waliobakwa na polisi UDOM ni 9!

kweleakwelea

JF-Expert Member
Nov 29, 2010
3,065
1,535
leo nikiwa kwenye pitapita nilikutana na kijana wa udom aliyenihakikishia kuwa wanafinzi wasichana 9 walibakwa na polisi katika chaka la makulu katika vurumai za juzi.wana TAMWA,TGNP , utu mwanamke mko wapi????
 
source pls
 
This forum will be of no value for us if someone can just post a rumours for thinkers.
 
no sooner everything will get revld on abuse of human rights!

habari za rape zilizotokea zinafahamika oo
hapa dodoma. ni juu ya engaging orgs kuja kutafiti na kuestablish. usiniulize ka walipimwa wakakutwa na shahawa maana ndio akili zenu ccm
 
Asasi za kiraia, juna jambo kumbwa nyuma ya pazia UDOM!

Jifanye ingalikuwa ni mwanao wa kuzaa na umempeleka akasome chuo kikuu hahafu akaingiliwe kimwili na polisi dhalimu, enzi hizi za UKIMWI, nako pia mtu utaendelea kuonyesha 'UZALENDO' kuifichia serikali kufuru la aina hii au ni kwa sababu tu ni watoto wa wenzenu?

Haki za binadamu mko wapi jambo zito chuo kikuu cha Dodoma mpaka kije kiibuliwe na masharika ya nje tu au mpaka huyo O'Campo tunayemsikia.

Kweli ndio aina ya taifa tunalolijenga kwa kuficha madhambi yanayotisha hivi uvunguni? Wanafunzi wabakwe, wambukizwe magonjwa na watishwe kutokusema halafu nyinyi mpote ai mbaka kuletewa mezani?
 
suppose ungekutana na mimi tena nika kwambia hakuna aliye bakwa ungekuja kuandika nini jf?
try next time kuja na concrete evidence sio kila rumor inaletwa tu
 
Mtu yeyote akikulazimisha kufanya kitendo chochote usichokitaka ina maana amekubaka.
Hao wasichana bakwa yao ilikuwa ya kitendo kipi?
 
Bila ya wahusika wenyewe kwenda kwenye taasisi husika na kupeleka hii issue wahusika hawatashikwa na zitabaki kuwa romours bila substance.

Kama ni ukweli wahusika waende kwenye hizi taasisi na watasaidiwa na privacy yao itatunzwa... unless hizi zitaendelea kuwa story za kusadikika
 
leo nikiwa kwenye pitapita nilikutana na kijana wa udom aliyenihakikishia kuwa wanafinzi wasichana 9 walibakwa na polisi katika chaka la makulu katika vurumai za juzi.wana TAMWA,TGNP , utu mwanamke mko wapi????

vipi KWELEA KWELEA umeshiba sana mpunga wa MBARALI? acha uvumi usio na maana.
 
Bila ya wahusika wenyewe kwenda kwenye taasisi husika na kupeleka hii issue wahusika hawatashikwa na zitabaki kuwa romours bila substance.

Kama ni ukweli wahusika waende kwenye hizi taasisi na watasaidiwa na privacy yao itatunzwa... unless hizi zitaendelea kuwa story za kusadikika

Nakubaliana nawe kwenye hili Mkuu.
 
leo nikiwa kwenye pitapita nilikutana na kijana wa udom aliyenihakikishia kuwa wanafinzi wasichana 9 walibakwa na polisi katika chaka la makulu katika vurumai za juzi.wana TAMWA,TGNP , utu mwanamke mko wapi????
Mbona ni ki2 kisichowezekana
 
This forum will be of no value for us if someone can just post a rumours for thinkers.

Mkiona mtu kaposti kitu kina matatizo badala ya kulalamikia ndani, flag the post.. kuna kialama cha (!) cha njano chini ya kila posti. Kwa kufanya hivyo mnawajulisha ma MoDs tatizo.
 
Hatujui ukweli na hautapatikana kwa viwango vya kudai ushahidi utatoka wapi!!! ila kama wanakwiba vielelezo vilivyo mikononi mwao madawa ya kulevya na kuviuza mitaani na kesi zipo, na kama wana shiriki katika kupora mabenki na kwingineko, watashindwaje kubaka watuhumiwa wa maandamano! Its very easy to do so coz no one will question or believe.
 
Back
Top Bottom