Walimu wanatumiana sms hii

Walimu wanatumiana sms hii

augustino ameri

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
267
Reaction score
57
KWA KUWA HOSPITALI KUMUONA DAKTARI NI Tsh 5,000-15,000/=,MAHAKAMANI MUHURI WA HAKIMU NI Tsh5,000-10,000/=,KUANZIA.SASA HATA SHULENI KUMUONA HEADMASTER AU MWL MKUU ITAKUWA NI Tsh 5,000-7000,KUONGEA NA MWL WA DARASA 3,000/=,MWL WA ZAMU 2500/=,NA MUHURI NA UHAMISHO WA MWANAFUNZI GHARAMA YAKE NI Tsh15,000/=.LENGO NI KULETA USAWA WA KISEKTA NA KUIFANYA SEKTA YA ELIMU NAYO IWE NA HADHI KAMA SEKTAZINGINE.UNAONAJE KWA HILO MWL?NAHITAJI MAONI YAKO.
 
Kwao lina maana wamezoea kulalamika kuwa hawana posho kama sekta zingine!
 
watajijua. kwanza awana umoja kama walimu wa kenya. watalalamika hivo hivo adi wanastahafu.

umoja ni nguvu.utengano ni udhaifu.
 
ila kiukweli sekta za:-
1.Ualimu
2.udaktari na
3.uaskari,
hizi kiujumla wao zimesahaulika mno na ndizo nguzo kuu kwa ustawi wa jamii ya kitanzania, hv ikitokea kuna migomo ya waalimu, ikitokea kuna migomo ya madaktari na ikitokea jeshi kuasi, itakuwaje? Mie nafikiri tuzidi kumwomba Mungu ili mioyo ya watawala iwafikirie vilivyo hawa jamaa zetu.
 
Miongoni mwao kumejaa mamluki na vibaraka. Hawataweza fanikiwa mpaka Yesu arudi. Hao ni kanyagio la ccm.
 
Ukisoma ujumbe huu 'between lines' unaona walimu wana hoja ya msingi hapa: taaluma ya ualimu na sekta ya elimu kwa ujumla wake havijapewa kipaumbele vinavyostahili. Tatizo ninaliona ni kuwa badala ya kushughulikia chanzo cha tatizo, ujumbe huu unahamasisha kushughulikia madhara ya tatizo kitu ambacho kimsingi kitaibua matatizo zaidi ya suluhisho. Walimu kwa wingi wao, wanaweza kabisa kuwa chachu ya mabadiliko katika sekta ya umma kama wakiamua. Tatizo hawajatambua nguvu waliyonayo na wamebaki kulalamika. Anyway, message sent...to kawambwa, mulugo et at!
 
Naunga mkono hoja! Ndiyooooo! Waliosema siyoooo! Wameshinda na hoja imepita!
 
ila kiukweli sekta za:-
1.Ualimu
2.udaktari na
3.uaskari,
hizi kiujumla wao zimesahaulika mno na ndizo nguzo kuu kwa ustawi wa jamii ya kitanzania, hv ikitokea kuna migomo ya waalimu, ikitokea kuna migomo ya madaktari na ikitokea jeshi kuasi, itakuwaje? Mie nafikiri tuzidi kumwomba Mungu ili mioyo ya watawala iwafikirie vilivyo hawa jamaa zetu.

Is that all you can do?
 
Tatizo walimu hawatumii advantage ya wingi wao.

dhana ya serikali ktk walimu ipo kwenye divide and rule! walimu wapo kenye vitabaka vidogo vidogo vinavyowafanya wasiwe na umoja wa kweli!
 
dhana ya serikali ktk walimu ipo kwenye divide and rule! walimu wapo kenye vitabaka vidogo vidogo vinavyowafanya wasiwe na umoja wa kweli!
Hapo ni nani wa kulaumiwa? walimu? au serikali?
 
Kwa nyongeza hii ya mshahara amini usiamini matokeo yatakua afadhalo ya mwaka jana
 
Kumuona mwalimu wa Taaluma sh.100 mia tu (kwa shule za kata) , za kishua sh.50,000.
mwalimu wa haiba na michezo pamoja na utamaduni 500 jero tu.
 
Tatizo walimu hawatumii advantage ya wingi wao.

Inaweza kuwa ni sababu muhimu. Ila sasa zile posho za kusimamia mitihani na usimamia uhesabuji kura zinawapumbaza mno, wanasahau kudai maslahi bota toka kwa mwajiri wao. Ualimu ni ajira kama zilivyo nyingine, sio wito.
 
Back
Top Bottom