MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 5,924
- 8,681
Siongei na mhudumu wa madangulo kaa mbali mama getoNaona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
Vipi umeshawasha kibatari huko kijijini kwenu?Heche hana Thamani yoyote ile hapa Duniani ya kustahili kulindwa . Alindwe kama Nani?
Milamli ndiyo niniUnapenda sana sifa na uzushi wako hapa na Milamli yako ya kijinga jinga tu
Who knows!Kukatwa kwa umeme,sio ni spinning ya tukio hilo!!?
Yaani operation gizani au!!?
Kwamba Heche ana Thamani sana?Umeme utakaporudi tutasikia heche katekwa na wasiojulikana
uselessNakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Heche kwanza ilitakiwa awe ametupwa ndani kufanyiwa mahojianouseless
Labda anafikiria kila mtu anamfahamuHeche yupi sasa
Nchi imegeuka nyasi kavu hakuna hata mmoja huko ccm na dola mwenye jeuri ya kuwasha njiti za viberiti walivyovishikilia mikononi mwao kuichoma nchi maana wanahofia nao wataungua.Hao watu washaamua liwalo na liwe.
Movement ya Jana ni ya ajabu.
Labda damu inawafanya kuwa na mioyo migumu
Wewe mbona umeshauri akamatwe.inaonekana unamjuaLabda anafikiria kila mtu anamfahamu
Sasa wewe, Heche na bibi kidudu wa ccm nani anathamn Nchi hii?. Wewe ni wakutia madole....mtako yakoHata utukane vipi lakini ukweli ni kuwa Heche hana Thamani yoyote ile wala umuhimu wa kustahili kulindwa hata kwa dakika moja
?????????Mwanaselele kama wewe, sijui hatma yako itakuwaje.
Mtu kujitoa akili kabisa na kuwa kama kifaa tu cha kutumiwa na wengine, tena wanaofanya uovu kwa waTanzania; hata sielewi huwa unajisikiaje unapokwenda kulala kila siku.
Umejidhalilisha utu wako kwa kiasi kikubwa sana.