majjita 01
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 232
- 82
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.
Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.
Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.
Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.
Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.
#BACK TANGANYIKA