Walimu wa English Medium Schools mnawatumia Vibaya Wanafunzi

Mdogo wangu walilipishwa 200K kila mmoja kwa kuvunja test tube ambazo hawajawahi kutumia wala kuingia lab semister zima.

Siku ingine wakalipishwa 300K kila mmoja kupaka rangi za hostel kisa wamezichafua.

Kila mwanzo wa semister walitakiwa wapeleke rim moja ya makaratasi. Ila kwa semister nzima hawatumii hata robo ya rim nzima ukijumuisha hata quiz za darasani.

Kidato kizima wapo kama 150 hivi. Fikiria mapesa yote haya kama si ufisadi.

Hizi shule watoto wanapata elimu nzuri ila ni mateso sana kwa wazazi. Inabidi uvumilie mwanao apate elimu.
 
Rafiki yangu watoto wake walipata admission ya international school kwa kuwa ni vipanga mno. Ni wale watoto wa A+.

Sasa hiyo shule wanasoma na watoto wa madaktari bingwa, top lawyers, business tycoons you name it.

Hizo trip za tennis Swaziland, mzazi unachanga 500k, wakirudi hujalala sawa kuna golf trip SA.

Yaani anawakalisha kila siku anawaambia mmefuata elimu pale hamkwenda kucheza tennis.

Lakini mwisho wasiku huwezi kuwanyima kila kitu.
 
Rafiki yangu watoto wake walipata admission ya international school kwa kuwa ni vipanga mno. Ni wale watoto wa A+.

Sasa hiyo shule wanasoma na watoto wa madaktari bingwa, top lawyers, business tycoons you name it.

Hizo trip za tennis Swaziland, mzazi unachanga 300k, wakirudi hujalala sawa kuna golf trip SA.

Yaani anawakalisha kila siku anawaambia mmefuata elimu pale hamkwenda kucheza tennis.

Lakini mwisho wasiku huwezi kuwanyima kila kitu.
Na wewe junior wako anasoma wapi
 
Kwani umeambiwa ukimhamisha huendi mbinguni? Nakuhurumia sana najua ungeshamhamishia kayumba ila shida unaogopa vijembe vya 'kampani' yako au jina lake halitaendana na majina ya huku. Si unajua aki na Junior, Colins, Williams, wakati huku kwetu utawakuta aki na Bahati, Chakupewa, Said n.k
 
Mayooooooo....!!! Hapo hapo me mtoto kwa kaka yangu kila Ijumaa anatakiwa kwenda Skuli na 1pcs za biscuit na Pipi eti kwa sababu kuna birthday za wenzao ambao wako nani ya week ile ya zawadi. Kwa hiyo watoto wote wanalazimishwa kubeba hiyo parkegs. Shule iko Madale
 
Mimi na mke wangu watoto wetu elimu ya msingi tunafundisha wenyewe, mkubwa wao yupo form 3 naye tulimfundisha wenyewe na anafanya vizuri maana toka form one hajawahi kupata nje ya B+... kila siku hawa wadogo kuamka saa moja asubuhi ibada, mazoezi, chai, shule mpaka saa tano..
 
Mlipata kibali cha wizara ya elimu? Mitihani ya taifa mnavwaandikisha wapi? Nina hamu ya kufahamu haya pls
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom