Mkuu Copper heshima mbele,ufisadi nyuma. Tumeshalalamika na kusikitika kwa maafa na ajali ngapi mkuu!?? Je malalamiko yetu na masikitiko yamesaidiaje kutatua na kupata ufumbuzi wa huu UZEMBE unaosababisha kupoteza maisha Watanzania wenzetu!!?? Maana Leo kwao hao wenzetu,kesho yaweza kuwa kwetu kukumbwa na hayo maafa.Mkuu, hatua tutachukua ila kwa hili la ajali hii tuna kila sababu ya kusikitika na kulalamika.
InkoskazWamenikera waandishi kuhoji mtu aliye katika hali ile...badala ya kuhakikisha mtu anapata huduma ya damu au drip na hewa ya kutosha wewe unampelekea mic??
hizo ambulance leo wikiend zimepaki kwenye mabaa au hazina mafuta..hakika huko tuendako nchi itakuwa na sheria vipande vipande kama somalia
Mkuu Copper heshima mbele,ufisadi nyuma. Tumeshalalamika na kusikitika kwa maafa na ajali ngapi mkuu!?? Je malalamiko yetu na masikitiko yamesaidiaje kutatua na kupata ufumbuzi wa huu UZEMBE unaosababisha kupoteza maisha Watanzania wenzetu!!?? Maana Leo kwao hao wenzetu,kesho yaweza kuwa kwetu kukumbwa na hayo maafa.
Tafakari MTANZANIA mwenzangu na CHUKUA HATUA.
Mwenyezi Mungu nisamehe kwa haya niyasemayo ni ubinadamu naomba niandike kama binadamu na kiumbe chako.
Mwenyezi Mungu nauliza hii serikali ya awamu hii imekuja kutufundisha nini au unatupitisha jangwani? hivi ni haki kuanzia afisa mtendaji wa eneo la tukio hadi mkuu wa mkoa @#$%^&*()_(*&^%$ zao hawakuona au kuambiwa watu wanateseka kwa zaidi ya masaaa 10 kwa maumivu wamekalisha ------ yao ofisini wanatumbua hela zetu na vingora mabarabarani kweli?????????????????
Hivi afisa usalama na kamanda wa mkoa MOD tafadhari hawa watu ni ------- nashindwa niandikeje nieleweke kwa hisia na maumivu niliyonayo kwa waliyowakuta wananchi wenzangu.
Jifikirie wewe hata ukibanwa na mlango maumivu yake then jiweke wewe ndo umebanwa na vyuma, mwenyezi Mungu kama unaweza naomba mafuriko yaanzie magogoni plz sir GOD inaumaaaaaaaaaaaaaaaa
Nakwambia hawa watu ni sh&@zy kabisa,wao wamekalia kufikiria kutengeneza video za ugaidi na ujinga wa propaganda mambo ya msingi yanayo husu raia hawana habari kabisa. Hili jambo hata lingetokea Kongo kwenye vita msaada wa serikali ungeonekana. Hivi kweli viongozi hawa tulionao wanapata wapi ujasiri wa kusimama mbele yetu na kubwabwaja maneno eti serikali sikivu ya chama cha Mapinduzi inawajali watanzania? Ni kuwa wametuona ni mafala sana sie kwa vile ndugu zetu wanakufa na sie tuna wachekea.Ndio maana bado yako majitu yanashinda humu JF kutetea uozo huu bila hata aibu kisa pesa ya lunch kwa damu za ndugu zao wanaokufa kwa mateso ya aina hii. Ahh,acha ninyamaze ila sasa tuamke na kusema basi!BONGOLALAImeniuma sana kusikia wale majeruhi wamekufa wakijiona huku wakiomba msaada. Nasema imeniuma na kukata tamaa na kitengo cha maafa chini ya waziri mkuu. Nimewasikia mwenyewe jana wakihojiwa na mtangazaji wa ITV huku wakiomba kunasuliwa bila msaada. Majeruhi wale wapo pale zaidi ya masaa 16 na bado hakuna msaada mpaka wanakufa kweli CCM na serikali ina kazi kweli 2015 na bado wanasema watatawala hata miaka 50 ijayo!
Dah nina hasira sana
Jk hajaenda eneo la tukio?