Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

Hakika sana.Huku niliko mimi tuko walimu takribani 40, kati ya hao wote ni Mkuu wa Shule tu ndo anaelekea ccm.

Mijadala yote ya siasa ni jinsi Ccm ilivyoharibu taifa hususani kwenye elimu,afya, nishati na ardhi.[/QUOT.

kila la KHERI KAMANDA
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK

leo nilikuwa nafundisha topic ya taxation kidato cha 4 nikawa nawaeleza jinsi sirikali dhalimu ya chama cha magamba inavyozitumbua kodi zetu na jinsi misamaha ya kodi inavyotuumiza na vijana wakahaidi mwakan lazima ndo uwe mwisho wa haya manyang'au.

HIYO NIMEIPENDA MKUU
 
Hata mimi nagonga dozi ya ukombozi kama dak 15 za mwanzo
Madogo wakikumbuka maisha mabaya ya home basi dozi inaingia, halavu walimu watoro na wajawazito mimi huwa naenda kuingia katika vipindi vyao kisha natangaza kufundisha Civics basi humo ni dozi ya daki 80 shule ni zaidi ya wanafunzi mia nane karibu wote wanaujua ulaghai wa magambaz
Peoooopleeeees
Pooooowwwweeeerrrr
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK

leo nilikuwa nafundisha topic ya taxation kidato cha 4 nikawa nawaeleza jinsi sirikali dhalimu ya chama cha magamba inavyozitumbua kodi zetu na jinsi misamaha ya kodi inavyotuumiza na vijana wakahaidi mwakan lazima ndo uwe mwisho wa haya manyang'au.

HIYO NIMEIPENDA MKUU
 
hata mimi nagonga dozi ya ukombozi kama dak 15 za mwanzo
madogo wakikumbuka maisha mabaya ya home basi dozi inaingia, halavu walimu watoro na wajawazito mimi huwa naenda kuingia katika vipindi vyao kisha natangaza kufundisha civics basi humo ni dozi ya daki 80 shule ni zaidi ya wanafunzi mia nane karibu wote wanaujua ulaghai wa magambaz
peoooopleeeees
pooooowwwweeeerrrr

nimeipenda hii mkuu
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK TANGANYIKA

Daah mkuu ume lenga mule mule yani kila niki ingia class lazma nitoe wosia kwa vijana wangu kuto ipenda ccm maishani mwao nashukuru naeleweka sana kwa wanafunzi wangu........nakumbuka mwaka jana wakati napiga pindi nikawa naongea maovu ya ccm mpaka watoto machozi yana walenga lenga kwa bahati mbaya mkuu alikua dirishani ana sikiliza ninavyo tema cheche alipo ona mambo yanazidi akanifata darasani mbele ya wanafunzi na kunikatisha somo.
 
WELL mkuu
HAYO NDIO MAMBO YA UKOMBOZI HAYO.
 
Leson plan zenu ni noma, zina kila 5 minutes kwa ajili ya kudiscuss vyama, bila shaka utakuwa mwalimu wa civics shule nzima.

Ni vema muyafanyayo, na inamanufaa kwa CHADEMA.
Ukiwa kama mwalimu, huna budi kuwafundisha watoto wajitambue wao binafsi na nini wanatakiwa kufanya (encouraging concrete conciotisation to students) na sio kumkaririsha chama.
 
Automatically ukiongelea maovu ya ccm akili inakimbilia chama mbadala ni cdm hilo halina ubishi,sisi tunacho fanya ni kutekeleza wajibu wetu wa kulikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi........
 
HATA KAMA kuna LESSON PLAN MKUU. KWA TAARIFA YAKO KTK UFUNDISHAJI MWL ANAPOKUWA DARASANI UWEZI NAMBIA KUWA DK ZOTE 80 ANAFANYA ALIYOYAANDIKA KWENYE LESSON PLAN.

MBONA MADAKTARI WANAACHA WAGONJWA WAKO MAHUTUTI NA WANAENDA KUGONGA MOJA BARIDI
 
Automatically ukiongelea maovu ya ccm akili inakimbilia chama mbadala ni cdm hilo halina ubishi,sisi tunacho fanya ni kutekeleza wajibu wetu wa kulikomboa taifa letu kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi........

MWAMBIE MKUU.

KAMA msingi YA KATIBA TU INAKIUKWA ITAKUWAJE HIYO LESSON PLAN TENA NAYOIANDA MM MWENYEWE?
 
Ipo siku kita eleweka tu,hii nchi wakina riz1 wataikimbia tu kudadeki wako wapi watoto wa sadam? wako wapi watoto wa gadafi?
 
mkuu asante ila ongeza na hii.
1. polisi wengi ni ppls power japo wanafata amri ya bosi usishangae siku moja wakagoma.
2. CCM WENYEWE WAKO PPLS POWER ILA KWA MASLAHI HAWAJIONYESHI ILA KUMBUKA KURA NI SIRI YA MTU 2015 UKAWA 98% VOTE YES

Hata mie kidogo nakusupport ndiyo maana wakasema kura ya wazi maana siri ingewaumbua kwenye katiba
 
Back
Top Bottom