Siwezi kukulazimisha uniamini mkuu lakini elewa tu kuwa nimefanya hivo na siyo Mimi tu wapo watu wengi wamewahi kujitolea au wanaendelea kujitolea bila kulipwa hata cent. Wapo ninaowafahamu wanajitolea halmashauri ya wilaya Fulani na hawalipwi chochote ila wanaendelea kukomaa wakiamini kuwa Kuna siku Michongo utasoma hapoacha kudanganya wenzio chifu!
ujitolee bure bila hata nauli. inawezekana vipi?
kodi,chakula ,mavazi, nauli na mengineyo ulitoa wapi?
au ulikua unatokea nyumbani?
si vijana wote bado wapo kwao kama unavofikiri .kuna watu wamemaliza 2016 huko