vicent tz
Member
- Sep 27, 2016
- 27
- 35
nikiwa kama mwalimu mwanafunzi wa UDSM roho inaniuma pale mwalimu anapojulikana kafanya kosa lakini apewi nafasi ya kujitetea kwa nini kafanya kosa na anahukumiwa moja kwa moja au kushushwa cheo na selikali LAKINI mualifu sugu tena muuaji ameua au amezulu watu eti wanasema uchunguzi unaendelea wakati inaelewka kabisa na pia anapewa mda wa kujitetea lakini mwalimu hapewi badala yake inapigwa simu tu kwamba awajibishwe...kwa nin na waalifu sugu km SCMPN mpaka sasa wanamuangalia tu wakati walimu menzetu wameachishwa chuo na wengne kufukuzwa kazi......ROHO INANIUMA SANA WALIMU WENZANGU...