Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Ubora wa elimu ya shule ya kayumba umeshuka sana kuliko zamani.Kwani umeambiwa ukimhamisha huendi mbinguni? Nakuhurumia sana najua ungeshamhamishia kayumba ila shida unaogopa vijembe vya 'kampani' yako au jina lake halitaendana na majina ya huku. Si unajua aki na Junior, Colins, Williams, wakati huku kwetu utawakuta aki na Bahati, Chakupewa, Said n.k
Utaona unaokoa gharama ila uwezekano wa kutoboa ni mdogo sana.