Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

Hilo halina ubishi unakumbuka mangula kwenye mkutano mkuu wa chadema alisemaje??? Haijawahi kutokea na wala haamini kuwaona wajumbe wamevaa wamependeza wana hari wanajiamini na wako wengi akawatakia mafanikio mema na kuahidi kajifunza yani ata copy na ku paste ccm. Ata nape, jk, kinana, wasira wanakiri moyoni bora mangula alikiri mdomoni

Najua wanaikuli,ila ndo ivo tena wanajistukia kuja kuipa tano.
 
Na muda si mrefu itabidi wabadilishe wasimamizi wa uchaguzi kutokuwa WALIMU maaana zamani ndio ilikuwa nguzo yao ya kuibia KURA na kuwapatia KULA.
 
mwenyewe niticha sikunikiamia juu nakula gwanda chini modo fulkuchomekea. natimba class dk20 pind dk 20 M4C
 
Nakubaliana na wewe kwa asilia zote mkuu, nami nilikua mwalimu shule moja wilayani Bagamoyo, nilihakikisha kuwa vijana nawapa somo la kujitambua na kuhoji chanzo cha umaskini wetu japo nilikua sipigi kampeni lakini wale watoto walika na hasira sana na jinsi mambo yanavyoenda. Si mimi peke nina marafiki zaidi ya 67 ambao ni walimu walioko sehemu mbali mbali hapa nchini ambao najua kabisa ni wafuasi kindakindaki wa CDM, hivyo basi tutegemee makubwa sana kutokana na shule zetu za kata
 
Kama vijana wanashindwa kuelewa hata principles za Logarithms mpaka wanahitimu form4,je watakuwa wanawaelewa kweli kwa hizo 5mins?

Mnaupimaje uelewa wao?
 
Kama vijana wanashindwa kuelewa hata principles za Logarithms mpaka wanahitimu form4,je watakuwa wanawaelewa kweli kwa hizo 5mins?

Mnaupimaje uelewa wao?

Nalo hilo neno,waje watwambia walivyofanya tathimini yao.
 
Hakika sana.Huku niliko mimi tuko walimu takribani 40, kati ya hao wote ni Mkuu wa Shule tu ndo anaelekea ccm.

Mijadala yote ya siasa ni jinsi Ccm ilivyoharibu taifa hususani kwenye elimu,afya, nishati na ardhi.

hongera sana kaka, hii nchi itabadilishwa na vijana.......

kama vijana tuna majukumu makubwa sana kulibadili taifa letu.
 
.... Mi Mwenyewe Natumia Mda Mwingi Kuwaelimisha Watoto Jinsi Huyu Mkoloni Mweusi Anavyo Tunyonya, Na Huwa Wanaichukia Sana Serikali
 
.... Mi Mwenyewe Natumia Mda Mwingi Kuwaelimisha Watoto Jinsi Huyu Mkoloni Mweusi Anavyo Tunyonya, Na Huwa Wanaichukia Sana Serikali

ina pendeza mkuu....ni jukumu letu vijana la kuijenga tanzania yetu na ya watoto, pia naya kizazi kijacho.
 
... Polis Watahamia Mashuleni, Yangu Masikio. Utaona Walimu Wanaanza Kupigwa
 
ina pendeza mkuu....ni jukumu letu vijana la kuijenga tanzania yetu na ya watoto, pia naya kizazi kijacho.

... Hilo Halina Ubish Mkuu, Mi Huwa Natinga Class Na Magwanda Kabisa
 
Halafu wanafunzi wakifeli mnailaumu serikali? Kama walimu tulio nao ndiyo ea aina yako basi elimu ya nchi hii iko mashakani...!
 
Hongera sana hata mimi ninapofanyia kazi aslimia 95 ni wafuasi wa CDM naifanya kazi hiyo kwa ufanisi wa hali ya juu sana . Hizi ni juhudi za kumunga mkono DR. wa ukweli Slaa Willy.
Habari nzuri hii mkuu,hongera hata Mimi sehemuyangu napofanya kazi wembe nihuo huo ila nimefurahi sana ofisi yetu moja mkoa 1 huko nyanda za juu kusini wafanyakazi wote ni Cdm mpaka boss wetu
 
CCM tumezidisha upole,,hii nchi inabidi iendeshwe kama China lazima tutaheshimiana...!
 
Mshahara wanalipwa na nani?

Wewe unamawazo ya kikoloni kweli! Unataka kusema wanalipwa na CCM? Aah! MSALANI kweli majanga, inaonyesha wewe uko kwenye lile kundi linalotaka wabunge walao wajue kusoma na kuandika tuu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom