Waliobanwa katika ajali wafariki

Jamani hii inasikitisha sana, na haswa itawauma sana ndugu, jamaa na marafiki wa wao. Mungu awalaze pema peponi.
 
Kikwete atatuma rambi rambi ns kuhudhuria mazishi
Msosi wa msibani mtamu!...What goes arround comes arround, Hii dhulma wanayowafanyia Watanzania ipo siku zitawarudi kwa nguvu kubwa ama zaidi...
 
Hivi nani anyejali utu wa mtanzania sasa? Sijawahi kuandika hivi, lakini hii serikali haina uhalali wowote wa kuwa madarakani!Inauma sana!
 
Hii nimeiona itv,kwa hakika inasikitisha sana!hivi kweli hakukuwa na uwezekano wa kuwaokoa wale ndugu?R.I.P Tanzania tunaangamia huku tunaona kama hawa jamaa waliobanwa na lori.
 
aiseee....pumbavu moja utalisikia tattizo chadema....pumzikeni kwa amani

CCM, ya Wassira, Mwigulu, Nape (nasikia hana u-bin huyu), Kinana, JK, Lowassa, Mangula ni kwa ajili ya ufisadi, matambiko kupitia viungo vya miili ya albino, biashara ya madawa ya kulevya, kuuwauzia waarabu na wairan ardhi yetu, kuigawa nchi kwa wachina. Maisha ya watanzania kwao hayana maana.
 
Usiseme winchi tu ingepelekwa ndege mfano mzuri hawa wanaojiita Waheshimiwa akiugua hata pressure au malaria kali tena maeneo ya makao makuu ya mkoa ambapo kuna hospitali ya mkoa itatumwa ndege inambeba kumleta Muhimbili wakati hapo alipougulia au alipopatia ajali wanaweza wakamtibu. Tumeshuhudia ajali ya Mbeya bado wengine wanaugulia wakiwa kikaoni Dodoma. Namuona MR.PRESIDENT nae ni miongoni mwa guest 349 wanaoangalia uzi huu huenda ndo JK labda atatoa tamko
 
Last edited by a moderator:
Wa TZ tumezidi woga hata maandamano ya kulalamikia kitu hatufanyi, tunaachia wanachama wa vyama tu, kuendelea au mabadiliko yatakujaje?
 
Usiseme winchi tu ingepelekwa ndege mfano mzuri hawa wanaojiita Waheshimiwa akiugua hata pressure au malaria kali tena maeneo ya makao makuu ya mkoa ambapo kuna hospitali ya mkoa itatumwa ndege inambeba kumleta Muhimbili wakati hapo alipougulia au alipopatia ajali wanaweza wakamtibu. Tumeshuhudia ajali ya Mbeya bado wengine wanaugulia wakiwa kikaoni Dodoma. Namuona MR.PRESIDENT nae ni miongoni mwa guest 349 wanaoangalia uzi huu huenda ndo JK labda atatoa tamko
 
Last edited by a moderator:
Hivi hawa watendaji si ndio kila siku wanakwea pipa na wengi wamesoma/wametembelea nchi zilizoendelea, hivi hawatamani wenzetu wanavyoishi? Walivyo serious na kazi na majukumu yao, wanavyofuata sheria? wanavyowajibika? Hii nchi hii mpaka naogopa....eeh Mungu tusaidie!
 
Usiseme winchi tu ingepelekwa ndege mfano mzuri hawa wanaojiita Waheshimiwa akiugua hata pressure au malaria kali tena maeneo ya makao makuu ya mkoa ambapo kuna hospitali ya mkoa itatumwa ndege inambeba kumleta Muhimbili wakati hapo alipougulia au alipopatia ajali wanaweza wakamtibu. Tumeshuhudia ajali ya Mbeya bado wengine wanaugulia wakiwa kikaoni Dodoma. Namuona MR.PRESIDENT nae ni miongoni mwa guest 349 wanaoangalia uzi huu huenda ndo JK labda atatoa tamko
 
Last edited by a moderator:
Tools Kama Hydraulic Rescue Cutters ilitakiwa iwe ni lazima kuwepo kwenye Mabasi ya abiria na malori ya mizigo. Hicho kifaa kinagharimu kati ya $1000-2500....Lakini kinaokoa Maisha. Natumaini Watanzania tumejifunza kwenye hili Janga. Tuviwajibishe vyombo husika vyenye mamlaka ya kusimamia Usalama wa kila Mtanzania.
CHUKUA HATUA.
 
Tatizo serikali ikiamini kila kitu ni gharama au hakuna budget ndio mwisho wake huu, raia yoyote ana haki ya kuokolewa hata kama alitaka kujiua na kwa gharama yoyote.
 
Nasikitika kutokua na rais..kweli watanzania hatuna rais.hii inauma kuliko..eeh Mungu turehemu viumbe wako tusamehe kwa kumwaga damu isiyo na hatia TZ...inatosha na kama ni jaribu hili lipo juu ya uwezo wetu.
 
Mtanzania unathamani pale unaponga foleni kupiga kura baaasi baada ya hapo wewe ni trash!!! Mungu kwa nini uliileta ccm?
 
Hapo utasikia tume ya kuchunguza!"bullshit". Hii nchi imelaaniwa tangu lini? Kama vyombo vya habari vinakimbilia kwenda kupiga picha badala ya vyombo vya uokozi kwenda kuokoa watu na hatimaye watu wanakufa bila kuokolewa, 'what kind of nonsense is this?
 
Fikiri kama ingekuwa bw nepi au chemba, dk 5 tu wangechomolewa. Ccm hoyeee.

Wanauwa kila siku, kwa ufisadi wao ghorofa limeporomoka na kuuwa

Aandae chakula kwa waliopoteza Maisha!!R.I.P watz wenzangu

Aliwahi kwenda okoa kichwa cha mdogo wa Riz One kisikatwe na wachina. Alisafiri kilomita zaidi ya elfu mbili. Ameshindwa kutuma vifaa vya uokozi mahali pa kilomita zisizozidi 300.

Inasikitisha sana...Inauma mno...

nimepata uchungu hasa.na ninayo kila sababu ya kuamini serikali ya ccm imeachwa na Mungu na hakuna hata aliyebaki mwenye busara na hekima

Leo kama haitoshi wanataka kuwahamisha wamasai elfu 65,000 huko Loliondo kwa ajiliya mwarabu mmoja na familia yake wasiozidi 22. Itakuwa hao watanzania 2 makapuku.

C' est le 'laissez a' affaire gvt'! who cares! kuna maeneo ninapoishi, karibu na mkuu wa wilaya/halmashauri lakini miundombinu ovyo ovyo. wanachukua chao mapema.

Kujiunga na CCM toka zamani maana yake kuwa tajiri, kujificha. Hujaona jinsi gani wanavyouziana nafasi katika kila chaguzi zao ndani na nje ya chama chao.

Hii ni mbaya sina maelezo ya kuisimulia nchii ni hatari kuishi kuliko somalia na syria Mungu atusaidie ila hii serikali ya CCM

Uokoaji wa wa wale watanzania wawili haukuwa na ahadi ya ten percent ndio maana hakukufanyika jitihada zozote kuwaokoa.

Kama leo hii wanataka kuzihamisha kaya 400 kwa ajili ya mwekezaji, hao watu wawili wa kwenye ajali hiyo nini!
 
Mkuu, hatua tutachukua ila kwa hili la ajali hii tuna kila sababu ya kusikitika na kulalamika.
 
BONGOLALA
Imeniuma sana kusikia wale majeruhi wamekufa wakijiona huku wakiomba msaada. Nasema imeniuma na kukata tamaa na kitengo cha maafa chini ya waziri mkuu. Nimewasikia mwenyewe jana wakihojiwa na mtangazaji wa ITV huku wakiomba kunasuliwa bila msaada. Majeruhi wale wapo pale zaidi ya masaa 16 na bado hakuna msaada mpaka wanakufa kweli CCM na serikali ina kazi kweli 2015 na bado wanasema watatawala hata miaka 50 ijayo!
 
Last edited by a moderator:
JK ambaye ghorofa likianguka anawahi kwenye tukio hakuwona hao kwenye TV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…