Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
Naomba msinisute huo ndo ukweli sema kinachoua soo..ni kua inakua makubaliano yenu wawili kati ya mke na mume kwa kuhofia aidha km mna mtoto mdogo au hamko tayari kupata mtoto kwa wakati huo
Nna ushahidi japo wa ndoa zinazonizunguka kila mmoja kashapanchi aseehh!ukiuliza wanakuambia kwani si nafanya na Mme wangu...!!!Tena mwanaume ndo wanaenda kunnua hizo Misoprotol!!!!
Sasa km mkeo au mmeo kwa nini msitumie Kalenda au mpira..Mpira wanaume hawapendi kutumia kwa wake zao asilani!!!mwisho wanajikuta mimba juu ya mimba wanatoa...Mungu anawaona lakini mnaofanya hvyo na wake zenu!!!
Dhambi ni dhambi tu kuua ni kule kule kiumbe kisicho na hatia iwe ndoani au kwenye uzinzi hakuna aliyehalalishiwa...
Nyie wanaume saa ingine wake zenu wanatoa mimba bila nyie kujua maana wapo wanaume hiyo dhambi hawajui wanachofanya wanannua Misoprotol anameza unajua yuko hedhi kumbe tayari mama wa marehemu!!!
Tumieni kama kama hamko tayari kulea!