Walinzi wa Kikwete wana silaha za kutosha?

Labda umpate mtu Kama jack Bauer na zile nguo za chuma alizotumia kusimamisha msafara wa Logan kwenye movie ya 24 na kumteka japo magari yalikuwa bullet proof. Alieangalia hii season atakubaliana na mimi kuwa hata uwe na msafara na askari wenye silaha za kutosha ukimpata mtu kama Bauer umekwisha.
 
Wadau habari zenu.napenda kufahamu wale walinzi wa raisi wetu(wavaa Kaunda Suti)kuwa ni wanajeshi? au police wa kawaida?au ni miongini mwa Usalama wa taifa?na je huwa na silaha yoyote? naipenda hii Kazi sana. wadau kwa anaejua anipe shule nipate mwanga.samahani kwa nitakae mkwaza.nawasilisha.
 
Wadau habari zenu.napenda kufahamu wale walinzi wa raisi wetu(wavaa Kaunda Suti)kuwa ni wanajeshi? au police wa kawaida?au ni miongini mwa Usalama wa taifa?na je huwa na silaha yoyote? naipenda hii Kazi sana. wadau kwa anaejua anipe shule nipate mwanga.samahani kwa nitakae mkwaza.nawasilisha.

unataka kuandaa shambulizi nini mkuu
 
ni usalama. Ila umenichekesha uliposema unaipenda kazi hiyo. Si kila kazi unayoipenda una qualify kuifanya mkuu!
 
jina lake tu umechemsha je maswali ya uzalendo na utanzania ,ww haupo makin haikufai hii kazi
 
Mods hii habari ya Rais na sijui namna gani mbona inazagaa sana yaani haipiti siku lazima threads ziwepo
Ikibidi zoote ziunganishwe halafu iwe rahisi ama kuzifuta/kuziacha
 
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.typing error wakuu.

sasa kama ndio usalama wake si ndio unaua kisa nliona ishara ya hatari,
kama ni mwanachuo fanya mazoezi na uwe soma soma enjoy hata wa manoval,siku hizi wanapendwa wasomi na sio mbavu nene kama zamani
 
Ni usalama wataifa, wana mafunzo ya kiintelijensia (Upelelezi), matumizi ya silaha na karate/ kung fu na judo!!!!
 
Kama unaipenda watakutafuta tu,
hebu weka picha yako na contacts zako hapo
ili tuagize vijana waje kufuatilia CV yako.
 
Piga chuma mkuu utakuwa mlinzi wa raisi wa wasafi anasafiri kuliko hata JK (Diamond platinumz)
 
Unaogopa kufa?, we acha kutuzuga na kwa taarifa yako usalama wa taifa huwa hawapokei maombi bali wao ndio wanatafuta watu. Na nakushauri tu tafuta kamuai usome maana walinzi
 
Back
Top Bottom