Waliobarikiwa Fedha za 'Escrow' Wazirudishe Mapema.. Labda.. na Labda...

Waliobarikiwa Fedha za 'Escrow' Wazirudishe Mapema.. Labda.. na Labda...

Kidikteta sawa; ila kisheria sidhani kama ndoto zako Mwanakijiji zitatimia. Hakuna "paper trail" kwa wizi wote mkubwa ulifanyika huko nyuma. Kikwete oversaw all the theft but your messiah Magufuli won't dare to ask him where the records are. So, this is likely to be all show, but true justice won't be served.
Magu haitaji kumuulia Kikwete; yeye ni Rais akitaka kujua zilizpo anajua vizuri tu na kuna uhakika mkubwa anajua kilichotokea. Usidhani kung'oa majaji wa JK, watendaji fulani fulani yote ni hewani tu. Mtu yeyote mwenye hekima anaweza kuona vizuri nini kinaendelea.
 
Unachosema inawezekana kwa kiasi ni sahihi. Lakini siyo sahihi kabisa. Wakati mwingine mtu unapokutwa na mali ya wizi si lazima ushtakiwe; ukishaoneshwa kuwa mali uliyopokea siyo ya haki yako unatakiwa urudishe tu; huwezi kusema hadi mnipeleke mahakamani. Maana huko siyo tu unaweza ukalazimishwa kurudisha lakini ukajikuta unaadhibiwa zaidi ya hivyo.

Kama wana akili nzuri ni kwa maslahi yao wao wenyewe kuamua kurudisha kwani ushahidi wote uko dhidi yao. Lakini wanaweza wakaamua "kubet" kuwa wakienda mahakamani wanaweza kuachiliwa mali hizo... itakula kwao!

Sioni ni kwa vipi serikali ifungue shauri la hivyo wakati serikali hiyohiyo imeshatoa msimamo kuwa hizo pesa si za serikali bali ni za IPTL na wadau wengine. Msimamo wa kisheria wa serikali kupitia kwa mwanasheria wake mkuu imeshatoa msimamo wake kupitia kwa Jaji Werema kuwa hizo si pesa zake bali ni za IPTL!. Serikali ikienda mahakamani kuzidai hizo pesa itabidi iadress kwa nini misimamo yake ya kisheria inabadirikabadirika

Tutofautishe mfano uliotoa wa foreign policy issues na Legal issues.
 
Kashalewa 'Magufuli'
anafikiri nchi inaendeshwa tu kwa amri bila sheria
Mkuu hivi hati ya mashitaka ya shauri lao inasema wanashitakiwa kwa amri ya Magufuli au kwa kutuhumiwa kuvunja sheria fulani au kwa mujibu wa sheria fulani. Wewe ni GT humu JF tafadhari sana mkuu distance youself from street here say roumers. Kama Magu kawakumbusha TAKUKURU kuhusu shauri hili kuna ubaya gani? Kwanini watu wasiende/wasipelekwe mahakamani kujisafisha na tuhuma hizi ambazo zipo ktk makabrasha ya bunge kuliko kuendelea kuwanyoshea vidole kwa tuhuma za uongo au uonevu?
 
kwenye equation ya ufisadi unapowaondoa jk na che nkapa unakuwa mwigizaji unayestahili tuzo
Tatizo mnafikiri Rais akisema jambo basi ndio limekuwa tu; hata mengine yanayofanywa na Magufuli sasa anaweza akaja Rais mwingine akayatengua na kuyasahihisha au kufutilia mbali. Ndio maana umeona huko US Obama aliondoa vikwazo vingi dhidi ya Cuba kaingia Trump akafutilia mbali...
Huyu mzee mwigizaji kama shilawadu.
 
Wote waliopata fedha kwa udanganyifu WARUDISHE PESA HARAKA KABLA RUNGU LA CHATO KUWASHUKIA
Wamepewa kihalali, ni zao!!!
Acheni wivu wa kimasikini.

Walimdanganya nani?

Aliyedanganywa karipoti polisi?

Rugemalila aliwagawia ndugu zake hela kidogo kutoka kwenye mapato yake kama uafrika unavyoelekeza (ukichuma janga unakula na watu wa kwenu hali kadhalika ukichuma tunda unawagawia nduguzo) shida iko wapi??

Mzee Mwanakijiji usituzingue.
 
Kidikteta sawa; ila kisheria sidhani kama ndoto zako Mwanakijiji zitatimia. Hakuna "paper trail" kwa wizi wote mkubwa ulifanyika huko nyuma. Kikwete oversaw all the theft but your messiah Magufuli won't dare to ask him where the records are. So, this is likely to be all show, but true justice won't be served.
Magu haitaji kumuulia Kikwete; yeye ni Rais akitaka kujua zilizpo anajua vizuri tu na kuna uhakika mkubwa anajua kilichotokea. Usidhani kung'oa majaji wa JK, watendaji fulani fulani yote ni hewani tu. Mtu yeyote mwenye hekima anaweza kuona vizuri nini kinaendelea.


Moja ya mbinu maarufu sana inayotumiwa na mafisadi wakubwa nchini ni kupoteza criminal evidence. Magufuli anapewa "gossips" na usalama wa taifa kuhusu nini kilitokea wakati wa utawala wa watangulizi wake lakini hatapewa hard evidence ya kumfunga fisadi mkubwa yeyote (ukiondoa Lowassa, ambaye wapo tayari kumgeuka kutokana na kutokuwa CCM tena). All the evidence was erased before Magufuli even sat on the chair.

Hao majaji, sijui Mkurugenzi wa takukuru aliyepita, mawaziri ni vidagaa. Anybody could fire them easily. Hawa hawana mizizi mirefu kwa uongozi wa juu wa nchi. Kumbuka kauli ya Pinda kwamba kuna watu wakichukuliwa hatua nchi itatikisika.

Halafu Mwanakijiji elewa kwamba ufisadi mkubwa nchini ulisimamiwa na mpaka baadhi ya maafisa waandamizi wa usalama wa taifa.
 
Haya Chadema andaeni madodoki kusafisha mafisadi wa escrow. Ndio kazi yenu kwa sasa.
 
Asante bosi nimesahihisha pale juu. Tatizo ni kuwa labda kuna watu hawakuelewa maana ya 'escrow'. Hapa Marekani ukinunua nyumba kwa mkopo wa benki mojawapo ya fomu unazojaza zinaitwa "escrow form". Lengo la fomu hii ni kuwa unakubali akaunti maalum ifunguliwe ambapo fedha za kodi ya ardhi (property tax) zitaingizwa huko kila mwezi na mara moja kwa mwaka zitalipwa kwa mji au jiji unaloishi. Fedha hizi za "escrow" unazilipa kwa mtoaji wako mkopo (benki au taasisi nyingine ya mikopo) na inajumuishwa kwenye malipo yako ya mwezi (mortgage payment). Wao (benki) wanakata chao na wanakata ile nyingine ya ardhi na kuiweka kwenye hiyo akaunti.

Sasa fedha hizo zinakaa huko kila mwezi na kila mwaka; kukitoa mabadiliko yoyote ya kisheria kwa mfano ikaonekana kwa mwaka umelipa fedha nyingi kwenye hiyo escrow kuliko kodi yenyewe ya ardhi basi kampuni ya escrow inakurudishia kile kilichozidi.

Suala la escrow yetu kwa sehemu ilikuwa hivi; tatizo ni kuwa mwisho wa siku kulikuwa na fedha yetu na fedha ambayo ilitakiwa ilipwe kule kwa kina Singh. Hiyo ilitakiwa ifanyike baada ya hesabu zote kupigwa na kuonesha ni kipi chetu na kipi kiende kule. Tatizo ni kuwa wao wakachukua chote bila kujali kuwa sehemu yake siyo yao.. hapo ndipo ufisadi ulipo.
Kwa hiyo serikali imekosea Kwenye hati ya mashitaka, maana inaonekana hawa watu hela yote dola 22 m na tshs 309 m zote ni za serikali kwa kuangalia hati ya mashitaka.

Kwa maelezo yako hapo aya ya mwisho kua sio hela yote ni ya singh maana kuna sehemu ilikua ya serikali, ina maana serikali imejichanganya kwenye hati ya mashtaka?
 
Sioni ni kwa vipi serikali ifungue shauri la hivyo wakati serikali hiyohiyo imeshatoa msimamo kuwa hizo pesa si za serikali bali ni za IPTL na wadau wengine. Msimamo wa kisheria wa serikali kupitia kwa mwanasheria wake mkuu imeshatoa msimamo wake kupitia kwa Jaji Werema kuwa hizo si pesa zake bali ni za IPTL!. Serikali ikienda mahakamani kuzidai hizo pesa itabidi iadress kwa nini misimamo yake ya kisheria inabadirikabadirika

Msimamo wa kisheria wakati mwingine unabadilika kutokana na 'facts' ambazo zipo na zimepatikana hadi wakati huo. Wakati mwingine - na yawezekana kama huu - baada ya Rais mwingine kuingia madarakani na kuangalia hili suala kwa namna nyingine na labda wakipata taarifa zaidi ya zilizokuwepo awali kumewafanya kubadili msimamo wao kuhusu zile fedha hasa zilikuwa ni za nani. Ushahidi unapaswa kufuatwa popote utakapokupeleka.

Utakumbuka Werema aling'olewa sababu ya kashfa hii hii. Ni wazi kabisa kuwa ushauri wake unaweza kuangaliwa upya na unaweza kuwa reversed na uongozi mpya ulioko madarakani hasa kama kuna dalili kuwa yeye mwenyewe alikuwa compromised.
 
Kwa hiyo serikali imekosea Kwenye hati ya mashitaka, maana inaonekana hawa watu hela yote dola 22 m na tshs 309 m zote ni za serikali kwa kuangalia hati ya mashitaka.

Kwa maelezo yako hapo aya ya mwisho kua sio hela yote ni ya singh maana kuna sehemu ilikua ya serikali, ina maana serikali imejichanganya kwenye hati ya mashtaka?

Umesoma vizuri vingine hata visivyoandikwa mle?
 
Naendelea kupunguza kwa kasi sana imani yangu kwa mkuu kwani yaelekea anategemea sana ushabiki wa watu kuliko kufuata sheria na taratibu katika utendaji wake. Akiona kuna wanaomshabikia hata kama ni wajinga wajinga yeye anadhani yuko sahihi. Hatari kabisa hii. .
 
Mkuu Mzee Mwanakijiji, I know you ment fedha za escrow lakini ukaandika ni fedha za EPA.

Pili I stand to be corrected, Fedha za Escrow sio fedha za umma!. Hawa jamaa wanaonewa bure na karma iko juu yao!.

Mtu pekee aliyeibiwa na kudhulumiwa ni Stan Chart HKN.

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !

Paskali
As long as zilipokuwa ESCROW zilikuwa mali ya umma. Kwa kumlipa asiyestahili kulipwa bado inakuwa mali ya umma nap kwa anayekudai Stan Chart HKN bado anakudai hivyo utakapomlipa utakuwa wewe ndo umeibiwa na uliyemlipa asiyestahili. Hatujafika hatua ya kusema StanChart wameibiwa. Benki ikiibiwa hela yako iko pale pale hawasemi Paskali kaibiwa kwa sababu aliweka fedha zake hapo.
 
Suala la escrow yetu kwa sehemu ilikuwa hivi; tatizo ni kuwa mwisho wa siku kulikuwa na fedha yetu na fedha ambayo ilitakiwa ilipwe kule kwa kina Singh. Hiyo ilitakiwa ifanyike baada ya hesabu zote kupigwa na kuonesha ni kipi chetu na kipi kiende kule. Tatizo ni kuwa wao wakachukua chote bila kujali kuwa sehemu yake siyo yao.. hapo ndipo ufisadi ulipo.
There you are Mkuu Mzee Mwanakijiji. Escrow ni account ya custodian tuu wakati wa mgogoro, wenye pesa ni Tanesco na IPTL, the custodian ni BOT. Ikumbukwe fedha za escrow ni capacity charges only lakini Tanesco bado ilikuwa inadaiwa utility. Hivyo walioandika barua ku authorise BOT kulipa fedha zote PAP ni serikali kwa niaba ya Tanesco. Hivyo fedha zote ni za PAP sio fedha za umma.

Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !

Paskali
 
Magu haitaji kumuulia Kikwete; yeye ni Rais akitaka kujua zilizpo anajua vizuri tu na kuna uhakika mkubwa anajua kilichotokea. Usidhani kung'oa majaji wa JK, watendaji fulani fulani yote ni hewani tu. Mtu yeyote mwenye hekima anaweza kuona vizuri nini kinaendelea.
Wise man hufanya maamuzi bila u-double standard, sasa kama ana hekima aioneshe kwa kuanzia na waliomtangulia kwanza, otherwise itakuwa ni unwise.
 
Hayo maagizo umetoa wewe sio mahakama

why kimbelembele cha kutoa maagizo?

Si watuhumiwa wako mahakamani? si hadi wapatwe na hatia kwanza?
au hizi hukumu ni nje ya mahakama?
Wewe nyumbu hivi huwa kimbelembele chako unakiona au waona vya wenzio?
Wewe si umesema huna imani na mahakama zetu? au umesahau kama tabia za nyumbu? rudi kasome comment yako kule kwa Lissu.
 
As long as zilipokuwa ESCROW zilikuwa mali ya umma. Kwa kumlipa asiyestahili kulipwa bado inakuwa mali ya umma nap kwa anayekudai Stan Chart HKN bado anakudai hivyo utakapomlipa utakuwa wewe ndo umeibiwa na uliyemlipa asiyestahili. Hatujafika hatua ya kusema StanChart wameibiwa. Benki ikiibiwa hela yako iko pale pale hawasemi Paskali kaibiwa kwa sababu aliweka fedha zake hapo.
Escrow account ni ring fencing of money ziko kwenye fence sio za Tanesco wala sio za IPTL. Baada ya mgogoro kumalizika, serikali ndio ilitoa go ahead fedha zi change hands from no man's money to IPTL.

Kwa vile ndani ya escrow some of the money ni VAT ambapo IPTL was TRA collecting agents ambaye ni VAT registered, lakini BOT ikazilipa kwa PAP ambaye sio TRA, VAT collecting agents hivyo VAT yote iliyokuwa ndani ya escrow imeibiwa na PAP ila kwa sababu Tanesco wanadaiwa na IPTL fedha za utilities ambazo ni nyingi zaidi ya hiyo VAT, then PAP will make it good kwa ama kwa ku register VAT na kulipa, au ku deduct VAT equivalent na kuwaacha Tanesco wafanye remittance.

The bottom line ni fedha za Escrow sio fedha za umma!.
Nimesikitishwa!, Huzunishwa!, na Kufadhaishwa na Uongo wa Kamati ya PAC!-Escrow Sio Fedha za Umma !.

Paskali
 
Back
Top Bottom