Walimu wa English Medium Schools mnawatumia Vibaya Wanafunzi

Rafiki yangu watoto wake walipata admission ya international school kwa kuwa ni vipanga mno. Ni wale watoto wa A+.

Sasa hiyo shule wanasoma na watoto wa madaktari bingwa, top lawyers, business tycoons you name it.

Hizo trip za tennis Swaziland, mzazi unachanga 300k, wakirudi hujalala sawa kuna golf trip SA.

Yaani anawakalisha kila siku anawaambia mmefuata elimu pale hamkwenda kucheza tennis.

Lakini mwisho wasiku huwezi kuwanyima kila kitu.
300k sio issue kama wana cross border shida tu ni pale itakapokuwa wanatumia muda mwingi kwenye michezo kuliko darasani.
 
Mimi wanangu nilipeleka Boarding....wakifika sekondari ndo nitawaweka Day.....hizi English Medium za day zinafanya watoto kua Mchele mchele siku hiz
Bora ungefanya vice versa, day primary then boarding sekondari.
Mtoto akiwa mdogo ndio muda mzuri wa kumjenga kitabia na kumfanya unavyotaka awe.
Waalimu wanaplay part ndogo sana kwenye kui-shape tabia ya mtoto, ila kwa kiasi kikubwa sisi wazazi tunapaswa kuwalea watoto wetu kwa asilimia kubwa.
 
No wanasoma kwakweli, tatizo shost uchumi wake si wa 300k kwa kila mtoto na wako wawili. Nyumbani kuna maisha inabidi yaende.
 
Hapo ndio kasheshe, hzo international schools lazima uwe na pesa za kutosha. Feza schools wanaendaga US wana visit Niagara falls n alike..
 
Bora ungefanya vice versa, day primary then boarding sekondari.
Mtoto akiwa mdogo ndio muda mzuri wa kumjenga kitabia na kumfanya unavyotaka awe.
Waalimu wanaplay part ndogo sana kwenye kui-shape tabia ya mtoto, ila kwa kiasi kikubwa sisi wazazi tunapaswa kuwalea watoto wetu kwa asilimia kubwa.
Inategemea mazingira yako ya kikazi Kuna wazazi hawana muda na Watoto kutokana na mazingira ya kazi zao pia sehemu zingine Shule hazipo karibu mfano mtu.unakuta Ni mwanajeshi kambi iko porini mbali kusiko na Shule yeyote inabidi mwanae aende bweni
 
Daah mimi binafsi sioni kama kuna kitu muhimu kama kusimamia malezi ya wanangu. Kama ni mjeshi ahakikishe familia inakaa sehemu yenye huduma za kijamii yy akae porini.

Maana unaeza tafuta hela ukazipata alafu mwsho wa siku ukawa na watoto wahuni tu, pesa zinakuwa hazina maana tena wakati huo.
 
Mimi na mke wangu watoto wetu elimu ya msingi tunafundisha wenyewe, mkubwa wao yupo form 3 naye tulimfundisha wenyewe na anafanya vizuri maana toka form one hajawahi kupata nje ya B+... kila siku hawa wadogo kuamka saa moja asubuhi ibada, mazoezi, chai, shule mpaka saa tano..
Elimu ni neno mtambuka.
Hata kama wewe ni mwalimu, mtoto Kusoma na wenzake kuna elimu ya ziada anapata nje ya elimu ya kitabu.
 
Kakijana kangu ka tatu kina Umri wa miaka 5 sasa kanasoma shule moja hizi mnaita english medium.mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.

Kila baada ya miezi miwili kuna picnic hii mzazi nachangia tsh 70,000/ akienda huko anapigwa picha akija nazo kesho yake picha moja anaambiwa ni tsh 2,000. Anaweza kuja nazo hata 10.

Kila baada ya week mbili wanakuwa na class party hii anatakiwa aende na juice za box 3 na chips something au sausages. Au any dry food but siyo wali,ugali au ndizi za kupikwa.

Mtoto wangu ile juice ya box hata moja tu hamalizi. Sasa box tatu nawaza anaenda kuoga kabisa?nmekuwa nafanya hivyo lakini leo nikawaza na kusema ni kweli uchumi umebana. Lakini why wao waamue kutuchuna wazazi?

Jamani mkila na kipofu msishike mkono...mnafikia hatua mpaka wazazi mnatushtua sasa. Ilitakiwa mnapotaka kutupiga mumeweke hata gaps.siyo mnafuliliza mpaka nasi akili inakaa sawa.

Haya ni matumizi mabaya ya wanafunzi. Kuna siku mtamisi pilau kuku mtataka kila mtoto alete pilau kuku. Hizo juice za box kila mtoto akileta 3 si mwisho mnaweza fungua maduka ya vinywaji?

Aaahh jaman... Taratibu wandugu ...muwe na huruma. Na ubaya inakuwa ngumu kumnyima junior pesa maana kesho yake wenzake wakimsimulia atakuwa mpweke.naye tu hawez kubali kukosa.

Walimu wanawaambia nendeni mkadai msikubali.ukikosa shauri yako...mtoto akija hasikii la mwadhini wala la mnadi swala.anataka pesa...walimu muwe na huruma. Kuna siku ntaaamua kuwajia shule halafu mnione mimi mbaya.watu tushachanganyikiwa nyie mnatuletea mambo ya kifala...

Haya...mi nmeweka hili kama angalizo next time tutakuja eleweshana kwa vitendo....kama sijamwasha mtu mbata...na kumtaka anioneshe jinsi ambavyo mtoto wangu alimaliza juice tatu za box.

Mkuu

Umempeleka English Medium ya Kiswahili!

Mpeleke first tier akina IST,DIA,Braeburn,etc au second tier Hopac,FK,etc....ila hizo third tier schools ni hovyo tu,watakuletea Uswahili!
 
Daah mimi binafsi sioni kama kuna kitu muhimu kama kusimamia malezi ya wanangu. Kama ni mjeshi ahakikishe familia inakaa sehemu yenye huduma za kijamii yy akae porini.

Maana unaeza tafuta hela ukazipata alafu mwsho wa siku ukawa na watoto wahuni tu, pesa zinakuwa hazina maana tena wakati huo.
Inategemea vitu vingi ingekuwa Hivyo Watoto waliolelewa majumbani ndio wangekuwa wazuri kitabia na kimasomo kuliko Watoto wowote Lakini Ni opposite.Bweni wanafundishwa displine Hadi muda wa kulala wakati wa nyumbani mtoto anaangalia TV usiku kucha.Angalia Shule zote kuanzia primary Hadi secondary zinazofanya vizuri kitaifa hukuti Shule ya day hata moja.Sababu mtoto kufaulu anatakiwa kuwa na displine ya hali ya juu mno Hadi ya kusoma.Shule za mwisho kitaifa primary na secondary huwa Ni za day hizo ambazo wazazi hukaa na Watoto wao kwa hicho kinachoitwa kuwalea vizuri.Kumlea mtoto si tu kumfanya awe na tabia ya kupiga magoti kuamkia shikamoo wakubwa bali ni pamoja na kulea ubongo wake kuhakikisha akili zake Zina chaji hasa .
 
Kakijana kangu ka tatu kina Umri wa miaka 5 sasa kanasoma shule moja hizi mnaita english medium.mbali na ada ya mwaka kiwa tsh 3,000,000. Kuna udambwi dambwi mwingi sana mpaka sasa nachoka kwa usumbufu.

Kila baada ya miezi miwili kuna picnic hii mzazi nachangia tsh 70,000/ akienda huko anapigwa picha akija nazo kesho yake picha moja anaambiwa ni tsh 2,000. Anaweza kuja nazo hata 10.

Kila baada ya week mbili wanakuwa na class party hii anatakiwa aende na juice za box 3 na chips something au sausages. Au any dry food but siyo wali,ugali au ndizi za kupikwa.

Mtoto wangu ile juice ya box hata moja tu hamalizi. Sasa box tatu nawaza anaenda kuoga kabisa?nmekuwa nafanya hivyo lakini leo nikawaza na kusema ni kweli uchumi umebana. Lakini why wao waamue kutuchuna wazazi?

Jamani mkila na kipofu msishike mkono...mnafikia hatua mpaka wazazi mnatushtua sasa. Ilitakiwa mnapotaka kutupiga mumeweke hata gaps.siyo mnafuliliza mpaka nasi akili inakaa sawa.

Haya ni matumizi mabaya ya wanafunzi. Kuna siku mtamisi pilau kuku mtataka kila mtoto alete pilau kuku. Hizo juice za box kila mtoto akileta 3 si mwisho mnaweza fungua maduka ya vinywaji?

Aaahh jaman... Taratibu wandugu ...muwe na huruma. Na ubaya inakuwa ngumu kumnyima junior pesa maana kesho yake wenzake wakimsimulia atakuwa mpweke.naye tu hawez kubali kukosa.

Walimu wanawaambia nendeni mkadai msikubali.ukikosa shauri yako...mtoto akija hasikii la mwadhini wala la mnadi swala.anataka pesa...walimu muwe na huruma. Kuna siku ntaaamua kuwajia shule halafu mnione mimi mbaya.watu tushachanganyikiwa nyie mnatuletea mambo ya kifala...

Haya...mi nmeweka hili kama angalizo next time tutakuja eleweshana kwa vitendo....kama sijamwasha mtu mbata...na kumtaka anioneshe jinsi ambavyo mtoto wangu alimaliza juice tatu za box.
Mkuu wewe tu na ela yako
 
Ulaya bara zima?
Hata Ulaya wanafanya lakini unapata kibali kutoka kwa afisa elimu, na mtoto snakaguliwa kila mwaka kama yuko kwenye curriculum levels.
Ukiwa na kibali unachagua centre za kufanya mitihani ya taifa.
 
Mimi wanangu nilipeleka Boarding....wakifika sekondari ndo nitawaweka Day.....hizi English Medium za day zinafanya watoto kua Mchele mchele siku hiz
Mtoto mdogo kuwa boarding sio sahihi. Ni rahisi kunyanyaswa kwakuwa anakuwa hajajitambua.
I prefer kumpeleka mtoto boarding akiwa secondary.
 
Boarding? Ndo umechemka. Kama ni wa kiume atarudi shoga. Kama ni wa kike lesbian.

Wenzio hatupeleki watoto wadogo boarding. Uliza uambiwe huko ndo watu watamsaga au kumkoboa.

Back
Top Bottom