Bed science ndo faculty gani mkuu??Mimi nimemaliza form 6 nikaingia chuo kusoma Bed science miaka 2 ila nikaacha hela ilikosekana,nikaingia mtaani, najua kufundisha, salary yoyote ila nafanya kazi...sina vyeti vya ualimu ila najua kufundisha,
NB: nafanya kaza kwa salary yoyote ile.
Bachelor of Education in Science.Bed science ndo faculty gani mkuu??
OK sawa,nili changanya na bachelor of science with education!!!Bachelor of Education in Science.
NimekujibuNimeku(PM)
Wengine hatufanyiwa interviewWakuu,
Leo ndio itakuwa deadline ya kupokea application. Nina uhakika kuna watu humu watapata kazi. Na Leo Leo tukaanza interview. Wakiona inafaa, watakaofanyiwa interview Leo watawaletea ushuhuda.
Nyinyi wengine msioelewa maelekezo endeleeni kuuliza maswali.
Bora ww umekuwa mkweli vp walishakuelekeza Kama bado sema nikueleweshe.Mm hum nimgen samahanini naomben mnielekeze jins ya kumfata mtu pm
Bado sijaelekezwaBora ww umekuwa mkweli vp walishakuelekeza Kama bado sema nikueleweshe.
Mnaitaji walimu wangapiWadau,
Ahsanteni kwa kuupitia Uzi huu, na shukran za pekee kwa wote walioweza ku-apply kupitia email nliyowatumia.
Kifupi, tumepata applicants 14, tulipanga kuwafanyia 6 interview Leo hii, wengine wanne kesho na wanne wa mwisho Alhamis.
Leo tumefanikiwa kuwafanyia watatu, mmoja tumekosa mawasiliano nae kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu na wawili walikuwa hawapatikani hewani. Bahati mbaya ndio wameshakosa usaili, labda kama tutapata muda ijumaa tunaweza watafuta.
Wale wote waliotuma maombi nawasihi wawe wanapatikana hewani muda wote.
Muda wa kutuma maombi umekwisha na nawashkuru sana wadau.
Ahsanteni,
Relief Mirzska.
Tutachkua watatu mkuuMnaitaji walimu wangapi
Mpo vzr mnafanya interview kwa mawasiliano ila sidhani km unaweza pata mtu mzuri mpaka mumpe practical groundTutachkua watatu mkuu
Of course kuna second interview ambayo we will need watakaopass hii online interview waje zenji. Our interviews ni lazima tukuone site aiseeMpo vzr mnafanya interview kwa mawasiliano ila sidhani km unaweza pata mtu mzuri mpaka mumpe practical ground
Duu zenji mbali sasa kama kuna aliye nanjilinji si anaweza kukosa fulsaOf course kuna second interview ambayo we will need watakaopass hii online interview waje zenji. Our interviews ni lazima tukuone site aisee
Wewe siyo mwalimu huruhusiwi kufundisha hata iwe nurseryMimi nimemaliza form 6 nikaingia chuo kusoma Bed science miaka 2 ila nikaacha hela ilikosekana,nikaingia mtaani, najua kufundisha, salary yoyote ila nafanya kazi...sina vyeti vya ualimu ila najua kufundisha,
NB: nafanya kaza kwa salary yoyote ile.
Sawa mkuuWewe siyo mwalimu huruhusiwi kufundisha hata iwe nursery