Walinzi wa Rais huwa wanachaguliwa na nani?

Walinzi wa Rais huwa wanachaguliwa na nani?

Sio kwamba kila rais huja na walinzi wake,
kwa mfano secret service ya marekani ni kitengo kamili kiko chini ya wizara ya fedha.

Na kina mkuu wake,yeye ndo anapanga ulinzi wa rais uweje na sio rais anaepanga,
secret service ndo wako full responsible kwa usalama wa rais
,kwa huko sijui
Kwamba unajua sana ulinzi wa rais wa Marekani kuliko rais wa Tanzania?
 
Wakuu heshima zenu.
Naomba kujua kuhusu protocal za ulinzi wa rais, hawa huwa wanateuliwaje? Maana katika pitapita zangu leo nimebaini kwamba aide-de-camp wa Rais Magufuli, ndiye yuleyule aliyekuwa pia aide-de-camp wa Rais Kikwete ingawa inaonesha aliingia baada ya aliyekuwepo awali kustaafu.

Lakini pia hawa jamaa wa usalama, yule anayekaa pembeni ya rais akiwa katika nguo za kiraia, alikuwa pia katika kikosi cha usalama wa Rais Kikwete ingawa inaonekana hakuwa katika rank ya juu kama sasa.

Naomba kujua, kwanza kuna tofauti gani kati ya yule anayevaa kombat na wale wanaovaa za kiraia? Wanateuliwaje kwa maana sifa na vigezo vyao huwa ni vipi? Nategemea wajuvi wa mambo mtanielewesha.

With due respect!
Kuna kozi maalum kwa ajili ya kiongozi kulingana na wadhfa wake kwa mfano wale unaowaona pale ni walinzi zaidi ya wanne pale kuna wa mawasiliano.. Huyu ni Yule mwenye sure Mbaya mrefu mweusi kuna mwakililishi wa mkuu wa majeshi ( yule cornel wa jeshi) kuna wa kinga na maadui na hawa wako wasili mwanamke na mwanaume. Kati ya how see unasemea yupi
 
Nilimaanisha Aide de Camp mkuu, yule anayevaa gwanda pamoja na wale wengine wa usalama.
 
Kuuliza sio ujinga

Napenda nifahamu kama mada inavyojieleza hapo juu

Ulinzi wa rais hapa kwetu Tz huwa anajipangia/kuchagua mwenyewe watu wa kumlinda au kuna taasisi/watu wanampangia/kumchagulia watu wa kumlinda??

Jiwe juu ya Mawe
 
Rais ajipangie ulinzi kwamba anafahamu masuala ya ulinzi?

Wapo watu ambao huratibu masuala yote ya ulinzi wa Rais na yeye anafuata tu order kuwa leo turukeruke au tutembee wima.
 
Back
Top Bottom