Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Is Merytina = Marytina???
Maana sasa naona posts za Merytina zimekuwa za Marytina???!!!!

sorry kwa off topic!
wameziwadia hizo posts dear ila Merytina is my blood sister alinisaidia nilipokuwa BANNED.Kwa sasa amenirejeshea kiti changu
 
90% kuna ukweli juu ya walimu na si maanish wao ndo waolewe la hasha!
Kwa waalimu kuna mazoea wanayojijengea kazini na hi ndio uwasababshia wawe wapangaj wazur wa matumiz na kulea vzur, kunakt kinaitw LESSON PLANING asilimia mia hik ktu huwajengea mazoe mpaka ndani ya nyumba wanajikuta wanaweka bajet plan, na v2 vingne vnakuwa katk planing nakuzania kama vile wapo bado darasani na hii ni kwa wale walio fanya kazi kwanz na co waliotoka chuo <wapya> hao no hawana uzoef,

HIVYO: n kutokana na kaz y mtu ndio humjengea mazoe hadi ndan kama kaz yako n ya kupayuka lazma na ndan utapayuka tu, huo ndio ukwel uco pingka ila c maansh waolewe walmu tu ni chaguo lako kwan fan nyingne mwanzo hawakuw hvyo ila kaz imewalemaza tu.
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?
 
Daah bro wangu kaoa mwalimu, alichofanywa yey na Mungu ndio wanaweza kukielezea kikaeleweka
 
Back
Top Bottom