Acha uongo Sio Shule zote.Shule unayompeleka ifanyie utafiti kwanza.Kifupi bweni peleka Shule za makanisa .Ziko vizuri mno kudhibiti hayo mambo ya kishenziBoarding? Ndo umechemka. Kama ni wa kiume atarudi shoga. Kama ni wa kike lesbian.
Wenzio hatupeleki watoto wadogo boarding. Uliza uambiwe huko ndo watu watamsaga au kumkoboa.
Sio lazima itokee hivyo. Ina maana watoto wote waliopo boarding sasa hivi ni mashoga na wasagaji?Boarding? Ndo umechemka. Kama ni wa kiume atarudi shoga. Kama ni wa kike lesbian.
Wenzio hatupeleki watoto wadogo boarding. Uliza uambiwe huko ndo watu watamsaga au kumkoboa.
Yaani Bora ungefanya vice versa hapo ushatengeneza bomuMimi wanangu nilipeleka Boarding....wakifika sekondari ndo nitawaweka Day.....hizi English Medium za day zinafanya watoto kua Mchele mchele siku hiz
Hao Watoto watakuwa na shida mbeleni .Mtoto anatakiwa kusoma na wenzie kumjengea spirit ya team work na Kukaa Kama mtoto na Watoto wenzao Kushinda kutwa na watu wazima yaani wazazi mkiwafundisha Ni wrong.Ajira siku hizi wanataka Hadi mtu aandike Shule ya msingi aliyosoma hao wa kwako wataandika walisoma Shule ya msingi ipi? Wakiombwa cheti watatoa kipi? Halafu hiyo sekondari anayosoma naona Kama iko kisanii sanii walipokeaje mtoto ambaye Hana Shule ya msingi aliyosoma?Mimi na mke wangu watoto wetu elimu ya msingi tunafundisha wenyewe, mkubwa wao yupo form 3 naye tulimfundisha wenyewe na anafanya vizuri maana toka form one hajawahi kupata nje ya B+... kila siku hawa wadogo kuamka saa moja asubuhi ibada, mazoezi, chai, shule mpaka saa tano..
Sizitaki mbichi hizi.Hela huna.Shule zinazofanya vizuri kitaifa primary na sekondary Ni za bweni hakuna day inayokanyaga.Boarding? Ndo umechemka. Kama ni wa kiume atarudi shoga. Kama ni wa kike lesbian.
Wenzio hatupeleki watoto wadogo boarding. Uliza uambiwe huko ndo watu watamsaga au kumkoboa.
Kama watoto wanapata elimu ya home schooling inaonyesha wazazi wao wamejipanga na wanatambua wanachokifanya.Hao Watoto watakuwa na shida mbeleni .Mtoto anatakiwa kusoma na wenzie kumjengea spirit ya team work na Kukaa Kama mtoto na Watoto wenzao Kushinda kutwa na watu wazima yaani wazazi mkiwafundisha Ni wrong.Ajira siku hizi wanataka Hadi mtu aandike Shule ya msingi aliyosoma hao wa kwako wataandika walisoma Shule ya msingi ipi? Wakiombwa cheti watatoa kipi? Halafu hiyo sekondari anayosoma naona Kama iko kisanii sanii walipokeaje mtoto ambaye Hana Shule ya msingi aliyosoma?
aisee wewe ni baba au mama wa mtoto wako huyo anayelipiwa ada milioni zote halafu ni kilaza huko shuleni...//.....Kakijana kangu ka tatu kina Umri wa miaka 5 sasa kanasoma shule moja hizi mnaita english medium.mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.
Kila baada ya miezi miwili kuna picnic hii mzazi nachangia tsh 70,000/ akienda huko anapigwa picha akija nazo kesho yake picha moja anaambiwa ni tsh 2,000. Anaweza kuja nazo hata 10.
Kila baada ya week mbili wanakuwa na class party hii anatakiwa aende na juice za box 3 na chips something au sausages. Au any dry food but siyo wali,ugali au ndizi za kupikwa.
Mtoto wangu ile juice ya box hata moja tu hamalizi. Sasa box tatu nawaza anaenda kuoga kabisa?nmekuwa nafanya hivyo lakini leo nikawaza na kusema ni kweli uchumi umebana. Lakini why wao waamue kutuchuna wazazi?
Jamani mkila na kipofu msishike mkono...mnafikia hatua mpaka wazazi mnatushtua sasa. Ilitakiwa mnapotaka kutupiga mumeweke hata gaps.siyo mnafuliliza mpaka nasi akili inakaa sawa.
Haya ni matumizi mabaya ya wanafunzi. Kuna siku mtamisi pilau kuku mtataka kila mtoto alete pilau kuku. Hizo juice za box kila mtoto akileta 3 si mwisho mnaweza fungua maduka ya vinywaji?
Aaahh jaman... Taratibu wandugu ...muwe na huruma. Na ubaya inakuwa ngumu kumnyima junior pesa maana kesho yake wenzake wakimsimulia atakuwa mpweke.naye tu hawez kubali kukosa.
Walimu wanawaambia nendeni mkadai msikubali.ukikosa shauri yako...mtoto akija hasikii la mwadhini wala la mnadi swala.anataka pesa...walimu muwe na huruma. Kuna siku ntaaamua kuwajia shule halafu mnione mimi mbaya.watu tushachanganyikiwa nyie mnatuletea mambo ya kifala...
Haya...mi nmeweka hili kama angalizo next time tutakuja eleweshana kwa vitendo....kama sijamwasha mtu mbata...na kumtaka anioneshe jinsi ambavyo mtoto wangu alimaliza juice tatu za box.
ada unalipa 3000 000 kwa mwaka halafu unalalamika kulipia hela ya furaha?????? ACHA UJINGA TAJIRI BWEGE..........Kakijana kangu ka tatu kina Umri wa miaka 5 sasa kanasoma shule moja hizi mnaita english medium.mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.
Kila baada ya miezi miwili kuna picnic hii mzazi nachangia tsh 70,000/ akienda huko anapigwa picha akija nazo kesho yake picha moja anaambiwa ni tsh 2,000. Anaweza kuja nazo hata 10.
Kila baada ya week mbili wanakuwa na class party hii anatakiwa aende na juice za box 3 na chips something au sausages. Au any dry food but siyo wali,ugali au ndizi za kupikwa.
Mtoto wangu ile juice ya box hata moja tu hamalizi. Sasa box tatu nawaza anaenda kuoga kabisa?nmekuwa nafanya hivyo lakini leo nikawaza na kusema ni kweli uchumi umebana. Lakini why wao waamue kutuchuna wazazi?
Jamani mkila na kipofu msishike mkono...mnafikia hatua mpaka wazazi mnatushtua sasa. Ilitakiwa mnapotaka kutupiga mumeweke hata gaps.siyo mnafuliliza mpaka nasi akili inakaa sawa.
Haya ni matumizi mabaya ya wanafunzi. Kuna siku mtamisi pilau kuku mtataka kila mtoto alete pilau kuku. Hizo juice za box kila mtoto akileta 3 si mwisho mnaweza fungua maduka ya vinywaji?
Aaahh jaman... Taratibu wandugu ...muwe na huruma. Na ubaya inakuwa ngumu kumnyima junior pesa maana kesho yake wenzake wakimsimulia atakuwa mpweke.naye tu hawez kubali kukosa.
Walimu wanawaambia nendeni mkadai msikubali.ukikosa shauri yako...mtoto akija hasikii la mwadhini wala la mnadi swala.anataka pesa...walimu muwe na huruma. Kuna siku ntaaamua kuwajia shule halafu mnione mimi mbaya.watu tushachanganyikiwa nyie mnatuletea mambo ya kifala...
Haya...mi nmeweka hili kama angalizo next time tutakuja eleweshana kwa vitendo....kama sijamwasha mtu mbata...na kumtaka anioneshe jinsi ambavyo mtoto wangu alimaliza juice tatu za box.
Hao Watoto watakuwa na shida mbeleni .Mtoto anatakiwa kusoma na wenzie kumjengea spirit ya team work na Kukaa Kama mtoto na Watoto wenzao Kushinda kutwa na watu wazima yaani wazazi mkiwafundisha Ni wrong.Ajira siku hizi wanataka Hadi mtu aandike Shule ya msingi aliyosoma hao wa kwako wataandika walisoma Shule ya msingi ipi? Wakiombwa cheti watatoa kipi? Halafu hiyo sekondari anayosoma naona Kama iko kisanii sanii walipokeaje mtoto ambaye Hana Shule ya msingi aliyosoma?
Sizitaki mbichi hizi.Hela huna.Shule zinazofanya vizuri kitaifa primary na sekondary Ni za bweni hakuna day inayokanyaga.
Home schooling Ni Kama private studies ambayo mtu unajisomea nyumbani na kwenda kufanya mitihani tu ya taifa.Hii Ni nzuri kwa watu wazima Lakini kwa Watoto Sio nzuri mtoto anatakiwa a grow kwenye environment ya Watoto wenzie kuweza KU practice utoto na Watoto wenzie.Kuwa na walimu tofauti tofauti humjenga na kumkuza uwezo wake wa KU relate na watu wengine wa tofauti na nyumbani kwake.Kingine walimu wengi huenda kozi Mara kwa Mara kujijengea uwezo na kupaya new methods za kufundisha nk home schooling mzazi aweza kuwa elimu Yake ya mwaka 1947 haijawa updated atalisha mtoto matango pori kwenye home school.Halafu mzazi Kama haivi vizuri na mtoto hayo masomo kuingia Ni shidaKama watoto wanapata elimu ya home schooling inaonyesha wazazi wao wamejipanga na wanatambua wanachokifanya.
Kwenda na kushinda shule muda mwingi kwa watoto wakati mwingine ni kupoteza muda, rasilimali n.k.
Shule nyingi ni vijiwe vya kukulia na kulelea watoto na elimu wanayoipata inaweza isiwasaidie kujitegemea.
Tuendapo huko, home schooling ni muhimu sana ikatambulika.
Kumbe nawewe umegundua hilo mtu mwenye kutowa 3m hawezi kulalamikia box 2 za juice ya mtoto, kama ni kweli atafute level yake hizo shule zina wenyeweada unalipa 3000 000 kwa mwaka halafu unalalamika kulipia hela ya furaha?????? ACHA UJINGA TAJIRI BWEGE..........
ungemleta mwanao shuleni kwetu Olympio usingejuta
Talent pays more than careerRafiki yangu watoto wake walipata admission ya international school kwa kuwa ni vipanga mno. Ni wale watoto wa A+.
Sasa hiyo shule wanasoma na watoto wa madaktari bingwa, top lawyers, business tycoons you name it.
Hizo trip za tennis Swaziland, mzazi unachanga 300k, wakirudi hujalala sawa kuna golf trip SA.
Yaani anawakalisha kila siku anawaambia mmefuata elimu pale hamkwenda kucheza tennis.
Lakini mwisho wasiku huwezi kuwanyima kila kitu.
Wewe utakua kama wazazi wetu wazamani huko..kama wasingetumia hiyo kauli basi ungekuta sasa hivi mimi ni world athelete namba moja kwenye mbio fupi za mita 100 na mita 200.300k sio issue kama wana cross border shida tu ni pale itakapokuwa wanatumia muda mwingi kwenye michezo kuliko darasani.
MHAMISHE HIYO SHULE .. PIA NI VYEMA UKATAJA JINA LA SHULE II TUIEPUKEKakijana kangu ka tatu kina Umri wa miaka 5 sasa kanasoma shule moja hizi mnaita english medium.mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.