Walimu wa English Medium Schools mnawatumia Vibaya Wanafunzi

Walimu wa English Medium Schools mnawatumia Vibaya Wanafunzi

Kumbe nawewe umegundua hilo mtu mwenye kutowa 3m hawezi kulalamikia box 2 za juice ya mtoto, kama ni kweli atafute level yake hizo shule zina wenyewe
hahaha..... huyu ni punguwani mmoja housegirl kulakulala anajitahidi kujisafishia UMASIKIKNI wake.
 
Haya ndo matokeo ya wazazi ambao hawakutumia kinga/mipira/condom,walibaka au condom zilipasuka. Kama mzazi wako angepiga tu nyeto au angemwaga nje angekuwa ameinusuru nchi yetu na janga la kuwa na wewe.lakini ona sasa.... Na wewe upo umechanganyika na sisi.


ada unalipa 3000 000 kwa mwaka halafu unalalamika kulipia hela ya furaha?????? ACHA UJINGA TAJIRI BWEGE..........
 
Haya ndo matokeo ya wazazi ambao hawakutumia kinga/mipira/condom,walibaka au condom zilipasuka. Kama mzazi wako angepiga tu nyeto au angemwaga nje angekuwa ameinusuru nchi yetu na janga la kuwa na wewe.lakini ona sasa.... Na wewe upo umechanganyika na sisi

hahaha..... huyu ni punguwani mmoja housegirl kulakulala anajitahidi kujisafishia UMASIKIKNI wake.
 
jamani mwenye kujua ada ya olimpio na masharti mengine ya kumuingiza mtoto pale anisaidie
 
Haya ndo matokeo ya wazazi ambao hawakutumia kinga/mipira/condom,walibaka au condom zilipasuka. Kama mzazi wako angepiga tu nyeto au angemwaga nje angekuwa ameinusuru nchi yetu na janga la kuwa na wewe.lakini ona sasa.... Na wewe upo umechanganyika na sisi.
kwa hiyo umeamua kunitukana?





















///
 
Junya wangu eti la nne lazima akae hosteli.... Mwakani hiyo! Hizi shule wana force sana kupata fedha

Ni wezi kituo halafu kuna huyu mdudu wamengudua anaitwa REMEDIAL yaani ni shida wanawaweka watoto mashuleni huku hao walimu wakiwa busy kwenye mitandao ya kijamii. Hakuna added value yoyote ile. Pia kuna kichaka kingine chaitwa HOLIDAY package
 
Sio lazima itokee hivyo. Ina maana watoto wote waliopo boarding sasa hivi ni mashoga na wasagaji?
Huyo ni muhusika wa ushoga akiwa boarding ndio maana anaelewa vizuri sana!
 
Ni wezi kituo halafu kuna huyu mdudu wamengudua anaitwa REMEDIAL yaani ni shida wanawaweka watoto mashuleni huku hao walimu wakiwa busy kwenye mitandao ya kijamii. Hakuna added value yoyote ile. Pia kuna kichaka kingine chaitwa HOLIDAY package
Mimi nambadilisha shule, siwezi ruhusu mwanangu akae hosteli mkuu, bado mdogo anahitaji uangalizi wangu kwa karibu
 
Hata Ulaya wanafanya lakini unapata kibali kutoka kwa afisa elimu, na mtoto snakaguliwa kila mwaka kama yuko kwenye curriculum levels.
Ukiwa na kibali unachagua centre za kufanya mitihani ya taifa.
Kama qt ilamkutokana maisha yalivyopinda sijui unawezaje kukaa masaa mengi na mtoto na miaka mingi kuna mengi mtoto anajifunza nje ya academic kama social interuction skills mbalimbali, kama kupigana kuanguka, na michezo
 
Mimi nambadilisha shule, siwezi ruhusu mwanangu akae hosteli mkuu, bado mdogo anahitaji uangalizi wangu kwa karibu
Hata mimi sishauri umpeleke mwanao Hostel hasa hawa wadogo. Ninaye mmoja yupo std IV nilimwamisha shule sababu hiyo hyiyo maana walilazimisha nikagoma. Kuna mambo ambayo wewe mzazi inabidi uyafanyie kazi bado mtoto akiwa mdogo.
 
Kama qt ilamkutokana maisha yalivyopinda sijui unawezaje kukaa masaa mengi na mtoto na miaka mingi kuna mengi mtoto anajifunza nje ya academic kama social interuction skills mbalimbali, kama kupigana kuanguka, na michezo
Ku rise na ku handle arguments, sharing vitu vinamuandaa na dunia halisi kama kushare ofisi
 
Rafiki yangu watoto wake walipata admission ya international school kwa kuwa ni vipanga mno. Ni wale watoto wa A+.

Sasa hiyo shule wanasoma na watoto wa madaktari bingwa, top lawyers, business tycoons you name it.

Hizo trip za tennis Swaziland, mzazi unachanga 300k, wakirudi hujalala sawa kuna golf trip SA.

Yaani anawakalisha kila siku anawaambia mmefuata elimu pale hamkwenda kucheza tennis.

Lakini mwisho wasiku huwezi kuwanyima kila kitu.
Dah...yaani leo nimejifunza mambo ya kifala ni mambo ya aina gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960]
 
Mimi na mke wangu watoto wetu elimu ya msingi tunafundisha wenyewe, mkubwa wao yupo form 3 naye tulimfundisha wenyewe na anafanya vizuri maana toka form one hajawahi kupata nje ya B+... kila siku hawa wadogo kuamka saa moja asubuhi ibada, mazoezi, chai, shule mpaka saa tano..
Mkuu kazi unafanya saa ngapi
 
Back
Top Bottom