Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Jamani mke mwema sio kazi wala kigezo fulani.....mke mwema mwema ni tabia ya mtu, haijalishi anafanya kazi! Mshirikishe Mungu kwenye utafutaji wako, utapata mke mwema!

Keren, umenigusa penyewe..........kula 5 basi.
 
Ni kweli mketmwema atoka kwa Mungu! Katika jamii yetu wengi tunaamini walimu na maness wanaweza kuwa wake wazur kutokana na nature ya kaz zao wanaukarimu upole kwa wagonjwa na watoto, pata picha upate nes kama wale wa mwananyamala wenye roho mbaya wanaouza watoto, utatamani ungeoa barmed angebadilika
 
kama kuna ukweli sijui ila wanaume wote tukitaka kuoa walimu na manesi waliobakia wataolewa na nani?
maana walimu na manesi ni wachache mno ukilinganisha na idadi ya midume inayotaka kuoa
 
Ni kweli mketmwema atoka kwa Mungu! Katika jamii yetu wengi tunaamini walimu na maness wanaweza kuwa wake wazur kutokana na nature ya kaz zao wanaukarimu upole kwa wagonjwa na watoto, pata picha upate nes kama wale wa mwananyamala wenye roho mbaya wanaouza watoto, utatamani ungeoa barmed angebadilika

Hapo chacha
 
kwa walimu inasemekana wanajua sana malezi ya watoto bt kwa manesi cjui, i guess hawajafikia qualitiez za maticha!
 
Kisa mishahara yao midogo ndio maana unawaita wavumilivu?
 
Bora walimu manesi mmmh wana visilani hao!
 
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?

talking of stereotypes
 
mke mwemaaa anatoka kwa bwana.
mke mwemaaa anatoka kwa Yesu.
bonny mwaitege alisahau kutaja mke mwema anatoka shule au hospitali
 
Kwa hiyo sisi tuolewe na nani sasa kama wakuolewa ni manesi na waalimu peke yao

Hivi hii dunia ina waalimu tu na manesi.

Na mimi sasa nitaanzisha thread ya mainjinia na program officers
 
mmmmh!!!!!!!!!
 
kuoa au kuolewa na kutulia ni majaaliwa ya mwenyezi mungu tu!!haijalishi aina ya kazi!mama anaweza kutulia mume akawa mkorofi na huwa inategemeana na mambo mengi sana mambo ya ndoa ni magumu sana mzee!
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na huvumilia shida na raha bila kutaka makuu.

Je yana ukweli haya?
 
Bado warefu au wafupi...wenye macho makubwa...madogo....au ya kurembua...urefu wa nywele...ukubwa wa mashavu...urefu wa shingo...wanaotembea haraka na wanaotembea kivivu...majina ya ukoo na majina ya mwanzo....kazi za wazazi....n.k!!
Acheni ushamba....kazi ya mtu sio label ya kuonyesha tabia binafsi...kama ambavyo kabila na taifa sio!!Mpaka ufikie kuuliza swali la kijinga hivyo....kama ndo kigezo cha wewe kuchagua mke andika umeliwa!!
 
Afadhali umemalizia Lizzy
 
Bonge la musumali hili we lizy?
 
Back
Top Bottom