Walimu wakuu watakiwa kutuma majina ya Walimu wanaojitolea kwa Katibu Mkuu TAMISEMI

allyissa

Member
Mar 22, 2018
20
7
Walimu wakuu watakiwa kutuma majina ya walimu wanao jitolea shule za msingi na sekondari kwa katibu mkuu o-tamisemi.

Kwa hiyo walimu mnao subiri ajira usipo jitolea ajira itakuwa ni baba mkwe.

Haijalishi una degree au diploma kwa sasa mhe anataka wazalendo wa nchi.

Walimu kwa sasa ajira sio kipa umbele uzalendo kwanza.

Kama unataka ajira wahi kwa mkuu wa shule mapema kwa shule ambazo majina hayaja tumwa.

Poleni wahitimu wa ualimu

.
FB_IMG_15948107659411275.jpeg
 
Walimu wakuu watakiwa kutuma majina ya walimu wanao jitolea shule za msingi na sekondari kwa katibu mkuu o-tamisemi...
Kama hii ndo system mpya ya kuajiri basi taendelea kuzisikia ajira kwa wengine.

Maana kiukweli kwenda kujitolea bure au kwakupewa laki moja sitaweza...

Maana unakuta mtu una family inakutegemea mambo kibao alafu nikajitolee aisee kazi ipo
 
Kama hii ndo system mpya ya kuajiri basi taendelea kuzisikia ajira kwa wengine....

Hahahah wewe ni kama mimi, ni mzito kweli kwenye swala la kujitolea. Naona kama ni kujidhalilisha taaluma yangu. Kama sitapata mchongo kwa kusainishwa au kwa kupigwa jeki na m buyu ntaendelea kupambana kitaa tu.
 
Kama hii ndo system mpya ya kuajiri basi taendelea kuzisikia ajira kwa wengine....

Maana kiukweli kwenda kujitolea bure au kwakupewa laki moja sitaweza...

Maana unakuta mtu una family inakutegemea mambo kibao alafu nikajitolee aisee kazi ipo

Kujitolea ndio njia proper fairly kabisa ya kuajiri watu, kwanza hapa serkal itapata wazalendo na watu ambao tayar wamejifunza kazi na walio tayari.

Sasa we ulale nyumbani kucheza maPs na kushinda insta, huku wenzako na degree zao wapo wanajitolea alaf utegemee muwe sawa. Noo
 
sijakuelewa mkuu
kwamba wewe unaweza kujitolea kwa bure/laki na apo umepanga chumba na mahitaji mengine?

au unazani vijana wote wapo nyumbani kwao?

akili haikutumika hapa
 
Kujitolea ndio njia proper fairly kabisa ya kuajiri watu, kwanza hapa serkal itapata wazalendo na watu ambao tayar wamejifunza kazi na walio tayari.

Sasa we ulale nyumbani kucheza maPs na kushinda insta, huku wenzako na degree zao wapo wanajitolea alaf utegemee muwe sawa. Noo
Bichwa box katika ubora, wewe unavyojua asiyejitolea anacheza PS
 
Back
Top Bottom