Yaani Wewe na mtu anaitwa Madame B hata nikipewa bure sichukui walah ya nini kufa kwa Mawazo
waliobadilisha maisha yangu!naruhusiwa kutaja zaidi ya sita naamini!
- @gfsnowin sina la kusem jinsi unavoniboost maujuzi
- The Boss need i say more?
- SnowBall napenda jinsi ulivyo mkweli kwa yale yanayopita kichwani kwa wanaume,unatusaidia sana kujua mnawaza nini
- FP napenda jinsi ulivyo na ushauri wa kidada mkubwa hasa
- Kaunga to be frank unanipa raha sana na aina ya thread unazoanzisha humu
- Dark City u really remind me of my father napenda aina yako ya kufikiri
- Mtambuzi i see ,wewe ni zaidi ya mwalimu kwa post zako
- watu8 na Boflo u guys mnafanya nizidi kuiona jf ni nyumbani!
jamani listi ako ndefu sana ila kiukweli nikiangalia mi kila member humu ana nafasi ya kunifanya niyatambue maisha kwa namna yake,mfano mtu kama Mkumbavana na Wiyelele hawa huwa wanifanya nimshukuru sana Mungu kwa aina ya mume aliyenizawadia!see so pacha wangu SnowBall list ya wanaobadilisha maisha yetu humu inabidi iwe kubwa sana since JF NI DARASA LA KILA KITU I SEE!
Mbona mimi ni mme mzuri sana? I am so understanding and tolerant.
Sita wa kwangu ni hawa hapa;
1. Mtambuzi
2. The Boss
3. Horsepower
4.gfsonwin
5.Father of All
6. AshaDii
lakini hunipi amani vile unamzungumzia mke wako!
sijui lakini nahisi humpendi tena,humuoni wa thamani,hujali kama anaumia,
in a way najisikia vibaya sana kwa ajili yake!
wote katika maisha tunakosea na tunakosewa,la msingi ni jinsi tunavojifunza na kusimama baada ya makosa yale!
naamini ndoa yako ukiamua bado ina nafasi ya kuwa ndoa bora na imara ni vile tu umeikatia tamaa
sikuhukumu bali nahisi ipo shida kubwa zaidi ya ile unayoitazama nje dhidi ya mkeo!
....Lakini nina ka swali,hii ni thread ya kupongezana na kuwatambua wanaogonga nondo za ukweli na kuburudisha jukwaa hili na mengne.Hivi tunaweza kukubali ikaanzishwa thread ya kuwataja ambao ungependa wabadilike in positive way?..Yaani unataja kabisa kuwa,mimi napdnda kumshauri Eiyer abadilike kadha wa kadha,je tunaweza kulipokea jambo hili positively?Kukubali kukosolewa?Mh!Sijui . . . .!!
asante sana ila ukimuuliza mume wangu atakuambia he is so proud of me in such that akikusikia unasema hivo atakushangaa sana i think you quote me wrong sir.pia nimejifunza kutoka kwako kuwa Wiyelele hajui kuficha siri za chumbani na hana tabia yakukaa na mkewe nakuzungumza mambo yakaisha .asanteNatamani siku ambayo wana JF tutakusanyika mahali na kila mmoja akajitambulisha kwa jina lake analolitumia humu. Mimi nafurahia ushauri wa watu wengi wanaoutoa humu ila nimejifunza kwamba kumbe wanawake aina ya mke wangu wako wengi, mmojawapo @NIVEA!
Jamani Albedo mbona me Mtakatifu kbs?
Na usishangae ukaja kunioa mimimimi.
BTW Kwa Upande Wangu nitakuwa mchoyo wa Fadhila Endapo Sitaona Umuhimu wa Hawa:
Meezy,
AshaDii,
MziziMkavu,
Maxence Melo,
Mtambuzi na
Nicas Mtei.
LV U ALL,
Mmeyabadili Maisha yangu tangu niingie Jf.
Best Ciello and Dada Kijino, Luv uuuuuu...!!!
Lovu u2 mamito! Aje aje pale?
fanyeni kazi acheni kutajataja majina ya watu muda huu
Niko Poa Mamito.
Niko Basini naelekea Lushoto-Tanga.
Missng uu.
fanyeni kazi acheni kutajataja majina ya watu muda huu
Wow safari njema mamito,mie nimepata bepari la kisukuma mnz so najilia vyangu...
The Boss - tofauti ya wanamme na wavulana
EMT- michango yake kwa ujumla, iko deep sana
Kiranga- anavyochambua maisha kwa namna anayochambua, weird na interesting
WIYELELE - Mada zake zina mvuto
Nyumba Kubwa- fikra zake tofauti na mbinu zake za kimafia za kumwadabisha mwanamme, i see, kabla sijamzoea nilikuwa nashangaa sana
Dark City- busara za wazee wa zamani, uhalisia wa dunia nayoielewa
Mtambuzi - mada zake za kichokozi hasa kwa akinamama
naweza kuendelea?