na sababu zo zote za msingi na kwamba serikali hii ni dhalimu!! Kweli Pasco are you serious? Serikali kukufikisha kwa Pilato (Mahakamani) ni kukuonea? Ulitaka serikali iyamezee haya mambo ili isije kuitwa dhalimu? Bado mgesema serikali ni dhaifu. Serikali ya Magufuli si dhaifu na wala si dhalimu.

Serikali haijafunga njia ya kwenda kwa Pilato kwa wale wanaohisi kuonewa. Jana tumewaona akina Halima Mdee, Bulaya na Lissu wameenda kwa Pilato kwa kuhisi Bunge limewaonea kwa kuwapa ban ya mwaka mmoja. Ulishaona kwenye serikali gani dhalimu ambayo wananchi wanaruhusiwa hadi kulishitaki bunge mahakamani?
 
Mkuu Freeland, kwanza naomba tutenganishe mambo 3.
1. Rugemalila as a business man
2. Escrow ni fedha za nani?.
3. Kugawa fedha na sio kugawana! .

1. Rugemalila ni business man who had 30% stakes kwenye IPTL. Ameiuza hiyo 30% stake for a good deal and made good clean money.

2. Fedha za escrow some zilikuwa za umma za Tanesco na some zilikuwa binafsi za IPTL. Mgogoro ulipokwisha, zikachange hands na zote kugeuka fedha binafsi za IPTL.

3. Ukiishakuwa na fedha halali kwa kufanya biashara halali, then you are free kutumia hizo fedha zako vyovyote utakavyo bila kuvunja sheria yoyote ikiwemo kuzigawa kwa yoyote kwa sababu yoyote au bila sababu yoyote!.

Hivyo hakuna fedha zozote watu walizogawana bali kuna watu wenye fedha zao waliamua kuwagawia watu wengine kwa sababu au bila sababu na hakuna kosa lolote.

Hapa Rugemalila wanamuonea bure na tumeishamkabidhi kwa Mungu Baba anasimamia hili Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
P.
watanzania wengi wana tatizo kubwa la kutoa maoni yanayotokana na taarifa kidogo sana wanazozijua kwa kusikia kupitia media, mambo mengi yanayoletwa na media zetu yanakuwa ni sehemu ndogo sana ya jambo wanaloliongelea.. paskali hamjui kitu chochote kuhusiana na jambo hili. bora kukaa kimya!
 
Mkuu Freeland, kwanza naunga mkono hoja kuwa our law enforcement agencies are more informed, na pia possibilities za tips kufanikisha uchotaji.

Ila pia sio mara moja wala mbili hizi hizi serikali zetu zinawaonea bure tuu raia wake bila sababu zozote za msingi!.

We have a government that takes pride in playing with liberty of its citizens!. Serikali inayofanya udhalimu kwa watu wake, ikiitwa ni serikali dhalimu huku ni kuionea?.

Paskali
Toa mfano wa udhalimu uliofanywa na serikali hii awamu ya 5..usiandike jumla jumla, wewe ukiitwa mwizi vile mke wako aliiba jana ni sawa?? ulisoma sheria ...au ulihudhuria kozi ya sheria pasco???
 
Naomba nikupe tu kaushauri kadogo maana naona mapenzi yamekupofusha mzee mwenzangu...kumbuka mapenzi ni kikohozi, hayawezi kufichana (thanks to the late Edouard Masengo aka Masengo Edward aka "Katiti" 1933-2003)

Mchimba Kaburi huweza kujikuta anaingia mwenyewe...je umejiuliza sehemu kubwa ya mgao wa ESCROW ilitumikaje? Je una habari ya uwezekano wa malengo ya ESCROW mwaka 2014 kutotofautiana sana na malengo ya EPA mwaka 2004?

Kama Rasimu ya Katiba ya Jaji Warioba ingepita, ingekuwa rahisi kufukua makaburi lakini wajanja wetu wakagutuka mapema na kahakikisha inazimwa, unajua kwa nini? Ni sanaa ya kuendeleza vita dhidi ya nyoka wa kufugwa kwa kumponda mkia.

Endelea kuota mzee mwenzangu...!
Mzee wewe huna jipya, huna suluhisho unabaki na malalamiko... Wakati wazee wenzako wanapendekeza masuluhisho
 
Tungepata Rais mwingine kama Yule jamaa kwa miaka mingine Kitano tu hii inchi ingekuwa kwishnei
 
Mhuuu!! Ungetoa mifano na majina ya raia ambao serikali imewahi kuwaonea bure bure tu bila kuwa na sababu zo zote za msingi, ingependeza.

Wengi tunaamini sheria ndiyo inatawala na kwamba serikali inatawala kwa kutumia sheria zilizotungwa na wananchi kupitia wawakilishi wao kwenye Bunge la JMT.

Sasa kuwafikisha mahakamani akina Seith na Mzee Rugemalira ni kuwaonea bure kwa sababu zisizo za msingi? Kila mtu alilalamika kuwa uchotaji wa pesa za Tegeta escrow account uligubikwa la sintofahamu ya ubadhilifu wa pesa za umma. Hukumu ya mgogoro uliosababisha kufungua escrow account ilikuwa haijatolewa. Hukumu hii ilitolewa mwezi mmoja baada ya pesa zote kuchotwa, na kwenye hukumu hiyo ya mahakama ya kimataifa ya migogoro za biashara TANESCO walishinda kesi na hivyo walikuwa na haki kupata pesa yao kwenye hiyo escrow account.

Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali alishafanya ukaguzi wa suala hili na kuonyesha ubadhilifu mkubwa uliofanywa kwenye account hiyo na akina Seith na Rugemalila wakisaidiwa na baadhi ya watumishi wa umma. Bunge letu ambalo ndilo mwakilishi wa wananchi wote lilishapitia kwa kina ubadhilifu huo na kutoa mapendekezo ya hatua ambazo serikali inapaswa kuwachukulia wote waliohusika na wizi huo. Watalaamu wa TAKUKURU wamefanya upelelezi wa kitalaamu kwa miaka mitatu na kukusanya ushahidi ambao sasa wanaona unatosheleza kuwafikisha kwa Pilato watuhumiwa hao. Juzi wamewafikisha kwa Pilato, wewe unasema wameonewa na serikali pasipo na sababu zo zote za msingi na kwamba serikali hii ni dhalimu!! Kweli Pasco are you serious? Serikali kukufikisha kwa Pilato (Mahakamani) ni kukuonea? Ulitaka serikali iyamezee haya mambo ili isije kuitwa dhalimu? Bado mgesema serikali ni dhaifu. Serikali ya Magufuli si dhaifu na wala si dhalimu.
Mkuu Dr. Akili, kwanza nakubaliana na hoja zako, ukiuzungumzia udhalimu wa serikali, unapaswa kutoa na mifano, naomba tembelea baadhi ya hizi nyuzi.
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Dhalimu ...
Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know ...
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...
IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality ...
Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni ...
Ukwiukwaji wa Haki za Binaadamu Tarime: Waziri Mkuu aomba Msamaha ...
Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete ...
Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote ...
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

Nimeishi kidogo SA, UK na US, wanaheshimu sana liberty ya watu, mtu anachunguzwa hadi kufikia anakamatwa, wanakuwa wana uhakika, mfano Harry Kitlya yuko ndani mwaka mzima sasa, kosa ni transaction moja tuu ya SCB. Ukifanya wizi wowote kupitia banking transactions kila senti inajulikana imetoka wapi, imepita wapi na imekwenda wapi!, uchunguzi gani unaofanywa mwaka mzima sasa?!. Lema alivyozuiliwa, ilikuwa haki kweli?. Unakumbuka kifo cha Imran Kombe?. Mara ngapi serikali inashitakiwa na kushindwa?!.

Escrow tumeizungumza sana humu na fedha ni za nani, mimi mwenyewe nimeishaanzisha threads zaidi ya 10 kuzungumzia IPTL/Escrow,
Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ...
Sakata la IPTL: The Role of JamiiForums - Tujikumbushe! Je, JF ...
UFISADI: The Making Of IPTL | Page 12 | JamiiForums | The Home of ...
Pesa za IPTL: Je, ni za wizi au Malipo yasiyo halali? Are ...
Nani atailipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK)? | Page 2 ...
Uamuzi wa kufufua IPTL uongozi wa Tanzania unafahamu haya? | Page ...
Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho ...
Sakata la Escrow: Did "BOT Had a Role to Play?" or Just An ...
How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT ...
Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume ...
Ripoti ya IPTL Tayari!, Anasubiriwa Tuu Arejee, Akabidhiwe!, Heavy ...
Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia ...
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry ...
Escrow: Mahakama Imedhalilishwa! Imedharauliwa! Imefedheheshwa ...
Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize ...

Taasisi pekee iliyodhulumiwa kwenye issue ya Tageta Escrow ni SCB-HK. Singasinga kauziwa mitambo bila kuuziwa madeni, hivyo kama kuna wizi, mwizi ni Singasinga, JR ameuza shares zake halali zilizokuwa IPTL na amelipwa malipo halali kwa shares zake. Sasa kama hizo fedha ziliibwa na Sing, hilo sio suala lake, yeye kafanya biashara safi na halali.

NB. Hapa naomba nieleweke vizuri sana, sijasema IPTL safi, nimesema JR amefanya biashara safi!.

Paskali
 
watanzania wengi wana tatizo kubwa la kutoa maoni yanayotokana na taarifa kidogo sana wanazozijua kwa kusikia kupitia media, mambo mengi yanayoletwa na media zetu yanakuwa ni sehemu ndogo sana ya jambo wanaloliongelea.. paskali hamjui kitu chochote kuhusiana na jambo hili. bora kukaa kimya!
Toa mfano wa udhalimu uliofanywa na serikali hii awamu ya 5..usiandike jumla jumla, wewe ukiitwa mwizi vile mke wako aliiba jana ni sawa?? ulisoma sheria ...au ulihudhuria kozi ya sheria pasco???
Mkuu Dr. Akili, kwanza nakubaliana na hoja zako, ukiuzungumzia udhalimu wa serikali, unapaswa kutoa na mifano, naomba tembelea baadhi ya hizi nyuzi.
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Dhalimu ...
Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know ...
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...
IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality ...
Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni ...
Ukwiukwaji wa Haki za Binaadamu Tarime: Waziri Mkuu aomba Msamaha ...
Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete ...
Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote ...
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

Nimeishi kidogo SA, UK na US, wanaheshimu sana liberty ya watu, mtu anachunguzwa hadi kufikia anakamatwa, wanakuwa wana uhakika, mfano Harry Kitlya yuko ndani mwaka mzima sasa, kosa ni transaction moja tuu ya SCB. Ukifanya wizi wowote kupitia banking transactions kila senti inajulikana imetoka wapi, imepita wapi na imekwenda wapi!, uchunguzi gani unaofanywa mwaka mzima sasa?!. Lema alivyozuiliwa, ilikuwa haki kweli?. Unakumbuka kifo cha Imran Kombe?. Mara ngapi serikali inashitakiwa na kushindwa?!.

Escrow tumeizungumza sana humu na fedha ni za nani, mimi mwenyewe nimeishaanzisha threads zaidi ya 10 kuzungumzia IPTL/Escrow,
Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ...
Sakata la IPTL: The Role of JamiiForums - Tujikumbushe! Je, JF ...
UFISADI: The Making Of IPTL | Page 12 | JamiiForums | The Home of ...
Pesa za IPTL: Je, ni za wizi au Malipo yasiyo halali? Are ...
Nani atailipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK)? | Page 2 ...
Uamuzi wa kufufua IPTL uongozi wa Tanzania unafahamu haya? | Page ...
Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho ...
Sakata la Escrow: Did "BOT Had a Role to Play?" or Just An ...
How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT ...
Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume ...
Ripoti ya IPTL Tayari!, Anasubiriwa Tuu Arejee, Akabidhiwe!, Heavy ...
Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia ...
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry ...
Escrow: Mahakama Imedhalilishwa! Imedharauliwa! Imefedheheshwa ...
Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize ...

Taasisi pekee iliyodhulumiwa kwenye issue ya Tageta Escrow ni SCB-HK. Singasinga kauziwa mitambo bila kuuziwa madeni, hivyo kama kuna wizi, mwizi ni Singasinga, JR ameuza shares zake halali zilizokuwa IPTL na amelipwa malipo halali kwa shares zake. Sasa kama hizo fedha ziliibwa na Sing, hilo sio suala lake, yeye kafanya biashara safi na halali.

NB. Hapa naomba nieleweke vizuri sana, sijasema IPTL safi, nimesema JR amefanya biashara safi!.

Paskali
Humu jf watu wanachangia kile wanachojua, kwa kujenga hoja, mfano mada hii hoja yangu ni fedha zilizokuwa ndani ya account ya escrow sio fedha za umma, kama wanakosea, hao wanaojua wanakuja na kuleta wanachokijua, ile kile kilicholetwa kinakuwa defeated. Tubishane kwa hoja, sio kwa kuambiani wewe hujui kitu bora unyamaze!.

Pasksali
 
kiongozi wao Jk alizisafisha na kusema pesa sio za serikali.Unataka zisafishwe mara ngapi?Hvyo,walikuwa na haki zote kupokea.Tuanze kwanza na kichwa then tutashuka chini taratibu.
Kinacholeta ukakasi ni hicho NA mkulu alisema hao jamaa wa awamu zilizopita wasisumbuliwe
 
Mkuu Dr. Akili, kwanza nakubaliana na hoja zako, ukiuzungumzia udhalimu wa serikali, unapaswa kutoa na mifano, naomba tembelea baadhi ya hizi nyuzi.
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Dhalimu ...
Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know ...
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...
IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality ...
Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...
Udikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni ...
Ukwiukwaji wa Haki za Binaadamu Tarime: Waziri Mkuu aomba Msamaha ...
Je, Kila utumbuaji ni wa haki, au kuna kumkomoa Kikwete ...
Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi ...
Rais hana mamlaka ya kupunguza mshahara wa mtumishi yeyote ...
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...

Nimeishi kidogo SA, UK na US, wanaheshimu sana liberty ya watu, mtu anachunguzwa hadi kufikia anakamatwa, wanakuwa wana uhakika, mfano Harry Kitlya yuko ndani mwaka mzima sasa, kosa ni transaction moja tuu ya SCB. Ukifanya wizi wowote kupitia banking transactions kila senti inajulikana imetoka wapi, imepita wapi na imekwenda wapi!, uchunguzi gani unaofanywa mwaka mzima sasa?!. Lema alivyozuiliwa, ilikuwa haki kweli?. Unakumbuka kifo cha Imran Kombe?. Mara ngapi serikali inashitakiwa na kushindwa?!.

Escrow tumeizungumza sana humu na fedha ni za nani, mimi mwenyewe nimeishaanzisha threads zaidi ya 10 kuzungumzia IPTL/Escrow,
Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ...
Sakata la IPTL: The Role of JamiiForums - Tujikumbushe! Je, JF ...
UFISADI: The Making Of IPTL | Page 12 | JamiiForums | The Home of ...
Pesa za IPTL: Je, ni za wizi au Malipo yasiyo halali? Are ...
Nani atailipa Standard Chartered Bank Hong Kong (SCB HK)? | Page 2 ...
Uamuzi wa kufufua IPTL uongozi wa Tanzania unafahamu haya? | Page ...
Escrow: Tumuombee J.Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho ...
Sakata la Escrow: Did "BOT Had a Role to Play?" or Just An ...
How James Rugemalira outsmarted the Government of Tanzania (GoT ...
Escrow na kisa cha mke mpumbavu, anawatangazia majirani kuwa mume ...
Ripoti ya IPTL Tayari!, Anasubiriwa Tuu Arejee, Akabidhiwe!, Heavy ...
Hata ikithibitika Fedha za Escrow ni za Wizi, Nawahakikishia ...
Escrow: Jee Watanzania ni Ignorants? au Tumelogwa?!.Tuache Cherry ...
Escrow: Mahakama Imedhalilishwa! Imedharauliwa! Imefedheheshwa ...
Suala la ESCROW Tupunguze Too Much Sensationalism na ku Dramatize ...

Taasisi pekee iliyodhulumiwa kwenye issue ya Tageta Escrow ni SCB-HK. Singasinga kauziwa mitambo bila kuuziwa madeni, hivyo kama kuna wizi, mwizi ni Singasinga, JR ameuza shares zake halali zilizokuwa IPTL na amelipwa malipo halali kwa shares zake. Sasa kama hizo fedha ziliibwa na Sing, hilo sio suala lake, yeye kafanya biashara safi na halali.

NB. Hapa naomba nieleweke vizuri sana, sijasema IPTL safi, nimesema JR amefanya biashara safi!.

Paskali
Sasa si unaona, wewe Pasco najua unajua mengi kuhusu sakata hili. Kwa hiyo nilijua kuwa ulikuwa una pretend to stand to be corrected. Hii ya ku pretend ndiyo inapelekea watu wahoji una jambo gani kwenye sakata hili?

Serikali zote duniani zina maguvu. Cha mhimu ni kuwa zitumie maguvu hayo kuhakikisha utawala wa sheria unatekelezwa. Kwenye nchi zinazotawaliwa na serikali dhalimu hakuna utawala wa sheria; njia za wananchi kwenda kwa Pilato (Mahakamani) wanapohisi wameonewa na serikali yao huwa zimefungwa na wakati mwingine serikali ndiyo inakuwa Pilato!!!

Serikali yetu haijafunga njia hiyo na wala haijawa Pilato. Katika matukio hayo mengi uliyoyanukuu, hao unaodhani walionewa bure kusipokuwa na sababu za msingi njia yao ya kwenda kwa Pilato ilikuwa wazi. Na wengine serikali ndiyo iliwapeleka kwa Pilato. Na wapo walioenda kwa Pilato wenyewe baada ya kuhisi kuonewa na serikali. Juzi tu wakina Halima Mdee na Bulaya wameenda kwa Pilato kushitaki bunge. Ni nchi gani nyingine, hasa inayoongozwa na serikali dhalimu, ulishaona wananchi wake wanashitaki hadi bunge la nchi yao kwa Pilato? Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wanaweza kushitaki serikali, bunge na mahakama kwa Pilato pale wanapohisi wanaonewa!!

Katika matukio uliyoyanukuu, yapo ambayo wananchi waliishinda kesi kwa Pilato na yapo ambayo serikali nayo ilishinda. Maamuzi ya kuwanyima dhamana watu kama Lema si maamuzi ya serikali bali maamuzi ya Pilato ambaye kwake anaongozwa na sheria tu zilizotungwa na wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. Mahakamani hakuna haki wala kingine bali kuna sheria tu.

Hivyo sioni mantiki ya wewe kuiita serikali yetu kuwa ni serikali dhalimu. Labda ungesema kuwa mahakama zetu (Pilato) ni dhalimu, kitu ambacho si cha kweli. Wananchi wetu wana imani sana na mahakama zetu na wanajua kuwa ndiyo kimbilio lao wanapohisi serikali au mtu mwingine ye yote hajawatendea haki. Na mahakama ndiyo kimbilio la serikali inapohisi kuwa mtu au kikundi fulani kimevunja sheria za nchi. Wakuu wa wilaya au mkoa kuwalaza lock up kwa kipindi kifupi watu fulani fulani wanaowahisi kuwa tishio la amani kwenye maeneo yao ni kwa mjibu wa sheria zetu. Ukiona wamekuonea unawashitaki kwa Pilato.

Hii ndiyo maana ya utawala wa sheria ambayo kila mtu anapaswa kujua. Tusipende kulalamika tu. Haisaidii. Kama tunaona kuna sheria zinazotukwaza basi tushinikize tuzirekebishe. Otherwise sheria ni msumeno, unakata kote kote hata kwa Seth na Rugemalila. All in all suala la Seth na Rugemalila liko mahakamani, na kwa sheria zetu jambo ambalo liko mahakamani ni kosa la jinai kuliongelea mahali po pote including hata humu Jf. Tukikamatwa humu kwa kosa la kuandika humu suala ambalo liko mahakamani na kufikishwa kwa Pilto na kunyimwa dhamana, tusilalamike kuwa serikali imetuonea bure. Tutakuwa tumevunja sheria na ni wajibu wa serikali kutupeleka kwa Pilato. Uamuzi wa sisi kupewa dhamana au la ni wa Pilato baada ya kusikiliza pande zote mbili.
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, I know you ment fedha za escrow lakini ukaandika ni fedha za EPA.

Pili I stand to be corrected, Fedha za Escrow sio fedha za umma!. Hawa jamaa wanaonewa bure na karma iko juu yao!.

Mtu pekee aliyeibiwa na kudhulumiwa ni Stan Chart HKN.

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !

Paskali
Pesa za Escrow sio za umma; my foot! Paskali you must have taken leave of your faculties or you are listening too much to your tummy (Njaa) na uteuzi wa rc/dc umeukosa!
 
Kaka Tanzania inaendeshwa kwa kufuata sheria, Ni mpaka serikali ifungue shauri mahakamani kuwashitaki wanufaika na ikishinda ndo itakuwa na haki wazilipe, Otherwise Serikali haina justification ya kisheria ya kuwaharass hawa watu!, na ikifanya hivyo kibabe itajikuta inashitakiwa na kujikita inalipa damages kwa hatua za kibabe kinyume cha sheria!.
In the ideal situation unachokisema ni sahihi kabisa; BUT the practice is a distant relative! Hebu fanya homework yako vizuri utagundua kwamba anachokisema Mwanakijiji ni karibia na ukweli asilimia 90 if current trends and practices are anything to go by and therefore inform our observations!
 
Sasa si unaona, wewe Pasco najua unajua mengi kuhusu sakata hili. Kwa hiyo nilijua kuwa ulikuwa una pretend to stand to be corrected. Hii ya ku pretend ndiyo inapelekea watu wahoji una jambo gani kwenye sakata hili?

Serikali zote duniani zina maguvu. Cha mhimu ni kuwa zitumie maguvu hayo kuhakikisha utawala wa sheria unatekelezwa. Kwenye nchi zinazotawaliwa na serikali dhalimu hakuna utawala wa sheria; njia za wananchi kwenda kwa Pilato (Mahakamani) wanapohisi wameonewa na serikali yao huwa zimefungwa na wakati mwingine serikali ndiyo inakuwa Pilato!!!

Serikali yetu haijafunga njia hiyo na wala haijawa Pilato. Katika matukio hayo mengi uliyoyanukuu, hao unaodhani walionewa bure kusipokuwa na sababu za msingi njia yao ya kwenda kwa Pilato ilikuwa wazi. Na wengine serikali ndiyo iliwapeleka kwa Pilato. Na wapo walioenda kwa Pilato wenyewe baada ya kuhisi kuonewa na serikali. Juzi tu wakina Halima Mdee na Bulaya wameenda kwa Pilato kushitaki bunge. Ni nchi gani nyingine, hasa inayoongozwa na serikali dhalimu, ulishaona wananchi wake wanashitaki hadi bunge la nchi yao kwa Pilato? Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wanaweza kushitaki serikali, bunge na mahakama kwa Pilato pale wanapohisi wanaonewa!!

Katika matukio uliyoyanukuu, yapo ambayo wananchi waliishinda kesi kwa Pilato na yapo ambayo serikali nayo ilishinda. Maamuzi ya kuwanyima dhamana watu kama Lema si maamuzi ya serikali bali maamuzi ya Pilato ambaye kwake anaongozwa na sheria tu zilizotungwa na wananchi kupitia wawakilishi wao bungeni. Mahakamani hakuna haki wala kingine bali kuna sheria tu.

Hivyo sioni mantiki ya wewe kuiita serikali yetu kuwa ni serikali dhalimu. Labda ungesema kuwa mahakama zetu (Pilato) ni dhalimu, kitu ambacho si cha kweli. Wananchi wetu wana imani sana na mahakama zetu na wanajua kuwa ndiyo kimbilio lao wanapohisi serikali au mtu mwingine ye yote hajawatendea haki. Na mahakama ndiyo kimbilio la serikali inapohisi kuwa mtu au kikundi fulani kimevunja sheria za nchi. Wakuu wa wilaya au mkoa kuwalaza lock up kwa kipindi kifupi watu fulani fulani wanaowahisi kuwa tishio la amani kwenye maeneo yao ni kwa mjibu wa sheria zetu. Ukiona wamekuonea unawashitaki kwa Pilato.

Hii ndiyo maana ya utawala wa sheria ambayo kila mtu anapaswa kujua. Tusipende kulalamika tu. Haisaidii. Kama tunaona kuna sheria zinazotukwaza basi tushinikize tuzirekebishe. Otherwise sheria ni msumeno, unakata kote kote hata kwa Seth na Rugemalila. All in all suala la Seth na Rugemalila liko mahakamani, na kwa sheria zetu jambo ambalo liko mahakamani ni kosa la jinai kuliongelea mahali po pote including hata humu Jf. Tukikamatwa humu kwa kosa la kuandika humu suala ambalo liko mahakamani na kufikishwa kwa Pilto na kunyimwa dhamana, tusilalamike kuwa serikali imetuonea bure. Tutakuwa tumevunja sheria na ni wajibu wa serikali kutupeleka kwa Pilato. Uamuzi wa sisi kupewa dhamana au la ni wa Pilato baada ya kusikiliza pande zote mbili.
Mkuu Dr.Akili, kwanza nakupa hongera kwa kuliishi jina lako la Dr.Akili na ukweli kichwani ni akili kweli.

Pili nakubaliana na wewe katika hoja zote ulizozijibu na kiukweli uko fit in defence katika kuitetea serikali kwa hoja.

Hoja ya serikali dhalimu na ya kidikiteta is now officially withdrawn as of now, ila hoja ya rais Magufuli kuwa ni dikiteta still stands but he is a benevolent one hivyo benevolence dictatorships is an acceptable phenomenon duniani kote, hivyo tutake tutake lazima tumkubali and learn to live with him ndio the real situation na hili nililizungumza hapa
If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Na pia nilizungumzia baadhi ya watu kuja kujuta
Rais Magufuli, Waliomchagua Wanajuta!, Wasiomchagua Wanamshangilia!. Akishika Chama, Watakoma

Ila hoja ya mwisho ya contempt of the court kuwa kwa vile kesi tayari iko mahakamani, then haturuhusiwi kujadili lolote kuwahusu JR na Singasinga, kitu ambacho haturuhusiwi kujadiliwa ni details of the case. Hakuna mtu yoyote humu anayejadili details of the case kiasi cha kuingilia uhuru wa mahakama, ila pia the dividing line between what is a contempt of the court and what is not!, is very thin, hivyo to be on a safe side, I rest my case here na kusubiri ripoti za court report kutoka mahakamani.

Thanks Dr.Akili ambaye umethibitisha ni akili kweli.

Paskali.
 
Pesa za Escrow sio za umma; my foot! Paskali you must have taken leave of your faculties or you are listening too much to your tummy (Njaa) na uteuzi wa rc/dc umeukosa!
Time will tell, ila kuniweka mimi katika wasaka u DC na U RC sio kunitendea haki!. Mimi ni mtu wa the Fourth Estate's, baada ya the Executives, the Legislatures and the Judiciaries, lies the fourth estate which is informal and silent observer ambayo haitakiwi kuwa a part of any and is working independently. It is composed of the people by the people and for the people!. That is me!.
Paskali
 
Changamoto kubwa ya vita dhidi ya ufisadi ni kwamba kuna watu walijua (na supporters wao) kwamba they are above the law. Ndo maana kwa sasa ni ngumu kwa wengi wetu kuamini kwamba Rugemarila, Singa singa, Kitilya wako ndani!

My advise to these people: the earlier you realize that there is a new sheriff in town in the name of JPM the better!
 
Back
Top Bottom