Walimu wa Kufundisha Shule ya Msingi Wanahitajika

Walimu wa Kufundisha Shule ya Msingi Wanahitajika

Habari wadau,

Nliwahi kuleta bandiko humu buy ya nafasi za ajira kwa walimu. Nashkuru nlipata wadau walioomba lakini ki-ukweli hawakukidhi vigezo hata vya kuwaita for interviews. Wengine walishindwa kuja kufanya interview kwa sababu hawakuwa na nauli.

Mmoja alifanikiwa kuja interview tutakaa nae for one week lakini ali-fail interview.

Kiufupi shule ipo Zanzibar, tena beach kabisa na mazingira ya kazi ni mazuri sana. Gharama za usafiri wa kuja ni juu yako ila ukifika tutakupa accommodation kwa kipindi chote utakachokuwepo hapa maana interview zetu tunazifanya kwa kukuona ukiwa darasani pamoja na oral.

Interested candidates waje PM nitawapa my personal email ili watume CV zao kabla sijawapa my office email.

Vijana wa kiume wanashajihishwa maana shule tayari ina walimu wengi wa kike ila pia dada zangu msiache kuomba.

Thanks and regards,
Relief Mirzska.
Ushoga ushoga, kazi kweli ya ualimu unatangaza kirahisi hivi?? Yaani unatafutia watu wa kuchapwa, duh, basi poleni vijana, ila kwa ushauri wangu huyu jamaa si mwema, angekuwa mwema angefunguka e-mail, sifa na website ya shule n.k., ila kwa sababu mashoga zanzibar wanahitajika sana basi inawezekana anatafuta bara dili
 
kaka sorry wengine hizi PM zinatusumbua nimejaribu kufanya lakin nimeshindwa hivi hamna namna nyingine ya kukupata yupo brother hapa Ni mwali
wa maths tunaomba msaada wako kaka namba za whatsap 0659393947/0766776061 ntashukur sana
..Mwali ...hajagongwa
 
Siku hizi siyo lazima ' Interviews ' zifanyike ' on one to one basis ' badala yake kama kuna matumizi mazuri ya Mtandao basi unaweza ukamfanyia Mtu wa Tandahimba ' Interview ' huku Wewe ukiwa zako Kibanda Maiti na bado mkaelewana na hatimaye akawa ni mmoja wa Watendaji wako. Kwa nchi zilizoendelea hasa Kiteknolojia kama wangekusikia umeandika hivi kuwa sijui kuna ambao hawakuja kutokana na Kukosa Nauli si tu kwamba wangekucheka bali wangekudharau mno kwa aina hii ya ' Upopoma ' uliotukuka. Hata hapa hapa Tanzania ziko baadhi ya ' serious Offices ' siku hizi wanafanya ' Interviews ' zao kwa njia hii ya Mtandao kwa wale ' Candidates ' walio mbali nao Kijiografia. Tujifunze kubadilika na tusiwe tunatumia tu Mitandao kwa Kuangalia anavyofanyiwa Amber Rutty bali tuitumie kwa kufanyia vitu ' productive ' na vyenye Tija kama siyo Mantiki Kimaendeleo Kwetu.
Unajua wewe jamaa ni bwege sana. Kwani lazima kila Uzi u-comment?? Kwani si nimesema hapo kwamba interviews zetu lazima ufike site, tukuone unavyokuwa darasani. Au ulikuwa umelewa?? Acha upopoma basi. Nakuangalia tu na ujuaji wako b.w.a.s.a wewe
 
kaka sorry wengine hizi PM zinatusumbua nimejaribu kufanya lakin nimeshindwa hivi hamna namna nyingine ya kukupata yupo brother hapa Ni mwali
wa maths tunaomba msaada wako kaka namba za whatsap 0659393947/0766776061 ntashukur sana
Nimekutumia ujumbe PM ila pia ntakutumia email address yangu kwenye SMS
 
Unajua wewe jamaa ni bwege sana. Kwani lazima kila Uzi u-comment?? Kwani si nimesema hapo kwamba interviews zetu lazima ufike site, tukuone unavyokuwa darasani. Au ulikuwa umelewa?? Acha upopoma basi. Nakuangalia tu na ujuaji wako b.w.a.s.a wewe

Umemaliza?
 
Wakuu,

Leo ndio itakuwa deadline ya kupokea application. Nina uhakika kuna watu humu watapata kazi. Na Leo Leo tukaanza interview. Wakiona inafaa, watakaofanyiwa interview Leo watawaletea ushuhuda.

Nyinyi wengine msioelewa maelekezo endeleeni kuuliza maswali.
 
Mimi nimemaliza form 6 nikaingia chuo kusoma Bed science miaka 2 ila nikaacha hela ilikosekana,nikaingia mtaani, najua kufundisha, salary yoyote ila nafanya kazi...sina vyeti vya ualimu ila najua kufundisha,

NB: nafanya kaza kwa salary yoyote ile.
 
Nimeku-pm mkuu Naomba nitume email nitume maombi

Duh! I am very sorry mkuu, serikali iko strict na sisi hatutaki matatizo nao, utakwama teaching licences probably
 
Mimi nimemaliza form 6 nikaingia chuo kusoma Bed science miaka 2 ila nikaacha hela ilikosekana,nikaingia mtaani, najua kufundisha, salary yoyote ila nafanya kazi...sina vyeti vya ualimu ila najua kufundisha,

NB: nafanya kaza kwa salary yoyote ile.
Pole sana kwa kusimama shule Devion yote maisha. May be I can call you. PM nkutumie email yangu
 
Back
Top Bottom