Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?
pamoja na memba wengi kukukatalia ila pana kaukweli flani kwa hi sredi.
 
umeona eeh, sema mwamba ngoma huvutia kwake.

Majibu mengi yameonyesha kuwa ni kweli hasa waalimu.

Ila sijui kwa siku hizi manake fani ya ualimu imevamiwa na form four na six falures na sio wito kama zamani.
 
Atiiiiiiii nini????? Nani anayesema maneno hayo ya bluu hapo juu???
 
Merytinaaaaa wewe ni mwalimu au nesi?????????????????
hapana Dena manesi wanafundishwa hospitality, walimu wana kitu wanaita HAIBA au unataka kibisha kuwa aina ya elimu aliyoipata individual haichangii kumrishape?

Ni rahisi just kwa mazungumzo ya dakika kumi kujua nani mwalimu katika kundi la watu.

Hapa JF kwa wadada wenye haiba ya kufanana na walimu au nesi just kwa post zake ni Michalle.(sina maana ni mwalimu au nesi)
 
Uko sawa kabisa. Na hawanaga tamaa na kutaka makuu.
 
hapana Dena manesi wanafundishwa hospitality, walimu wana kitu wanaita HAIBA au unataka kibisha kuwa aina ya elimu aliyoipata individual haichangii kumrishape?

Ni rahisi just kwa mazungumzo ya dakika kumi kujua nani mwalimu katika kundi la watu.

Hapa JF kwa wadada wenye haiba ya kufanana na walimu au nesi just kwa post zake ni Michalle.(sina maana ni mwalimu au nesi)

umeona eeh, sema mwamba ngoma huvutia kwake.

Majibu mengi yameonyesha kuwa ni kweli hasa waalimu.

Ila sijui kwa siku hizi manake fani ya ualimu imevamiwa na form four na six falures na sio wito kama zamani.

Uko sawa kabisa. Na hawanaga tamaa na kutaka makuu.

Nimeisoma hii thread toka jana nimecheka sana... wadada humu jamvini hawataki kabisa kukubaliana na ukweli na wengine mpaka wamepandisha hasira na kuondoka...shukrani kwako Leonardo kwa kutoa mada yenye changamoto kama hii.. Nimependa zaidi comment za merytina!!!
 
Watu wametoka nduki manake mjadala umekuwa mchungu kwa wasio na hizo taaluma.
Sorry sana sikupenda kuwavunja mioyo wadada msio walimu na manesi.
 
Ni kweli mketmwema atoka kwa Mungu! Katika jamii yetu wengi tunaamini walimu na maness wanaweza kuwa wake wazur kutokana na nature ya kaz zao wanaukarimu upole kwa wagonjwa na watoto, pata picha upate nes kama wale wa mwananyamala wenye roho mbaya wanaouza watoto, utatamani ungeoa barmed angebadilika
Au wale waalim walompiga Mkoba wa cwt.
 
Hata manesi kama wale ninaowasikia wa kule mwananyamala hospital, je yule mwalimu aliyemvuta mtot macho, mi naona hizi sifa walikuwa nazo sana wale manesi na walimu wa zamani hawa wa sasa hivi inategemea na mtu
 
Walimu wenyewe siku hizi hata maadili hawana hamna cha afadhali mke mwema anatoka kwa bwana
 
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?
Kama unabisha ona mwanasheria uone.:juggle:
 
Is Merytina = Marytina???
Maana sasa naona posts za Merytina zimekuwa za Marytina???!!!!

sorry kwa off topic!
 
Back
Top Bottom