Walimu wa Kufundisha Shule ya Msingi Wanahitajika

Updates zitatoka tu. Nlikuwa nitoe Leo lakini ntatoa kesho kuna mdau mmoja hatujamfanyia interview. Kabaki peke yake
Pia ulisema watu waliotuma maombi wapo 14 lakini wanaoitajika ni walimu 3 naomba kujua kwa second interview watakaoitwa ni wangapi kati ya hao 14 ??
 
Bado nafikiria, pengine bora niwajulishe kupitia Uzi huh. But for second interview I will call wahusika for the same.
 
Bado kuna mambo tuna-finalise, tutakuwa tu
 
Bado nafikiria, pengine bora niwajulishe kupitia Uzi huh. But for second interview I will call wahusika for the same.
Bora utumie utaratibu official wa kuwajibu kwa email kama walivyotuma, na mawazo yangu tu
 
Naomba kujua wataoitwa kwa second round interview kati ya hao 14 watakuwa wangap...au wanachukuliwa watatu tu kama ulivosema hawali??
Kuchukua watatu inakuwa unfair assessment afu hawakusema wanaitaji walimu wa masomo yapi
 
Habari wadau,

Nliwahi kuleta bandiko humu buy ya nafasi za ajira kwa walimu. Nashkuru nlipata wadau walioomba lakini ki-ukweli hawakukidhi vigezo hata vya kuwaita for interviews. Wengine walishindwa kuja kufanya interview kwa sababu hawakuwa na nauli.

Mmoja alifanikiwa kuja interview tutakaa nae for one week lakini ali-fail interview.

Kiufupi shule ipo Zanzibar, tena beach kabisa na mazingira ya kazi ni mazuri sana. Gharama za usafiri wa kuja ni juu yako ila ukifika tutakupa accommodation kwa kipindi chote utakachokuwepo hapa maana interview zetu tunazifanya kwa kukuona ukiwa darasani pamoja na oral.

Interested candidates waje PM nitawapa my personal email ili watume CV zao kabla sijawapa my office email.

Vijana wa kiume wanashajihishwa maana shule tayari ina walimu wengi wa kike ila pia dada zangu msiache kuomba.

Thanks and regards,
Relief Mirzska.
Updates......
 
Leteni updates mkuu
 
UPDATES:

Ahsante wadau wote mliotuma mambo ya ajira na kushiriki katika usajili wetu.

Tulifanikiwa kuwafanyia usahili online jumla ya watu 11 ambapo, wanne kati yao tumewaita for second (practical) interview. Wanne wengine wapo kwenye waiting list na watatu waliobaki tumeweka application zao kwenye files zetu for future references.

Ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom