Walimu wanatumiana sms hii

Walimu wanatumiana sms hii

Walimu now days wanaandika Hedings wanafungua JF AU FB NA WHTSUP WANACHAT. Yani wana udhuria poa na kusaini then wana poz. Ukiwakagua wako poa wanakila ki2. Kazi kwenu wazazi Mjibebee private serekali Imebinafsishaga Elimu long tym ndo maana hawajali. So uwalimu ni chanz za kupata salary siku ziende. Walimu huku kwetu ndo wafany busnez wakubWA WANAMADUKA TOYO MASHAMBA N.K
 
Back
Top Bottom