hapana!Rais ajipangie ulinzi kwamba anafahamu masuala ya ulinzi?
Wapo watu ambao huratibu masuala yote ya ulinzi wa Rais na yeye anafuata tu order kuwa leo turukeruke au tutembee wima.
wataka kuniambia kuna intelligence iliona kuwa pahala salama pakuishi rais wa Tanzania kwa wakati huu ni Chatto