Walimu wa Kufundisha Shule ya Msingi Wanahitajika

Relief Mirzska

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
13,976
Reaction score
22,409
Habari wadau,

Nliwahi kuleta bandiko humu buy ya nafasi za ajira kwa walimu. Nashkuru nlipata wadau walioomba lakini ki-ukweli hawakukidhi vigezo hata vya kuwaita for interviews. Wengine walishindwa kuja kufanya interview kwa sababu hawakuwa na nauli.

Mmoja alifanikiwa kuja interview tutakaa nae for one week lakini ali-fail interview.

Kiufupi shule ipo Zanzibar, tena beach kabisa na mazingira ya kazi ni mazuri sana. Gharama za usafiri wa kuja ni juu yako ila ukifika tutakupa accommodation kwa kipindi chote utakachokuwepo hapa maana interview zetu tunazifanya kwa kukuona ukiwa darasani pamoja na oral.

Interested candidates waje PM nitawapa my personal email ili watume CV zao kabla sijawapa my office email.

Vijana wa kiume wanashajihishwa maana shule tayari ina walimu wengi wa kike ila pia dada zangu msiache kuomba.

Thanks and regards,
Relief Mirzska.
 
Tunashukuru mkuu ila si ungeweka email kabisa kuliko kufatana inbox
Thanks for commenting. Samahani, sitoweka email hapa. It will only be for interested candidates.
 
asante kaka ungeweka email bas au namba ya simu
Ndugu yangu kama you are interested PM me. It's very easy just PM. Moja ya mfanyakazi bora ni yule mwenye kufuata maelekezo as long as hayo maelekezo ni genuine
 
Wewe mwenye shule ww inaonekana ni mtata wewe, huwezi kukaa na walimu kwa muda mrefu.
 
What are your major subjects mkuu?? Hebu njoo PM tutajiane na salaries kabisa usije unatoka Geita huko mpaka huku halafu tukashindwana salary
 
Habari wadau,

Nliwahi kuleta bandiko humu buy ya nafasi za ajira kwa walimu. Nashkuru nlipata wadau walioomba lakini ki-ukweli hawakukidhi vigezo hata vya kuwaita for interviews. Wengine walishindwa kuja kufanya interview kwa sababu hawakuwa na nauli.

Mmoja alifanikiwa kuja interview tutakaa nae for one week lakini ali-fail interview.

Kiufupi shule ipo Zanzibar, tena beach kabisa na mazingira ya kazi ni mazuri sana. Gharama za usafiri wa kuja ni juu yako ila ukifika tutakupa accommodation kwa kipindi chote utakachokuwepo hapa maana interview zetu tunazifanya kwa kukuona ukiwa darasani pamoja na oral.

Interested candidates waje PM nitawapa my personal email ili watume CV zao kabla sijawapa my office email.

Vijana wa kiume wanashajihishwa maana shule tayari ina walimu wengi wa kike ila pia dada zangu msiache kuomba.

Thanks and regards,
Relief Mirzska.

Namimi nahitaji nina bachelor of arts in education
 
Mm hum nimgen samahanini naomben mnielekeze jins ya kumfata mtu pm
 
Siku hizi siyo lazima ' Interviews ' zifanyike ' on one to one basis ' badala yake kama kuna matumizi mazuri ya Mtandao basi unaweza ukamfanyia Mtu wa Tandahimba ' Interview ' huku Wewe ukiwa zako Kibanda Maiti na bado mkaelewana na hatimaye akawa ni mmoja wa Watendaji wako. Kwa nchi zilizoendelea hasa Kiteknolojia kama wangekusikia umeandika hivi kuwa sijui kuna ambao hawakuja kutokana na Kukosa Nauli si tu kwamba wangekucheka bali wangekudharau mno kwa aina hii ya ' Upopoma ' uliotukuka. Hata hapa hapa Tanzania ziko baadhi ya ' serious Offices ' siku hizi wanafanya ' Interviews ' zao kwa njia hii ya Mtandao kwa wale ' Candidates ' walio mbali nao Kijiografia. Tujifunze kubadilika na tusiwe tunatumia tu Mitandao kwa Kuangalia anavyofanyiwa Amber Rutty bali tuitumie kwa kufanyia vitu ' productive ' na vyenye Tija kama siyo Mantiki Kimaendeleo Kwetu.
 
kaka sorry wengine hizi PM zinatusumbua nimejaribu kufanya lakin nimeshindwa hivi hamna namna nyingine ya kukupata yupo brother hapa Ni mwali
wa maths tunaomba msaada wako kaka namba za whatsap 0659393947/0766776061 ntashukur sana
 
Back
Top Bottom