Waliobanwa katika ajali wafariki


Mkuu masaa 16 eti tunasubiri serikali ilete vifaa vya uokoaji huku sisi tupo bize na vikamera.vyetu kutengeneza biashara kwenye vyombo vyetu vya habari. Wacha tu serikali ilale maana sisi wenyewe.tumekosa utu.
 
Nafikiri akuna asiyeijua siri kali ya tz kwa matukio kama haya hakuna hata
kiongozi mmoja anaye jari na haswa hukizingatia hiki sio kipindi cha uchaguzi ndio kabisa kila mmoja yuko bize na kuangaliamapato yake.watanzania tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa kwani lakufanya tunalijua ila nashangatunakaa kimmya kama tumewekwa zindiko ebu fikiri mbeya ndege ilianguka je unakumbuka ni dakika ngapi zilipita mpaka kupatikana msada wa zarula hadi saudi afrika fikiri m tz tutakwisha kwa kuwategemea viongozi kwanihawapo na sisi kwa kipindi hiki wameshibaaa kiki fika kipindi cha njaa hutawaona karibu kabisa na sisi.
 

Wewe usifikiri una akili kuliko wote humu na mtazamo wako wa kimagamba.
 
Hivi mmesahau wao kila siku wanatafuta misiba kama hiyo wakauze sura wakiongozwa na mkuu wao? Ningefurah kuona watanzania tungeandamana kwenda kuwazika hao maskini wenzetu kishujaa. Haki za binadamu tusaidieni.
 
Hii ni fursa tosha kwamba hii serikali haina tena uhalali wa kuongoza nchi hii. Masaa 16 na uokoaji usiweze kufanyika? Hakika kwa wenzetu hii ilikuwa ni turufu tosha ya kuiambia serikali yao kuwa sasa yatosha.
 
Inahuzunisha sana! Ila ni nani wa kumlaumu! Mawaziri kama wanaduwaa kwenye majukumu yao,utadhania siku zote wako Bungeni wako bise.serikali weka vyombo vya tahadhari vituo mbalimbali kwani Ajali haina Taarifa
 
Hinauma sana kwani hawakuwa na makosa yoyote ndio mana waliweza kukaa wakiwa hai kwa muda wote huo mungu wasamee vijana hawa kwa yote waliyo kukosea na huzilinde familia zao.amen
 

Imeniuma sana. Ndo nimejua kwamba sina changu hapa. Wala hatajiudhuru.
 
Waokoaji wako ikulu wanakula mabiriani na rais
 
Siombei hivi ila wewe subiri hutakuja sikia kiongozi furani hali yake mbaya kaperekwa muhimbili na baada ya lisaa limmoja utasikia haa kiongozi aliyeperekwa muhimbiri kapakiwa kwenye ndege anapelekwa einza india kwa matibabu ndio utakapo juwa kuwa serikali inatoa msada wa dharula lakini sio kwa raia tutakwisha wote
 
kweli inauma sana kwasababu viongozi wetu hawa take responsibility zao masaa kumi na sita ni mengi sana.....poleni sana wafiwa...mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.Hii ni sawa na ile ya Gorofa mateja ndio wanaanza kukutana na miili Jangwani wakati kipindi cha uokoaji walikuwpo wakubwa na wataalamu kibao thats bullshit
 
Unataka kujua Ugaidi? Huu ndo ugaidi ukitekelezwa na chama tawala maana hapa licha ya hawa wawili kufa kuna wengi wameatbirika kisaikolojia, fikiria wake wakiwaona waume zao katika hali ile, fikiria wazazi wa vijana hawa au watoto unadhani wana maumivu ya kiwango gani?
 
Nafikiri akuna asiyeijua siri kali ya tz kwa matukio kama haya hakuna hata
kiongozi mmoja anaye jari na haswa hukizingatia hiki sio kipindi cha uchaguzi ndio kabisa kila mmoja yuko bize na kuangaliamapato yake.watanzania tunatakiwa tujifunze kutokana na makosa kwani lakufanya tunalijua ila nashangatunakaa kimmya kama tumewekwa zindiko ebu fikiri mbeya ndege ilianguka je unakumbuka ni dakika ngapi zilipita mpaka kupatikana msada wa zarula hadi saudi afrika fikiri m tz tutakwisha kwa kuwategemea viongozi kwanihawapo na sisi kwa kipindi hiki wameshibaaa kiki fika kipindi cha njaa hutawaona karibu kabisa na sisi.
 



maboso!!!!! maboso!!!!! Haupo sawa mkuu.
 
Wao wakishikwa homa na wake zao haooooo! wanakimbilia India kwa garama ya kodi zetu. Then tunapowahitaji wala hawapatikani. Tuinue silaha za jadi kwa vingine tunaangamia sisi wenyewe kwa ujinga na upole uliokidhiri! Mungu awalaze hawa vijana pema peponi. Kweli ujinga ni gharama! Nchi mejaa rushwa kuanzia kwa mwenyekiti wa kijiji hadi ofisi ya rais. When are we going to get up and do the right things for our children?
 
Ninatetemeka kwa hasira. Hili likikwete halitufai kabisa na liccm lake. Wizi tuuuuuuuu! Jamani wakikuwa na matumaini ya kusaidiwa. Ni lini watanzania tutakuwa na akili ya kuchagua serikali yenye walau utu? Tuachane na huu upumbavu wa huyu mwizi anayetuuza mchana kwa wachina!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mbona siwaoni akina Ritz & co kwenye huu uzi? Nawapa pole sana familia za wafiwa na watanzania kwa ujumla
 
Wako bize wanatafuta ushahidi wa video ya Lwakatare...
R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…