Mr. Purpose
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 1,476
- 2,798
[emoji23][emoji23][emoji23], mtoa mada naona machale yamekucheza. Juice zinazobaki matrons na patrons plus waalimu wengine ukijumuisha na kama ya uandaaji wa matukio huwa wanjilipa. Nimeshuudia kabisa hivyo mkuu upo sawa kabisa, ila nenda kahoji sasa uone majibu yake