Walimu kwanini mnawadhalilisha watoto?

unadhani kwamba nilifeli???

:D :D :D

very foolish!

mimi nilifaulu nikapita viwango vyote vinavyohitajika.

kwa akili hizi za kibashite mtaendelea kuwapaka wanafunzi wetu matope vichwani tu!

hakuna mnalolifanya zaidi ya kugombania mapenzi na wanafunzi.
Sipati picha mwanao alivyo tumbwasa. Yaani mtu unayemdharau bado unampelekea mwanao amtoe ujinga!!!
Hizi ni starehe za mbwa kuukalia mkia wake.

Na bado mtaendelea kutuletea watoto wenu waendelee kulishwa matangopori na watoto warembo wa kike kutukatia viuno.
Hakuna namna mkuu.
 
Hawana maadili, hawa wanatakiwa kushitakiwa na hata kufungwa ili iwe fundisho kwao na wajue PROTECTION OF MINORS. Nampongeza mleta maada kwa kuzingatia maadili (kwa kutoupload hiyo video). Wewe kama ni Mwalimu basi umeiva kabisa.
 
Habarini za weekend wanaJF;
Nimesikitishwa sana na hizi video au post ambazo Mwalimu anapost au anasambaza mitandaoni huku akiwa anafundisha, tena anaonesha jinsi gani mwanafunzi anayemfundisha ambavyo haelewi ambae ni Mtoto mdogo under 10, najiuliza hivi maadili mliofundishwa huko vyuoni yanawaelekeza mfanye hivi.

Je wazazi wa hao watoto wakiwafungulia mashitaka mtasema mnaonewa,

Assume ni mwanao Unaingia mitandaoni unakuta video inaonesha jinsi gani alivyo bashite,

Assume baada ya miaka 30 Uyo Mtoto anakuja kuwa mwanasiasa na video Kama hizi hujui kwa kiasi gani utamdhalilisha?

Ombi kwenu walimu watendeeni watoto wetu Kama mnavyotaka wa kwenu watendewe, Kama mnaona ni sawa rudini vyuoni mkasome hata business administration inatosha video

Video zimegoma ku-upload
na nyie wazazi mmezidi dharau muosha huoshwa
 
ingekuwa ni kosa moja analitenda mtu mmoja tusingesema hivyo tatizo ni makosa mengi na ni watu tofauti Ndio maana nimetumia wingi ni walimu Sio Mwalimu mmoja

Tulia mkuu
weye naye mpuuzi tu,kila siku mnawazomea na kuwatukana walimu kama watu wenye kipato duni kulko mfanyakazi yeyote tz,mara ndio watumishi wanoongoza kwa madeni na kutolipwa stahiki zao na waajiri wao,hao hao wamekutoa ubashite ww na familia yako na watu wakubwa hapa nchini umejua ata kuandka huu ujinga wako unaanza kistress na wengne waponde una laaana sio kawaida
 
Serikali ya CCM iwalipe madeni yao, otherwise kwa stress walizonazo sidhani kama wataacha huo upambafu!
 
weye naye mpuuzi tu,kila siku mnawazomea na kuwatukana walimu kama watu wenye kipato duni kulko mfanyakazi yeyote tz,mara ndio watumishi wanoongoza kwa madeni na kutolipwa stahiki zao na waajiri wao,hao hao wamekutoa ubashite ww na familia yako na watu wakubwa hapa nchini umejua ata kuandka huu ujinga wako unaanza kistress na wengne waponde una laaana sio kawaida
Mkuu kosa langu liko wapi
Mbona hakuna sehemu niliyotukana?
Kama wewe ni mwalimu nina wasi wasi na wewe
 
Hawana maadili, hawa wanatakiwa kushitakiwa na hata kufungwa ili iwe fundisho kwao na wajue PROTECTION OF MINORS. Nampongeza mleta maada kwa kuzingatia maadili (kwa kutoupload hiyo video). Wewe kama ni Mwalimu basi umeiva kabisa.
Asante mkuu
 
We kilaza, maksi za chini zipi? Yule alopost walimu wakimkung'uta mwanafunzi kule sekondari mbeya alikuwa na maksi za chini akaenda chuo kikuu? Hizi ni tabia tu za mtu mmoja mmoja, ktk kila sekta wapo. Usishambulie tu sekta kwa vile umeichukia. Mshambulie alotenda kosa!
Wewe ni mwalimu kwahiyo sikushangai...ukweli unabaki pale pale...hata utoe povu
 
kati ya yote mnayonikera ni kung'ang'ana na wanafunzi.

hivi huwa hamuwezi mkafundisha mkaondoka mpaka mpambanee weeeee...

i wonder why are you so obssesed!!

miaka yangu miwili advance imenifanya niwadharau sana walimu...

wako kama watoto vile, very foolish!
Si mzima wewe.. Subiri upate mtoto ndo utajua malezi ni magumu kiasi gani.. Na wewe unaonekana ni JITU LA HOVYO HOVYO SANA ndo maana uliona Kama vile walimu ni wabaya.. Una malezi ya HOVYO sana wewe...fata sheria, kanuni na taratibu uone kama kuna mtu atakufatilia.. Bashite brain..
 
Waalimu ni janga la uadilifu wa watoto nchini, yaani waalimu wengi ni vilaza na malimbukeni...samahani kwa hiyo kauli. Unajua huu mchezo wa kuchukua maksi za chini ndio wasomee ualimu...haiko sawa. Yaani kwenye Whatsap Nina waalimu ambao wanapost vipicha vya watoto yaani anafundisha anamuita Mtoto mmoja anaklmuelekeza ampige picha akiwa anafundisha...au anamuita mwalimu mwenzie ampige picha...au ampige picha akiwa anawachapa watoto...yaani waalimu ni shidaaaa!!!.. Sijui lakini huko tuendako....ila kwasasa waalimu ni vilaza
We utakuwa una akili fupi kama Kimb.ndo maana umekuja na kijiharufu kichafu huku jf
 
ingekuwa ni kosa moja analitenda mtu mmoja tusingesema hivyo tatizo ni makosa mengi na ni watu tofauti Ndio maana nimetumia wingi ni walimu Sio Mwalimu mmoja

Tulia mkuu
Bulaza, uzi wako umeeleweka vzr sn, hao wanaokuzogoa km vp waambie wapite tu! Na labda nikukumbushe pia hata kada ya afya nayo ina kansa ya namna hii, znasambaa video clip na picha nyingi za udhalilishaji wagonjwa wakiwa faragha.... nyingi zmepigwa labor au theater!
 
afadhali wewe ni muungwana kuliko wengine wengi ambao ni asilimia kubwa.

shida yangu mimi kwenu ni kuhusu uonevu na upigaji hovyo wa wanafunzi .

mmezidi sana kushughulika na maswala ya hovyo sana.

nilipokuwa advance nilikuwa nashuhudia vituko kweli, walimu wanakimbia kimbia hovyo na mabakora.


hakuna comfortability kabisa ya wanafunzi kusoma.

siku zote nashauri adhabu za viboko zifutwe atleast kuanzia wanafunzi wa kidato cha tatu.

wale wachini nadhani labda ndio wanahitaji kubustiwa kidogo, (kidogo)

hamuwezi kutengeneza maadili kwa watu waliobalehe, mtawafanya wawe sugu na waoga waoga tu mwishowe wanafeli.

kama ni mathematics fundisha mathematics ondoka.


hii tabia ya kurarua wanafunzi na viboko visivyo na idadi ni kati ya vitendo vibaya sana vya kikoloni.
Upo sahihi kabisa ila ni baadhi tu, na wapo waalimu wazuri wengi ambao ni rafiki wa wanafunzi.
 
Wakati flani Mwalimu Unatakiwa Uvae Uso Wa Mbuzi Haswaaa kuna baadhi ya Watoto Katika Makuzi Yao Wamekulia Katika Mazingira Ya KuDekezwa Yani Kila Unachomwelekeza Ni shidah Na Ukimlegezea Ndo Bac Tena Ushampoteza ....Yapo Mambo Mengi sana Yanayofanyika Katika Ufundishaji Na Ujifunzaji Mashuleni kupiga Picha Na Kuzipost Sio Sahihi kama Mwanafunzi Anapewa Adhabu Basi Iendane na Umri wake
 
Back
Top Bottom