NGANU
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,919
- 393
... Polis Watahamia Mashuleni, Yangu Masikio. Utaona Walimu Wanaanza Kupigwa
WAPIGWE TU
si kauli yangu ni ya waziri mkuu.
... Polis Watahamia Mashuleni, Yangu Masikio. Utaona Walimu Wanaanza Kupigwa
CCM tumezidisha upole,,hii nchi inabidi iendeshwe kama China lazima tutaheshimiana...!
Wewe unamawazo ya kikoloni kweli! Unataka kusema wanalipwa na CCM? Aah! MSALANI kweli majanga, inaonyesha wewe uko kwenye lile kundi linalotaka wabunge walao wajue kusoma na kuandika tuu.
Nimekuhurumia sana mkuu .Kwa akili zako mbofumbofu unadhani hao waalimu wanalipwa na serikali ya chagadema! Hizo ni kodi za wananchi zinazokusanywa na kugawiwa na kuratibiwa na serikali ya chama kilichoko madarakani.
Kauli ya uchochezi.
CCM tumezidisha upole,,hii nchi inabidi iendeshwe kama China lazima tutaheshimiana...!
ole wenu tuwajue mtakoma kuichafua Ccm kwa wanafunzi
wanalipwa na wananchiMshahara wanalipwa na nani?
maana hii nchi ni ya ccm hebu tumia akili wewe china ni madikteta kwa maslahi ya wachina sasa ccm watakuwa madkteta kwa maslahi ya nani ya mafisadi au?
Ulivyokuwa mvivu wa kufikiri unadhani china inaongozwa na malaika? China inaongozwa na wana siasa wa chama tawala kama ilivyo TZ inavyoongozwa na CCM..