makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,453
- 108,541
Walikosea sana.Sense.
Nimeshawah kusikia ushuhuda huu tena toka kwa watumishi wa Mungu kabisa.Mwanamke ali conceive akiwa na mtoto wa miezi miwili tu.Sasa kuficha aibu waka abort lakin iligundulika kwakua hawakua wazoefu wa mambo hayo ya manslaughter ..
Acha kujifanya hujui wakati unajua kuzitumia MISOPROSTOL...Na mie nimecheka eti
Atupe maujuzi mie sijui
0-3Hivyo vidonge vinauwezo wa kutoa mimba ya miezi mingapi eti?
Umewahi ku abbort ukiwa ndani ya ndoa ?Nakubaliana na mtoa mada kwa 80%
Naomba msinisute huo ndo ukweli sema kinachoua soo..ni kua inakua makubaliano yenu wawili kati ya mke na mume kwa kuhofia aidha km mna mtoto mdogo au hamko tayari kupata mtoto kwa wakati huo
Nna ushahidi japo wa ndoa zinazonizunguka kila mmoja kashapanchi aseehh!ukiuliza wanakuambia kwani si nafanya na Mme wangu...!!!Tena mwanaume ndo wanaenda kunnua hizo Misoprotol!!!!
Sasa km mkeo au mmeo kwa nini msitumie Kalenda au mpira..Mpira wanaume hawapendi kutumia kwa wake zao asilani!!!mwisho wanajikuta mimba juu ya mimba wanatoa...Mungu anawaona lakini mnaofanya hvyo na wake zenu!!!
Dhambi ni dhambi tu kuua ni kule kule kiumbe kisicho na hatia iwe ndoani au kwenye uzinzi hakuna aliyehalalishiwa...
Nyie wanaume saa ingine wake zenu wanatoa mimba bila nyie kujua maana wapo wanaume hiyo dhambi hawajui wanachofanya wanannua Misoprotol anameza unajua yuko hedhi kumbe tayari mama wa marehemu!!!
Tumieni kama kama hamko tayari kulea!
Hahahag poleeeHii ni kweli kabisa,wife kapewa ujauzito na mchepuko alivyojaribu kunipachika kuwa kapitisha mwezi nikamwambia angalia sana mimi watoto wangu ni copyright na mm so kama unataka kunipachika imekula kwako,alichofanya ni kununua hizo dawa na kuabort,nilivyogundua ktk kumhoji akagoma kabisa kuwa hajatoa ujauzito ila kwa sababu nilikuwa na ushahidi katoa ujauzito wa miezi3 na haukuwa wang,jana trh9jun19 nimempa talaka rasmi.
Hii ni kweli kabisa,wife kapewa ujauzito na mchepuko alivyojaribu kunipachika kuwa kapitisha mwezi nikamwambia angalia sana mimi watoto wangu ni copyright na mm so kama unataka kunipachika imekula kwako,alichofanya ni kununua hizo dawa na kuabort,nilivyogundua ktk kumhoji akagoma kabisa kuwa hajatoa ujauzito ila kwa sababu nilikuwa na ushahidi katoa ujauzito wa miezi3 na haukuwa wang,jana trh9jun19 nimempa talaka rasmi.
Hahahag poleee
Mnawananga Sana masingo maza,kumbe Kuna kina waifu matirio wanaoongoza kuua viumbe waso hatia bila sababu,na wamejificha kwenye kivuli Cha ndoa.
Pia wanaume wengi wanakataa watoto zao wanatelekeza wanawake,then wanakwenda kubambikwa watoto wasio wao kwenye so called ndoa.Mungu huwa hamfich mnafiq
Kama ndo hivi itabid niolewe ili nibebe mimba nataka kuzaa
Nimeshindwa kuvumilia kwa sababu ni mbishi na kashfa juu,huku mm nikiwa na ushahidi wa kutosha,mwanamke ikifikia anaapa kwa kutumia kitabu cha dini tena ndani ya mwezi mtukufu kuwa hajatoa mimba wakati ushahidi uko wazi ni wakuogopa sana.Hahaaa!!pole Sana ila usingemuacha
Huo sasa mtihani duhh!Nimeshindwa kuvumilia kwa sababu ni mbishi na kashfa juu,huku mm nikiwa na ushahidi wa kutosha,mwanamke ikifikia anaapa kwa kutumia kitabu cha dini tena ndani ya mwezi mtukufu kuwa hajatoa mimba wakati ushahidi uko wazi ni wakuogopa sana.
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app