Walio chaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2018

Naona wilaya yangu SIHA Haitaki tabu kabisa.........wametuwekea hii......TAARIFA KWA UMMA.

Idadi ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato Cha kwanza shule za Serikali katika Halmashauri ya Siha haya-:

Idadi ya Wavulana waliochaguliwa ni 742

Idadi ya wasichana waliochaguliwa ni 851

JUMLA KUU 1593

NB. idadi ya Wanafunzi waliochaguliwa ni sawa na asilimia 100 (wanafunzi wote waliofaulu darasa la Saba 2017 wamechaguliwa kuingia kidato Cha kwanza 2018 shule za Serikali za kutwa,ufundi na zile za bweni).

Majina na shule walizopangiwa wanafunzi yanapatika katika mbao za matangazo katika Ofisi zote za Kata katika Halmashauri ya Siha.
 
Back
Top Bottom