Na weng wa hapa hawajawah kuingiza nchini hata nusu kontena.unawakuta jashoo na mishipa imesimamaYaani uende geita au bunda umfafanulie mtu mambo ya bandari? Katika maoni na maswali ya wananchi umesikia wakitaja bandari.? Watu wana mahitaji yao kuliko bandari..wanajua bandari haiwezi kuwapa chakula cha bure wala matibabu bure.
Wasikilize watu uone jinsi wanacholalamikia..mambo ya bandari ni sisi huku mitandaoni..huko site watu wanataka maji, barabara, umeme, madawa, vituo vya afya, ardhi, haki, huduma,stendi na kuondolewa sheria kandamizi.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nazani hujasoma nilichikiandika umeangalia kichwa cha habari mbio kureplay. So sad watu wa aina yenu ndio mnatawala siasa za kiafrika. Ndio maana siasa imejaa ujinga mwingi sana.Yuko kwenye kukijenga chama. Viongozi wake wanatambua hilo, na wanamakubaliano hayo.
Umefafanua vyemaMwenye nchi ashamaliza kuwa maarufu ndani sasa zamu ya nje wamjue, muache kijana awafunge midomo wajuaji au watesi wa mpendwa wake hayati JPM. Nyuma ya pazia hakuna angeweza kunyanyua midomo kama afanyavyo mwenezi na vile usingizi uliwajaa CCM wengi wao wakiwa wanavizia kudandia makundi sasa vuruga vuruga wa mipango kapewa kazi Chini ya kapeti.
Uwanja ungekuwa msafi ilikuwa mwenezi ni Mwendo wa kutupa madongo Kwa wapinzani sasa ground iko rough mno hakuna budi kuisawazisha ili akianza kutupa mawe Kwa jirani awe na pa kuzungumzia na kwake alivyopaosha, huu ni mkakati wa uongozi wa juu haswa mwenyekiti Kwa maslahi mapana ya kujiwekea mizizi Kwa kuwafyekelea mbali watakaothubutu kumpinga mwenezi na vile wajuba washasoma mchezo Mwendo wa tumesikia na tunatii hadi kieleweke kwenye game mfano mzuri alianza na PM ikawa ni king'ora murua.
Mkuu umempa ushauri wa bure tena mujarab.Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu wa sasa wa raisi mwanzo. Nilishangaa Profesa hajui protokali. Ila akarudishwa sasa katulia kamwachia mama steling
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Heride alipanga amuue Yesu alipozaliwa baada ya kuona nyota yake. Alijua akiwa maarufu atachukua cheo chake.
Kuna makosa yalifanywa na maraisi uko nyuma.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960. Waziri mkuu Lumumba ndio akasikilizwa. Nchi haikutawalika tena
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye. Alipoenda tu yeye akauchukua uraisi.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na zuma alipotaka kushugulikiwa swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamwamini na wakamshugulikia Mbeki yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Kilichomponza Ni kuogopwa na kuwa maarufu kuliko Jk. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri.
Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa. Ata dini haikupaswa kumzidi umaarufu
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja zenye utata kama bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamwe
1. Asihoji au kuagiza chochote kwenye mkutano wa hadhara.
2. Asikubali kabisa kupokea kero ya watu hadharani na kuzijibu moja kwa moja. Majibu yawe ntafikisha kwa Raisi ili lipatiwe ufumbuzi.
Dunia nzima hakuna taasisi yenye wivu kama uraisi.
Sudan kusini Raisi na Waziri mkuu walikuwa na ushawishi sawa ikagawanyika. Kongo kinshasa makamanda karibu 20 walikuwa na ushawishi sawa.
Ethiopia pia viongozi wa majimbo walikuwa na ushawishi mkubwa kwenye majimbo yao kuliko waziri mkuu wakamgeuka waziri vita vikaanza.
Siku makonda akikengeuka akiwa maarufu basi kazi ipo. Yasije ya Mrema na Mwinyi.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
HAKUNA TAASISI YENYE WIVU KAMA TAASISI YA URAIS. Mwenye masikio na asikie neno hili toka kwa Nabii huyu. Kuonya, kukemea, kuagiza, umaarufu, nk. ni mambo ambayo Taasisi ya Urais inayalinda kwa wivu mkubwa.Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu wa sasa wa raisi mwanzo. Nilishangaa Profesa hajui protokali. Ila akarudishwa sasa katulia kamwachia mama steling
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Heride alipanga amuue Yesu alipozaliwa baada ya kuona nyota yake. Alijua akiwa maarufu atachukua cheo chake.
Kuna makosa yalifanywa na maraisi uko nyuma.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960. Waziri mkuu Lumumba ndio akasikilizwa. Nchi haikutawalika tena
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye. Alipoenda tu yeye akauchukua uraisi.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na zuma alipotaka kushugulikiwa swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamwamini na wakamshugulikia Mbeki yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Kilichomponza Ni kuogopwa na kuwa maarufu kuliko Jk. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri.
Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa. Ata dini haikupaswa kumzidi umaarufu
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja zenye utata kama bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamwe
1. Asihoji au kuagiza chochote kwenye mkutano wa hadhara.
2. Asikubali kabisa kupokea kero ya watu hadharani na kuzijibu moja kwa moja. Majibu yawe ntafikisha kwa Raisi ili lipatiwe ufumbuzi.
Dunia nzima hakuna taasisi yenye wivu kama uraisi.
Sudan kusini Raisi na Waziri mkuu walikuwa na ushawishi sawa ikagawanyika. Kongo kinshasa makamanda karibu 20 walikuwa na ushawishi sawa.
Ethiopia pia viongozi wa majimbo walikuwa na ushawishi mkubwa kwenye majimbo yao kuliko waziri mkuu wakamgeuka waziri vita vikaanza.
Siku makonda akikengeuka akiwa maarufu basi kazi ipo. Yasije ya Mrema na Mwinyi.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Hivi ni kweli Mbowe alikataa hiyo mimba yako!!?MBOWE akaruhusu LISSU kuwa maarufu saivi panafukuta jotro Chadema na panafuka Moshi......
Ila kasri la Mbowe kijijini kwao ni amezingi sana,
Piiiiiipooooooozzziii.....
Hata na hivyo No fear No hate
umepanic pua 🐒Hivi ni kweli Mbowe alikataa hiyo mimba yako!!?
Plausible Deniability.Anachofanya Makonda ni sahihi ndizo siasa zinazohitajika kwa mazingira ya sasa ya kisiasa, akina Sofia na waenezi wengine walishindwa na CCM ilikuwa inaenda shimoni kijana amefufua ari hususani kwa watu wa chini kanda ya ziwa na kwingineko.
Kwani Lucas mwashambwa anasemaje?Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu wa sasa wa raisi mwanzo. Nilishangaa Profesa hajui protokali. Ila akarudishwa sasa katulia kamwachia mama steling
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Heride alipanga amuue Yesu alipozaliwa baada ya kuona nyota yake. Alijua akiwa maarufu atachukua cheo chake.
Kuna makosa yalifanywa na maraisi uko nyuma.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960. Waziri mkuu Lumumba ndio akasikilizwa. Nchi haikutawalika tena
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye. Alipoenda tu yeye akauchukua uraisi.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na zuma alipotaka kushugulikiwa swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamwamini na wakamshugulikia Mbeki yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Kilichomponza Ni kuogopwa na kuwa maarufu kuliko Jk. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri.
Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa. Ata dini haikupaswa kumzidi umaarufu
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja zenye utata kama bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamwe
1. Asihoji au kuagiza chochote kwenye mkutano wa hadhara.
2. Asikubali kabisa kupokea kero ya watu hadharani na kuzijibu moja kwa moja. Majibu yawe ntafikisha kwa Raisi ili lipatiwe ufumbuzi.
Dunia nzima hakuna taasisi yenye wivu kama uraisi.
Sudan kusini Raisi na Waziri mkuu walikuwa na ushawishi sawa ikagawanyika. Kongo kinshasa makamanda karibu 20 walikuwa na ushawishi sawa.
Ethiopia pia viongozi wa majimbo walikuwa na ushawishi mkubwa kwenye majimbo yao kuliko waziri mkuu wakamgeuka waziri vita vikaanza.
Siku makonda akikengeuka akiwa maarufu basi kazi ipo. Yasije ya Mrema na Mwinyi.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
very true and focused opinions ✔️🌹Plausible Deniability.
Wananchi sio wapuuzi kiasi hicho, na wala CCM sio wapumbavu kiasi hicho.
This is a zero sum game.
Hakuna wanachokifanya kisicho na baraka na mkakati wa pamoja. Kampeni ndio ishaanza.
Ngoja tuoneTulia wewe.
Nape anaandaa ripoti ya miezi mitatu.
Unamuona siku hizi mitandaoni?
Ila kumbuka nchi hii inawajinga wengi. Ata idd Amin Dada na Samwel Edoo walikuwa Zero brain Lakini wakachukua nchi.Nadhani wanamtumia kama tissue paper maana umaarufu wake hautishii kiti cha mama being a zero brain watamtumia vilivyo kuzima mijadala mingi sana ya muhimu
Good militaka kikimbisha mrema na mwinyiHuenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo makamu wa sasa wa raisi mwanzo. Nilishangaa Profesa hajui protokali. Ila akarudishwa sasa katulia kamwachia mama steling
Huo ndio siasa za dunia zilivyo. Dunia nzima hutakiwi kuwa maarufu kuliko kiongozi wa Juu hata kwenye eneo lako. Hata ukiwa mbunge hutakiwi kusikilizwa au kuwa na ushawishi kuliko Rais wa chama chako kwenye eneo lako.
Heride alipanga amuue Yesu alipozaliwa baada ya kuona nyota yake. Alijua akiwa maarufu atachukua cheo chake.
Kuna makosa yalifanywa na maraisi uko nyuma.
Aliruhusu Rais wa Zaire mwaka 1960. Waziri mkuu Lumumba ndio akasikilizwa. Nchi haikutawalika tena
Obote aliruhusu Iddi Amin awe maarufu kuliko yeye. Alipoenda tu yeye akauchukua uraisi.
Aliruhusu hilo Thabo Mbeki, kwa Jacob Zuma. Na zuma alipotaka kushugulikiwa swala lake la rushwa wanachama wa ANC wakamwamini na wakamshugulikia Mbeki yeye na Zuma akampokonya urais.
Ilitokea kwa Lowasa na JK. Kilichomponza Ni kuogopwa na kuwa maarufu kuliko Jk. Pia Nyerere na Sokoine au John Okelo na Karume.
Nawakumbusha tena mwambieni asiwe maarufu kuliko au kumkaribia Rais.
Sasa anaagiza, anahutubia, anasindikizwa. Kama anafanya kwa bahati mbaya sielewi kabisa. Hana washauri.
Uingereza Mfalme alichagua hadi uongozi wa kanisa. Ata dini haikupaswa kumzidi umaarufu
Kumsaidia raisi ni kufafanua hoja zenye utata kama bandari, kufafanua mambo Ambayo Raisi kafanya kama kujenga madarasa, Miradi inayoendelea kutekelezwa na serikali. Kuwaponda wapinzani na kutoa kasoro zao. Kufafanua uzuri wa kikokotoo cha wastafu kwa taifa.. Faida za Hamkosi na Maslahi ya watu wanayoshugulikiwa na serikali ila kamwe. Narudia kamwe
1. Asihoji au kuagiza chochote kwenye mkutano wa hadhara.
2. Asikubali kabisa kupokea kero ya watu hadharani na kuzijibu moja kwa moja. Majibu yawe ntafikisha kwa Raisi ili lipatiwe ufumbuzi.
Dunia nzima hakuna taasisi yenye wivu kama uraisi.
Sudan kusini Raisi na Waziri mkuu walikuwa na ushawishi sawa ikagawanyika. Kongo kinshasa makamanda karibu 20 walikuwa na ushawishi sawa.
Ethiopia pia viongozi wa majimbo walikuwa na ushawishi mkubwa kwenye majimbo yao kuliko waziri mkuu wakamgeuka waziri vita vikaanza.
Siku makonda akikengeuka akiwa maarufu basi kazi ipo. Yasije ya Mrema na Mwinyi.
Labda kama ana plan B. Lakini kama anataka kuwa chini ya mama basi Ajue tu Asiwe maarufu kuliko Rais.
Labda JF waandae. Sidhani kama kuna chombo kinginekinaweza kua na huo uthubutu.Hata mie nashangaa kuona umaarufu wa kupanda punda au trekta uwe tishio?
Kwani nchi hii watu wote wamekuwa wajinga kama hao wafuasi wa ccm ambao kwao hayo matukio ni hoja na sio vioja?
Toka Makonda Kawa mwenezi ni hoja gani kaizungumza yenye faida kwa chama chake tuu achia mbali kwa nchi?
Hizo drama zinawasaidiaje vijana wasio ajira pamoja na vyeti yao?
Hivi vyombo vya habari vinavyo tumika kumbeba Bashite viandae MDAHALO WA KITAIFA utakao washirikisha Wenezi wa vyama vikuu kujadili mstakabali wa taifa hili na msaada wa vyama vyao ili muone huo uwezo wa Makonda uko wapi!
Bangladeshi!!