Wa Tanzania wote tuko hivo usisakame waalimu tu, kulipa shida sana. Achana na biashara ya kukopesha.Hapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum ilia hawa walimu wa shule wanalipwa alafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
Peleka huko upimbi wakoHapa eneo ninapoish nimefungua kiduka cha wastani tu kwakuwa mimi ni mtu wa misafara mara kilwa mara zenji nikirud safari zangu huwa nakagua biashara au madeni sasa cha ajabu kuna walimu wa shule wawili magumu kulipa madeni pia kuna walimu wa madrasa hawa wa madrasa wakikopa tena hurudisha haraka sana wakati hawana hata mshahara maalum ilia hawa walimu wa shule wanalipwa alafu wagumu kulipa deni kuna mmoja mpaka nimemsamehe nilikuwa namdai 45,000 ila hawa wawili sitaawaacha abadan jumla nawadai 88,000 walidanganya kulipa kwa bili
Wewe utakuwa ni layman tu. Huna duka wala nini, hivyo acha kutuletea fix zako humu. Au unataka na wewe uwe mtu maarufu kama alivyo Mpwayungu Village kupitia mgongo wa walimu?ndo ambao wagumu kulipa kwa wateja nilo nao