Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

LOL ! Mada yako imekua tamu san kwa watu wengi na imekua chungu kwa watu wachache humu jukwaani ona idadi ya wanaokutia moyo. Mwalim usiishie shuleni ingia hadi mitaan. Natambua kuwa walim wanaaminika sana hapa duniani isipokua serikari ya CCM tu ndo inawadhalilisha. Kwa upande wangu nimewabadilisha watu wengi sana wawazo ya kuikataa CCM na mawakala wake. Nimefanikiwa kazani, yaani hadi sasa nafatiliwa kwa siri sana kwa nia ya kutaka kunishughulikia. Mtaani ndo usiseme,mtaa ninaokaa mimi nimeiangamiza kabisa CCM.Kiukweli CDM nimeijenga sana mioyoni mwa majirani. Nimefanikiwa nyukbani kwangu, nimefanikiwa kuwajenga wanangu wanaiona CCM kama chama cha mashetani. Nimembadili kwa ulaini kabisa mke wangu alikua mtoto kwa kada wa CCM sasa hivi anaipenda CDM kushinda mimi. Mimi sio kiongozi wa CDM kabisa na hata kadi sina,lakini mke wangu aliwahi kuja na kadi na aliniambia kusudio lake la kutaka kugombea nafasi za uongozi huku mtaani nikamkataza. Nilimkataza kwa sababu angenisababishia matatizo kazini. Lakini naona kama anashiriki siasa za CDM kwa siri. Kwa upande wa ndugu zangu ambao niko nao karibu wengi wanaiunga mkono CDM. Nina watoto wadogo wawili . Hawa ikitokea kuna kiongozi mkubwa wa CDM anaongea kwenye TV kama sijui hunipq taarifa kuwa baba fungua TV fulani kuna CHADEMA anaongea. Kwa hali hii mimi huwa naamini CCM huwa inashinda kwa njia haramu. mimi asili yangu ni kanda ya ziwa lakini Naishi DSM.
 
KAZI NZURI HIYO kamanda
 
Kamanda umenikosha sana. Mimi ni mwalimu na balozi mzuri sana wa CHADEMA, maccm wananijua na walishanitafutia kesi ili nifukuzwe kazi, but baada ya dili kukwama wakanihamisha ili niwe nje ya mji. Bahati mbaya wamenipeleka sehemu ambayo kuna ccm sana so wamenipa kazi nyongine ya kuwabadilisha wananchi. Na mpaka sas ccm ipo hoi katika kata ya Nduli na nina uhakika mwakani kata hii itakombolewa. Bigup walimu fundisheni ukombozi.
 
KAZA MWENDO kamanda
 
Nani anaowajir hao walimu failure? Ni serikali failure, inaongozwa na chama gan?......... majibu unayo mwenyewe tafakar na chukua hatua
 
HATA KAMA kuna LESSON PLAN MKUU. KWA TAARIFA YAKO KTK UFUNDISHAJI MWL ANAPOKUWA DARASANI UWEZI NAMBIA KUWA DK ZOTE 80 ANAFANYA ALIYOYAANDIKA KWENYE LESSON PLAN.

MBONA MADAKTARI WANAACHA WAGONJWA WAKO MAHUTUTI NA WANAENDA KUGONGA MOJA BARIDI

Kama hufanyi yakupasayo kuyafanya, wanafunzi unawaambia nn? live in real word, usiseme baadhi ya watu hawafanyi kazi wakati ww mwenyewe ni mzembe.
 
magamba wamebakia jina na kumchosha mzee Kinana masikini anabeba matofari hadi huruma.
 
Asanteni kwa juhudi hizi MSALANI .............MISHAHARA Inalipwa na kodi zetu... binafsi kila mwezi nakatwa 400,500/= ila inachofanya CCM ni kupora hizo kodi na kuwalipa walimu na Polisi mishahara midogo.

Msalani huo ndio mshahara wake wa mwezi,utamfanye ahamie cdm kutafuta ukombozi
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK TANGANYIKA

Nyie jichomeni wenyewe.
 
Unajua hotuba za mwl.Nyerere,ndio sababu ya msingi!mwl.Nyerere aliwahi kusema;mwalimu ni mkombozi wa jamii,sasa sina hakika kama kuna wasomi wazalendo wako ccm,mzalendo yoyote lazima awaunge mkono CDM.mimi mwenyewe ni mwalimu na nimekuwa mwanaharakati mzuri,nafundisha vizuri na siasa nawafundisha pia,wao ndio wanakuwa na kazi ya kwenda kuwabadilisha wazazi wao.peopleeeeeeeeeeee
 
Polisi wakilinda mitaa, ili CHADEMA wasiandamane, na mashuleni huku sasa!!!!??????
 
Mi pia natumia nusu ya kipind kuiponda ccm wanafunz wangu hawataki kabisa kuisikia ccm nanimewaamasisha kujiandikisha kupiga kura
 
Hii ya siasa madarasani inanikumbusha movie ya Sarafina.
 
Mi pia natumia nusu ya kipind kuiponda ccm wanafunz wangu hawataki kabisa kuisikia ccm nanimewaamasisha kujiandikisha kupiga kura

ccm ni zaidi ya Ebola mgonjwa mbaya sana ndo ccm
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK TANGANYIKA

chama kinachorushiwa mawe kwa sababu ya matunda yake ya ukombozi daima chezea CHADEMA
View attachment 188203
FUTA DELETE KABISA HUU UGONJWA WA EBOLA CCM TANZANIA KABISA
 
Kama south vile, mnanikumbusha movie ya salafina, na mwalim wao wa history miss masambugga.
 
Back
Top Bottom