Walimu wengi ni mabalozi wa CHADEMA shuleni

mkuu asante ila ongeza na hii.
1. polisi wengi ni ppls power japo wanafata amri ya bosi usishangae siku moja wakagoma.
2. CCM WENYEWE WAKO PPLS POWER ILA KWA MASLAHI HAWAJIONYESHI ILA KUMBUKA KURA NI SIRI YA MTU 2015 UKAWA 98% VOTE YES

THANKS mkuu.

HATA MACCM YOTE YANAIKUBALI PEOPLE
 
Hilo halina ubishi unakumbuka mangula kwenye mkutano mkuu wa chadema alisemaje??? Haijawahi kutokea na wala haamini kuwaona wajumbe wamevaa wamependeza wana hari wanajiamini na wako wengi akawatakia mafanikio mema na kuahidi kajifunza yani ata copy na ku paste ccm. Ata nape, jk, kinana, wasira wanakiri moyoni bora mangula alikiri mdomoni

thanks mkuu.

Hata maccm yote yanaikubali people
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK TANGANYIKA

aisee,so mnalipwa mishahara miwili,wa mwajiri wako kazini(serikali au mmilik wa shule) na wa CHADEMA.
Nipen mtaala maana nami ni mwalim
 
AYA WALIMU WENGI NI TLP UMESHINDA

Sio kweli kwamba walim wengi ni ACT

quote_icon.png
By JIULIZE KWANZA

Aya umeshinda walimu wengi ni act au bado hutaki??
 
AYA WALIMU WENGI NI TLP UMESHINDA

quote_icon.png
By JIULIZE KWANZA

Aya umeshinda walimu wengi ni act au bado hutaki??

Hapana pia, walimu wengi sio wakereketwa wa vyama vya siasa kama unavyodhani. Ni sawa na mwanasiasa kukudanya watu wengi kwenye mkutano na kufikiri kuwa ana wanachama wengi , kumbe maskini wengi wao walikuja kushangaa na kumsikiliza na hawana hata kadi za kupigia kura.
 
Aya umeshinda walimu wengi ni ccj...kama nimekosea ntakupa mji

hapana pia, walimu wengi sio wakereketwa wa vyama vya siasa kama unavyodhani. Ni sawa na mwanasiasa kukudanya watu wengi kwenye mkutano na kufikiri kuwa ana wanachama wengi , kumbe maskini wengi wao walikuja kushangaa na kumsikiliza na hawana hata kadi za kupigia kura.
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK TANGANYIKA
Nimeanzisha kampeni ambayo. Nimeipa jina la tokomeza ccm. Watoto wadogo wakilia nawaambia "nyamaza ccm linakuja wakinyaza nawaambia cdm inakupeda"naomba niungwe mkono
 
Kwa utafiti nilioufanya katika mashule mengi ya sekondari hapa nchini ni kuwa asilimia kubwa ya walimu wanaoajiriwa siku hizi ni zao na wapenzi wazuri wa CHADEMA toka vyuo mbalimbali hapa nchini.

Kutokana na ukweli huu hii hali inapelekea hawa walimu wanakuwa mabalozi wazuri sana katika kuitangaza chadema na kuweka mizizi kwa vijana wengi ambao ni wanafunzi wa mashule wanayofundisha.

Kwa mfano, mimi na rafiki zangu kama team ya watu watano tupo shule moja hapa nchini Katika utaratbu tuliojiwekea ni kuwa kila tunapozama kipindi kila mmoja anatumia dakika zisizopungua tano kuwaeleza wanafunzi mabaya yote yaliyofanywa na yanayozidi kufanywa na chama cha CCM. Na pia tunatumia mda huo huo kuwaeleza mazuri yooote yanayofanywa na chadema katika kuwatetea wanyonge na jinsi inavyo pambana na mafisadi hapa nchini.

Pia tunatumia nafasi hii pale tunapokuwa tupo zamu, ambapo pale mstarini tunatumia dk kadhaa kuubili mambo mazuri ya chadema na ufisadi wa ccm.Shule yetu ina zaidi ya wanafunzi 1000.

Kwa hiyo mpaka sasa zaidi ya robo tatu ya shule nzima pamoja na STAFF ni watu wa PEOPLE'S POWER.

#BACK

leo nilikuwa nafundisha topic ya taxation kidato cha 4 nikawa nawaeleza jinsi sirikali dhalimu ya chama cha magamba inavyozitumbua kodi zetu na jinsi misamaha ya kodi inavyotuumiza na vijana wakahaidi mwakan lazima ndo uwe mwisho wa haya manyang'au.
 
Hakika sana.Huku niliko mimi tuko walimu takribani 40, kati ya hao wote ni Mkuu wa Shule tu ndo anaelekea ccm.

Mijadala yote ya siasa ni jinsi Ccm ilivyoharibu taifa hususani kwenye elimu,afya, nishati na ardhi.[/QUOT.

kila la KHERI KAMANDA
 
Back
Top Bottom