radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wafukuzwe tu, tena ingependeza rais awachape hata fimbo na kuwafukuza. Mi nilishasema tangu mwanzo kuwa serikali ya Dr Magufuli ilishajitanabaisha toka mwanzo kuwa wanafunzi lazima watapata mikopo hakuna wa kukosa sasa wao kilichowafanya wagome ni nini????? Wapumbafu sana hawa vijana. Mbona wafanyakazi wa halmashauri safari hii mishahara ilichelewa kwa siku kazaa mbona hawakugoma?? Ina maana hao vijana wanadharau serikali, wanamdharau rais. Yaani wafukuzwe wale wote waliochochea mgomo liwe fundishooooo.
Mara nyingi wanaofukuzwa na kuchapwa viboko huwa viongoz wako wa baadae na kukutawala mfano samwel sitta,zito kabwe......