SPANISH CP
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 465
- 230
Wale walinzi ni mgambo tu na hawana silaha yoyote mifukoni wamejaza karanga na maandazi ya kutafuna.
Wale walinzi ni mgambo tu na hawana silaha yoyote mifukoni wamejaza karanga na maandazi ya kutafuna.
Mkuu nilitaka jufahamu tu..kama huna unachojua si upige kimya!@many the catalyst
Wadau habari zenu.napenda kufahamu wale walinzi wa raisi wetu(wavaa Kaunda Suti)kuwa ni wanajeshi? au police wa kawaida?au ni miongini mwa Usalama wa taifa?na je huwa na silaha yoyote? naipenda hii Kazi sana. wadau kwa anaejua anipe shule nipate mwanga.samahani kwa nitakae mkwaza.nawasilisha.
Wale walinzi ni mgambo tu na hawana silaha yoyote mifukoni wamejaza karanga na maandazi ya kutafuna.
Walinzi wa Rais wanatoka katika kitengo kimojawapo cha Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) kinachoitwa Kitengo cha Usalama wa Viongozi Wakuu (PSU - Presidential Protection Unit).
'Memba' wa hiki kitengo wanapewa mafunzo mbalimbali ya kupigana bila silaha, kutumia silaha, kusoma mazingira n.k. Wana uwezo mkubwa wa kuhami, kushambulia, kulenga shabaha,kudhibiti halaiki ya watu n.k.Wengi wao hutoka katika majeshi yetu mbalimbali na kupatiwa mafunzo mbalimbali.
Walinzi hawa hubeba silaha ndogondogo na za ukubwa wa kadiri ( bastola,Uzi) katika miili yao lakini silaha kubwa (bunduki) huwa haziko mbali sana na wao.
Katika kundi la walinzi huwa wana kiongozi wao (Detail Leader) ambaye kwa kawaida huwa karibu sana na mlengwa. Katika ulinzi wanajipanga katika taratibu (formations) mbalimbali kufuatana na mazingira na kiasi cha hadhari.
Chattle Master kalifanyia kazi suala lako. Vipi ulinzi wake?Hivi walinzi wa rais akiwa kwenye msafara wana silaha kiasi gani iwapo watu wenye hasira wakiamua kumshambulia kwa mawe kutokana na kushindwa kutekeleza majukumu yake kama kiongozi mkuu wa nchi? Vile vi bastola kiunoni kweli vinaweza kushindana na nguvu ya umma?
Leo mnamuita shujaa?Mkuu,achana na hilo wazo lako kabisa,muache tu huyo dhaifu amalzie miaka yake akarest in peace...wale makomandoo wanaomlinda ni hatari sana asee na wana silaha kali mno.
Hahahah duhLeo mnamuita shujaa?