Walimu nani kawaroga?

Walimu nani kawaroga?

Mwisho wa siku lazima, mwalimu ataulizwa kwann wanafunzi wamefeli.
Fimbo kwa kiasi flani inasaidia kumuweka sawa mwanafunzi.
Tena wanafunzi wenyewe wa siku hizi mapenzi, social networks na seasons zimewaharibu, ndio basi tena ujinga na upumbavu utazalikana mpka basi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kinachofanyika sahivi mashuleni walimu hawahangaiki kabisa na watoto.likifeli anapotezea,lisipokuja shule hewala!yani Kwa kifup mashuleni sahivi nidhamu haipo,na nidhamu inaendana na elimu.twende tu hivo hivo
 
Mi hata wanafunzi wangu siwajui majina, wachache sana ndo nawajua na wala sina habari nafanya yangu.
 
Back
Top Bottom